Lowassa na siasa za makanisani?

Lowassa na siasa za makanisani?

Mkuu, umenishangaza sana. Unazungumzia dini, dhehebu au kanisa kama jengo? Kama ni jengo ulitegemea lingejengwaje kama si kwa michango ya watu, hususan waumini? Au unafikiri bado wapo wajomba kutoka Ulaya wa kuwaletea pesa za kujengea nyumba za ibada kama awali? Kuhusu Mhe. EL, mimi nami sioni tatizo, si swala letu kuhukumu utakaso wa mtu, hata Bw. Yesu alikula na wadhambi, japo simaanishi kwamba Mhe. ni mmojawapo.
Mkuu ni kweli wajomba wakutuletea misaada toka ulaya hatunao tena na hapa bila shaka wakatoliki wenyewe walitakiwa kujipanga badala ya kumtafuta mjomba mwingine toka kanisa la kilutheri kwa jina Lowasa. Hivi kwa mfano mkatoliki mwenzao Gachuma wa hukohuko Mwanza angeshindwa kusimamia shughuli hii?
 
Kama mkwerre ni mwanaume ajaribu kumfukuza Lowassa. Hapo ndipo atakapotambua kwa nini KACHUMBALI haiitwi MBOGA.
 
hekalu langu limekuwa pango la wanyang'anyi...mie ni muumini wa katoliki ila kwa hili mauti yataliandama kanisa hili,tunajenga ama tunabomoa?
nadhani unahitaji kutafiti juu ya mambo yanayoendelea inchini mwetu ili ujue ekweli wake. Kama hutaki utabaki bila ukweli.
 
Hivi Lowasa kaiba nn jamani?

Acha uzuzu wewe... kuna mithread lukuki humu kwenye forum ikichambua wizi na ufisadi wa madaraka wake.

Fanya search ya humu JF utaona mithread kibao. Kuanzia tuhuma toka kwa Katibu wa Mwalimu Nyerere mpaka
documentary evidence za ufisadi wake.

Ficha uzuzu wako siku nyingine.
 
Ni sabuni ya aina gani itakayomsafisha? Ama alowekwe? Nayo muda gani jamani?
 
mzee wetu ameshatubu wajamini mtashangaa huyooo ikulu
mafisadi wenzio watakiona kwani yeye ameshajitenga nao na kaahidi kujenga nchi mpya
na kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.201 hapatakalika hata katiba mpya lazima suala la serikali ya kitaifa iwepo
kama nchi zingine wanavofanya mfano kenya ,uk nk.hakuna tena cha monopoly ktk madaraka.
 
Lowassa anza kugawa ubwabwa kwa misikiti na madrasa kelele zitaisha kwa hao walalamishi
 
TB JOSHUA alimtabiria uraisi huyo sasa ndo hanakosa usingizi kwa ndoto za joshua .na sie mashehe tutamuhalika kwenye harambee ya madrasa sijui atakubari
 
Mim ni mkatoriki lakin siungi mkono Lowasa kualikwa kwenye hiyo harambee! Hovyo kabisa hizi dini za siku hizi hakuna kitu,wanawaza hela tu!

kaka sikuizi makanisa yamekua biashara na kama ilivyo kawaida biashara ni matangazo hivyo ndivyo na wao wanaangalia source zote za kuongeza kipato ndio maana lowasa alishagundua udhaifu wao kawa minya hapohapo.viongozi wetu wa kanisa wanapokea hata haramu,yaani we acha tu
 
Mwingine huyu,... a little search of the forum itawapa majibu yote, sio kila siku mnajitoa akili tu watu wazima na makende yenu.
Lowasa is our Kagame in the making, you heard here first.
 
Umenena vema,kwa jina la Yesu wa wakatoliki,kwa sababu Yesu huyo wa katoliki ndiye shetani mwenyewe na catholic ni freemasons!
 
IMG_7032.jpg


Waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya Richmond amecheka Tsh.Milioni 10 jijini Dar kuchangia kituo cha Radio Upendo FM.
Nini Tafsiri yake Lowasa kutoa kiwango cha Mil.10 kila anapo ombwa kuchangia? Kwa nini hazizidi wala kupungua?
 
Anazo.

Mbona hamuulizi ni madeski mangapi hapo?
 
Akichangia madawati au kujenga vyoo shule zenye choo kimoja hata pewa promo na kuonekana kama huku.
 
Hata Milion 60 au 100 hutoa huyo...au unadhani kuwa fisadi mchezo?
 
Tafsiri yake ni kama wewe unavyotoaga shilingi 500/= kama sadaka kanisani au msikitini. Mbona huzidishi hata siku moja?
 
angalau hata huyo hela alizochukua anazirudisha back kwenye community...akina mkulo na ngeleja na wao waanze kuzirudisha hizi pesa walizoiba kupitia charity mbalimbali
 
zimepungua sana, kuna kanisa aliishawahi kuchangia 60M na lingine 20M. Siku za karibuni ndio anatoa 10 ten, labda ukata umeanza kumnyemelea.
 
Back
Top Bottom