Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
Watu ni wengi sana huku kwake wamekuja kumpokea kila mtu anabendela ya CHADEMA, wanabodaboda wameweka bendera za CHADEMA kwenye pikipiki na boshori za CHADEMA.

Mzee anajiandikisha kwenye BVR kwenye kituo cha Ngarashi. Watu wanashauku kujua ataongea nini.

Updates
Mzee amejiandikisha tayari ameelekea nyumbani kwake.Vijana wa bodaboda walizuia njia ili mzee aongee nao ila hajaongea kitu chochote na kaelekea nyumbani kwake.

Picha baadae

attachment.php

attachment.php
attachment.php
 
Monduli uandikishaji bado unaendelea...nauliza tu sina uhakika
 
Watu ni wengi sana huku kwake wamekuja kumpokea kila mtu anabendela ya CHADEMA, wanabodaboda wameweka bendera za CHADEMA kwenye pikipiki na boshori za CHADEMA. Mzee anajiandikisha kwenye kituo cha ngarashi. Watu wanashauku kujua ataongea nini.

Picha baadae
Hivi si walisema kwake Dar amezingirwa hakuna kutoka amepitaje au ulikuwa ni uvumi tu
 
Hiyo ni kawaida...hata alivyochomolewa na Richmond alifanya hivyo hivyo....yeye ni mwanasiasa alipaswa ajue hivi vitu huwapata wanasiasa...
 
subirini picha msiwe na shaka wanandugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom