Mashujaa wa vita wakiwa ndani ya pipa kuja dar kwenye mazishi ya Dr Makaidi..
Lowassa The Political Genious akisummerize mambo.. Si mvivu huyu jamaa
mbona kafungiliziwa mkanda begani kama wa watoto? Wanaogopa ataangukia mbele. Mbona mbowe hajafunga hivyo?
nlichofurahia hawa wazee tangu tunaanza safari wanasoma vitabu tu...Leo nimeamini elimu haina ukomo ndio maana vipaumbe vyao ni elimu,japo mimi ni ccm hai kura ntawapa ukawa,mmenikosha sana
mkuu pale anasoma au anasinzia?Things speak by themselves.
Lowassa ana tabia ya kujisomea mara kwa mara.
Na hapa akiendelea kujisomea
![]()
Na hapa akiendelea kujisomea.