tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 44
Tofautisha, Kwani anampa Mungu au anawapa wachunga kondoo?
Hao wachunga kondoo au wachunga wezi?
Tofautisha, Kwani anampa Mungu au anawapa wachunga kondoo?
Atubu mapema kwa watz wote hakuna wa kudanganyika hata mtoto mdogo ukimuuliza fisadi no moja anajulikana ni yeye,akajisafishe kwa wameru na masai wenzakeGod bless Hon. Lowassa.
atoaye kwa wingi pesa za wajenzi huru na ziada au kwa Moyo acha ujinga wewe.Anatoa zake au za watz alizokwisha fyonza sana
labda wa kafaraMkuu hujui hata Shetani (Freemason) hubariki kutokana na utoaji?
mkuu asafishike kivipi? Kwani ni mchafu? Hebu weka hapa uchafu wake...usifuate mkumbo! God bless u El.
Lowasa hasafishiki hata aende mbinguni na kurudi. Ahangaike tu na hayo makanisa. Labda anategemea watasema yeye ni "chaguo la Mungu" 2015.
Hasafishiki mbele ya jamii na huo ndiyo ukweli. Mungu hapo kaingiaaje?wee ndo mungu acha upunguwani ww kaso
Lowasa hasafishiki hata aende mbinguni na kurudi. Ahangaike tu na hayo makanisa. Labda anategemea watasema yeye ni "chaguo la Mungu" 2015.
Tangu lini kuabudu kumeanza kubagua?
Tangu lini kushiriki shughuli za ibada imekuwa kosa?
Kazi ya kumhukumu mwanadamu ni ya Mungu tu...
ZeMarcopolo,unapata wapi muda wa kula mkuu?
mkuu wewe unakula saa ngapi??
Lowassa ana haki ya kwenda kanisani na kufanya afanyayo PROVIDED HAKUNA KAMPENI ZA KISIASA ANAZOFANYA.Lakini hata asiposema kitu kwa anayofanya tu tayari siku akitangaza kugombea urais au cheo chochote serikalini kuna watu wengi ndani ya UKRISTO watakuwa ktk hatari ya kumuona MTU WAO!nawaasa sana wakristu na watz kwa ujumla,TUSIDANGANYIKE.Tumpime kwa yale aliyofanya akiwa serikalini.tumpime kwa taarifa sahihi kuhusu yeye na sio PROPAGANDA.Haya ya kanisani tumuachie tu mwenyewe!tumuone ni muumini wa kawaida tu mwenye majukumu kwa dini yake kama wengine!
Sasa wewe ndio umeanza kampeni.
Mtu anaenda kwenye nyumba ya bwana kutoa sadaka, hayo mabo ya siasa yametoka wapi tena?
Inaamana akienda sokoni nako mtasema kaenda kufanya siasa? sasa yeye ajifungie ndani tu?