Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

Mtoa mada unaongelea usafi wa nje au wa ndani. Kama wa nje akioga sawa.ila wa ndani mwizi lini ni msafi au aliye na nature ya wizi.
 
Sasa Lowasa mbona anajidai mmasai huku anasema kazaliwa mwanza??!!!
AU NDO MAMBO YA UONGO ILI AWEZE KUTUCHANGANYA VIZURI??
Hao wana laani ya nyerere

Kesho kutwa atasema amezaliwa Meru
 
Kesho kutwa atasema amezaliwa Meru

Jamani si juzi kasema kuitwa fisadi sasa yatosha. Mh! Hata kama hili ni dili la mtoto lakini naamini Lowasa ni Mkristo. Biblia inasemaje kuhusu mtu anayetaka kuwa kiongozi?
[h=3]Timotheo 3:4-5: 4 mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu; 5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Taifa la Mungu?)[/h]
 
Edward ni muongo sana kumbuka jamaa kasomea sanaa yaani usanii
LOWASSA NI MUONGO KITU ANACHOSEMA CHA KWELI NI JINA LAKE TYUU. Yaani Edward Lowasa
 
Nilijua wahafidhina watahangaika sana.. rejeeni kusoma hiyo taarifa ya uchunguzi kwa kina! Hakuna mahala ambapo Fredrick Lowassa amekuwa Implicated!! FIU walikuwa wanataka kujua sources of funds... of course ni ALPHATEL iliyokuwa inatengeneza mabilioni kwenye mkataba wake na Vodacom Tanzania.. Fred kama mwekezaji makini anajua kuwa thamani ya nyumba London ni kubwa hivyo kumhakikishia asset ya uhakika... Watazania mnatakiwa muanze kuwaza Globally badala ya kuendeleza biashara za Sembe... Meyer allegations kama hizi zina malengo la kuwaficha Watanzania wasipate Rais Bora.. Jiulizeni kwanini hao hao Jamaa wamefumbia macho mabilioni ya $$$ zilizoko Uswis? ... Cristal Clear Lowassa ni Tishio kwa mabeberu wa Ulaya.. wanakumbuka jinsi ambavyo waliwatimua City Water ...
 
Kwa hiyo hela ni ya Lowassa kutoka hapa kwetu au ni ya Wasomali?
Alphatec wanafanya biashara gani hadi kuwa na turnover ya Tsh 8 bil?

Second superdealers baada ya shivacom,ndio watengenezaji na wasambazaji wa voucher za vodacom kama sijakosea...wanachakachua sana airtime nahisi iyo turn over itakuwa ndogo
 
Ivi hayo yote tunayo yaona sisi na kuyajua vyombo vya uslama na sheria hawavioni?
Kama mtoto mdogo wa miaka 30 anamiliki mali kama hizo serikali na vyonbo vyake vyote hawamuoni wala hawawezi kuhoji chanzo cha pesa hizo?
Hii ni hatari sana huko twendako...
 
Hii nchi huko tuendako kama vyombo vyetu vya usalama havitakuwa makini na kutekeleza wajibu wake ipasavyo ipo hatari kubwa tunaweza kuja kupata Rais atakayeliongoza Taifa hili ambaye ni 'drug dealer' mkubwa.

Kwa kuwa kwa namna trend inavyoelekea ya nchi yetu ni kuwa qualification no 1 ya kupata uongozi mkubwa nchini mwetu, ni kwa namna gani mgombea huyo yupo tayari kuyagawa mabilioni yake na kwa bahati mbaya sana hao wanaogawiwa hayo mabilioni hawako interested kabisa kujua source ya utajiri wa mgombea wao.

Kwa hiyo hata kama mabilioni hayo waliyogawiwa yatakuwa yamepatikana kwa njia ya drug trafficking it is non of their business!
 
Mku sahihi kabisa mm nadhani sio tuendko hata hivi sasa tunao aina ya viongozi ni drug dealer hata kama sio mkuu wa nchi basi tunao wabunge, madiwani au hata wenyeviti wa mitaa nk.
Na mbaya zaidi ungonjwa tulioupata wa kupenda viongozi matajiri bila kujali utajiri wao wameupataje.
Sijui tutawezaje kulikwepa gonjwa hili kwa aina ya maisha tunayo yatamani tuishi...
 
Hii nchi huko tuendako kama vyombo vyetu vya usalama havitakuwa makini na kutekeleza wajibu wake ipasavyo ipo hatari kubwa tunaweza kuja kupata Rais atakayeliongoza Taifa hili ambaye ni 'drug dealer' mkubwa.

Kwa kuwa kwa namna trend inavyoelekea ya nchi yetu ni kuwa qualification no 1 ya kupata uongozi mkubwa nchini mwetu, ni kwa namna gani mgombea huyo yupo tayari kuyagawa mabilioni yake na kwa bahati mbaya sana hao wanaogawiwa hayo mabilioni hawako interested kabisa kujua source ya utajiri wa mgombea wao.

Kwa hiyo hata kama mabilioni hayo waliyogawiwa yatakuwa yamepatikana kwa njia ya drug trafficking it is non of their business!

