Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,894
- 44,270
He was the only one wa ku end matatzo yote nchini simply cz uwezo na nguvu husika anayo. Wananchi wengi hawajui analyse vitu strategically. There is a lot going on behind the scenes in Tanzanian Politics.
JPM kawekwa tu pale....mtaniambia.
Kamanda kulikoni tena unarusha ngumi hewani.
Huyo ndiye Mmawia
ni wale Bavucha wenye hasira za papo kwa papo
walipoambiwa Lowassa katua kwao wamenywea na pichu zinagongwa na haja
yaani hata msemaji wa UKWA Tumani Makene hasikiki tena story ya Monduli na 50Bn waliyopokewa waasisi wa CDM
yaani wamelowa waangalie wanapowasili Monduli sio zile shamrashamra za kutukana CCM km kawaida yao
Siasa hizi daaa!!! Kamanda si wewe tu juzi ulikuwa unamuita Lowassa fisadi?
Dhaifu anataka kutuachia ushuzi ikuru.Mzee wa piga mbizi hatumtaki
Huyo pembeni ya pikipiki za makamanda ni simba au mbwa?Huyo ndiye Mmawia
ni wale Bavucha wenye hasira za papo kwa papo
walipoambiwa Lowassa katua kwao wamenywea na pichu zinagongwa na haja
yaani hata msemaji wa UKWA Tumani Makene hasikiki tena story ya Monduli na 50Bn waliyopokewa waasisi wa CDM
yaani wamelowa waangalie wanapowasili Monduli sio zile shamrashamra za kutukana CCM km kawaida yao
Siasa hizi daaa!!! Kamanda si wewe tu juzi ulikuwa unamuita Lowassa fisadi?
Huyo pembeni ya pikipiki za makamanda ni simba au mbwa?
Uko sahihi!!
Ht wanaosema cjui jembe naona hawajui kuwa lzm afuate ilani ya chama!
Akitaka kutoka nje,lzm wamrudishe kwenye mstari!!
Mkuu naomba uwe wazi,hivi huo ufisadi wa lowasa ndio leo wana ccm wanauona?ilikuwaje hawakumvua uanachama wake tangu ilipobainika kuwa lowasa ni fisadi?ina maana ccm ni chaka la kulea mafisadi?
Makofuli kama atafanikiwa kuchaguliwa kuwa rais basi atakuwa pale kama sanamu tu kwani kuna remote ya kumuelekeza nini cha kufanya.
Wanaosema Lowassa ni fisadi ni nyie Chadema unakumbuka Dr.Slaa orodha yake ya mafisadi Lowassa yupo.Mkuu naomba uwe wazi,hivi huo ufisadi wa lowasa ndio leo wana ccm wanauona?ilikuwaje hawakumvua uanachama wake tangu ilipobainika kuwa lowasa ni fisadi?ina maana ccm ni chaka la kulea mafisadi?
Mimi namshauri EL apumzike
Huyo aliesimama pembeni ya Mama Lowasa nadhani ni Goodluck Ole-Medeyesamahani kuuliza si ujinga hawa ni wapambe au mabodigadi
au ndo wafadhili; naona miili yao imeiva; imekuwaje kutoka uwanja wa ndege bila kuongea na Radio yake Radio 5
IS IT TRUE
Lowasa umejimwa haki pambana na mafisadi na mapombe
Kachomoka kama yule was Mexico
Alimaanisha nini,,?
wawe na imani na chama kilichompokea au kile kilichompiga chini,,?