Lowassa na siasa za makanisani?

Lowassa na siasa za makanisani?

Wewe sema uliyotaka kusema, maana yaonekana unamambo moyoni, siyo kuzuga watu hapa.
 
Anaenda kutoa rushwa ili wamfagilie 2015. Miaka yote hii aliyokuwa madarakani hakuyaona makanisa na misikiti kwenda kutoa michango hadi miaka hii michache kuelekea 2015!?
 
Anaenda kutakatisha fedha alizohamisha. Aibu zao viongozi wa dini wanaomfagilia na kumuenzi.
 
Rushwa ya kupewa kura 2015 wala hamna kingine
Kugawanya watanzania kwa udini wala hamna kingine.

Tujiulize;
^^Mh. Edward yeye anatoa wapi hayo mamilioni kila weekend ni makanisani kufanya harambee.
^^Mh. Edward anaenda misikitini kama anavyoenda makanisani?
^^Kwa nin mh. Lowassa hakufanya haya kwa kipindi cha utawala wa kwanza, baada ya kujiuzulu uwaziri mkuu?

Na kwa nini viongozi wa dini wanampigia magoti, je ni kwamisaada wanayopokea ambayo inanuka rushwa, kwa nini wakubali kupokea rushwa, makanisani?

Watanzania tuweni makini na watu wa namna hii...
 
Wewe ni 6 Mwoga, wewe ni 6 mwoga km wale fisi wanaofugwa kule Tabora.Kwanini na wewe uistoe na kuongea kinyumbani uwaambie hivyo?Wewe ukienda monduli anawaambia masai asichague laioni unapigwa chini.Au anawaambi usichague kabila ingine unapigwa chini.Utatangatanga sana km kiumbe mwenye laana.huku ukikimbizwa kila mahali km mbwa koko aliyehasi nyumbani.Kila mtu napiga teke,jiwe, au hata kugonga.

Haya sasa elezea utakayo kwani hata wewe umepitapita sana....
 
Wadau naomba mnijuze labda mimi sifahamu! Nimekua namfuatilia sana Ndugu yangu Edward wa Monduli nikagundua kuwa huenda kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia. Kama mtakubaliana na mimi Mh Edward amekuwa akienda sana kwenye nyumba za Ibada na kutoa mamichango makubwa makubwa! kwanza sijui pesa zote hizo anatoa wapi? Afu mbona anachanga sana kuna nini kimejificha? Kuna wakati alikuja kwetu Tabora akatoa karibu milioni mia (100) je ni upendo wake kwa dini au kuna siri hapa! naomba mnijuze labda mimi namuhisi vibaya.....Nakutegemea sana ndugu yangu ukombozi katika hili.

Kafilisika KISIASA
 
Kaka punguza viroba, wanaweka gongo ya mafta ya taa humo ... naona ushaanza kudata!
 
Ni mdini mkubwa kama CDM, muogopeni wana CCM, kuanzai sasa msimpe nafasi tena.
 
Huyu jamaa bungeni huwa kimya muda wote lakini akiwa nje ya bunge anaongea sana sijui anajihami kukosolewa na vijana?
 
Wadau naomba mnijuze labda mimi sifahamu! Nimekua namfuatilia sana Ndugu yangu Edward wa Monduli nikagundua kuwa huenda kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia. Kama mtakubaliana na mimi Mh Edward amekuwa akienda sana kwenye nyumba za Ibada na kutoa mamichango makubwa makubwa! kwanza sijui pesa zote hizo anatoa wapi? Afu mbona anachanga sana kuna nini kimejificha? Kuna wakati alikuja kwetu Tabora akatoa karibu milioni mia (100) je ni upendo wake kwa dini au kuna siri hapa! naomba mnijuze labda mimi namuhisi vibaya.....Nakutegemea sana ndugu yangu ukombozi katika hili.

Usijali mkuu, nitabia ya wzi na majambazi kutubu
 
Baada ya mkapa lowasa ndiye kiongozi aliyebaki ndani ya ccm, jasri na mwenye uwezo wa kusimamia kile anachokiamini bila unafki wala kutetereka...nitampgia kura 2015, nitalinda kura zake 2015,nitahudhuria sherehe za kuapshwa kwake na staki anpe cheo chochote full stop. lowasa ni kiongozi pekee strong na mwenye mikakati aliyebaki ndani ya ccm alijiuzulu kulinda serkali yake na alishamweleza ata rais jk kwenye vkao kwamba altaka kuvunja mkataba wa rchmond bosi wake akamkataza akiwa nje.....ma presdent 2015 is lowasa
 
Kwa iman ya kkrsto kutoa sadaka ni moyo si utajiri..mbona mnatokwa mapofu wakati Sita alkuwa anapga debe kansani igoma juzi na wenzake kna magufuli na mwandosya wamekana kuwa na ushrka na sita..sita akiwa kanisan mnaona yupo lumumba sio
 
MAGEUZI 1992; Lowasa ni share holder mkubwa vodacom na output yao kwa mwezi ni zaidi ya 1BILION so source yake ya income/fedha inajulikana..anarudsha faida kwa jamii pale voda wanafanya biashara si NGO
 
MAGEUZI 1992 NA WENZAKO Lowasa ni share holder mkubwa vodacom na output yao kwa mwezi ni zaidi ya 1BILION so source yake ya income/fedha inajulikana..anarudsha faida kwa jamii hizo sadaka tunaztaka tujenge shule za watoto wetu na zahanati au mlitaka akazfche uswisi kama kna BM na kundi klake pale voda wanafanya biashara si NGO KILA UNAPOTUMIA VOCHA YA VODA AU KUTUMA M PESA ANAPATA GAWIO PESA IPOOOOOOOOO ACHEN KUTOKWA MAPOFU
 
Kaka punguza viroba, wanaweka gongo ya mafta ya taa humo ... naona ushaanza kudata!

Mpo wa hovyo sana nyie,ndio maana majina ya kwenye sani mmechangia mengi sana.Kaporomoshe maboga .Sasa kama kazi yenu ni kubishana,hadi mnapigana kwa hesabu ya magari ya waarabu, na kujidai kujua nani ana hela nyingi kati y ahudi na abood..mmeshapata mshindi?
 
Kwa kiasi kikubwa kanisa la Tanzania, ukiondoa Roman Catholic na KKKT, limejitia kwenye unajisi kwa kupokea fedha ambazo hazijulikani vyanzo vyake kutoka mfukoni mwa mtu ambaye hata baba wa Taifa, Mwl.Nyerere mwaka 1995 alitahadharisha juu ya uadilifu wa mtu huyo, yaani, Edward Ngoyai Lowassa.

Tangu, Mwl.Nyerere aoneshe hofu ya wasi wasi wake kwa Lowassa juu ya mwenendo wake hatujapata kumsikia Lowassa ama taasisi yoyote ikimsafisha.

Kwa hivyo, kanisa la RC na KKKT walikwisha kataa makanisa yao kutumika kuwasafisha mafisadi na kutumika kutakatifisha fedha haramu za watuhumiwa. Rostam Aziz aligonga mwamba alipojaribu kutumia kwaya ya KKKT Kinondoni kuinajisi madhabahu.

Kanisa limeonekana kutimiza unabii unaosema ,"...siku za mwisho watu watapenda fedha na kujitenga na utauwa..."
 
Nimeipenda, naona sasa ameona kupitia kanisani hailipi, ameanza kutafuta kura za machinga...
 
Back
Top Bottom