Mimi namlaumu Lowasa na kambi yake kwa kushindwa kujibu hoja uchwara na za kujinga zinazoelekezwa kwake kama tuhuma.
Nafikiri hata wapinzani wake wametambua kuwa huyo mh. ana domo zege ndio maana kila kukicha wanamtukana na yeye anakaa kimya tu wakati sheria zipo wazi kumlinda. Hata sheria za mitandao zimepitishwa ili kulinda haki za mtu lakini bado ameshindwa kuzitumia.Mbona Mwakyembe alipoona mitandao inatumika vibaya akaamua kuwasaka wabaya wake na akawapata.
Hapo ndipo ninapojiuliza kuwa kama Lowasa anashindwa kutetea haki yake mwenyewe na utu wake na heshima yake atawezaje kutetea haki na heshima ya watanzania.

Hata washauri wake naona ni watu wasiojishughulisha kupata habari na kumjulisha nini kinaendelea na ajitokeze vipi kujibu.

Mfano ni juzi tu Madabida amemkashifu kiongozi mkuu wa waislam mtume Mohamad.Labda hakua na nia mbaya. Lakini kama kweli hakuwa na nia mbaya ni kwanini mpaka leo sio Lowasa wala Madabida aliyejitokeza kuwaomba masamaha waislam wa Tanzania na dunia msamaha.
Je,ina maana Lowasa na kampani yake hawaoni madhara makubwa ya nayoweza kujitokeza kwa kupuuza suala hili. Na haoni kuwa watu wanaomzunguka wanaweza kuwa wametumwa na watawala ambao kwa kiwango kukibwa ndio wanaompiga vita!! Hivi Kweli washauri wake wanashindwa kumshauri namna ya kujitokeza na kuwaomba msamaha waislam ambao kwa asilimia kubwa ndio na watawala kutekeleza azma yao.Au anasubiri mpaka waislam wasambaze waraka nchi nzam wa tamko la kumkataa ?.

Hivi Lowasa anashindwa kujitokeza na kutoa ufafanuzi juu ya hicho kinachoitwa MOU ammbachokimetajwa sana kwamba ndiye aliyesababisha wakristo wawe wanachotewa mabilioni ya pesa na serikali. Hili nalo linamwia gumu kufafanu?

Na kama kweli mpaka sasa hajawajua watu wanaotumia vijana wasomi kumtukana na kumchafua kwenye mitandao basi ataingoza nchi kwa tabu kwani hatapata taarifa toka chini mpaka juu.Kama ana taarifa amechukua hatua gani ili kuondoa hizi siasa za majitaka.
Kama Lowasa na kundi lake wanashindwa kupambana kisheria na kubaina kakundi kadogo ka vijana wanaotumiwa na mahahasimu wake kiasiasa kwa lengo la kumchafua tu badala ya kuwanadi watu wao, atawezaje kupambana na uhalifu nchi nzim?
 
Yote tisa kumi tujiandae kwa lokote kutoka huko Dodoma kwenye hivyo vikao vyao.
 
Mku usemayo yaweza kuwa sahihi na yenye mantiki.
Lakini kumbuka mh luwasa mwenyewe ameshindwa kujisafisha.
Kuna mambo hayahitaji kukumbushwa wala kushauriwa.
Utakumbuka alipo ita wahariri pale dodoma kuna baadhi ya maswali aliulizwa akaahidi kuyajibu arusha.
Lakini alipokuwa arusha shekh amri abeid hakujibu kabisa na aliahidi angejibu na alitumia neno musiharibu uhondo hayo maswali yenu nitayajibu arusha.
Huoni kama huyu mtu sio makini ktk kujibu na kupanguwa shutuma?
Yawezekana shutuma zinazo zungumzwa ni kweli au hana uwezo wa kupanguwa shutuma?
Ukiangalia mambo yanayo andikwa mengi yanawekwa na viambatanishi sasa ni wajibu wake kuvikanusha bila kuvikanusha mtu kama mm nitaviamini tu...
 
Ubaya wa aina ya demokrasia ambayo tunayo hivi sasa ndio huu mtu anayetuhumiwa na ufisadi, anagombania nafasi ya uongozi.

Shutuma tu ingelipasa ajisafishe kwanza na anayoshutumiwa ikibainika wazi hana makosa ndipo aruhusiwe kuomba ridhaa kutoka kwa wananchi nafasi ya kuwaongoza....tunaitumia demokrasia vibaya
 
Naamini watu mtaweza kukipakua na kutoa maoni yenu...

Kumbuka: Nyaraka hizi ni za SIRI KUBWA

Hizi nyaraka tuliziona miaka 2-3 iliyopita. Ni sawa kwa Scotland Yard kumchunguza yeyote, na kutupia macho zaidi familia ya Lowassa wakati huo ambapo Sitta, Mwakyembe, Membe, nk walimkamia hasa kummaliza kwa tuhuma zilizosambaa kote. Hiyo haina maana kwamba ana kosa.

Ingawa mimi napinga tuhuma kuchukuliwa kuwa ndio ukweli, ni vizuri Membe naye ajibu tuhuma za matumizi ya Billioni 27 kwa mkutano wa siku 3 wa Sullivan
 
Tanzania yetu for sale kweli,Jambo usilolijua ni usiku wa kiza!

:noidea::noidea::noidea::A S-cry::A S-confused1:
 
Duh, nimebakiwa na bumbuwazi! Alafu eti anataka urais!

CCM wakifanya kosa kumpitisha haponi mashambulizi ya Ukawa majukwaani kuhusa suala hili.
 
Back
Top Bottom