amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Mashujaa wa vita wakiwa ndani ya pipa kuja dar kwenye mazishi ya Dr Makaidi..
Lowassa The Polotical Genious akisummerize mambo.. Si mvivu huyu jamaa
Mashujaa wa vita wakiwa ndani ya pipa kuja dar kwenye mazishi ya Dr Makaidi..
Lowassa The Political Genious akisummerize mambo.. Si mvivu huyu jamaa
Things speak by themselves.
Lowassa ana tabia ya kujisomea mara kwa mara.
Hawa huwezi kuwadanganya na kitu chochote. Kuna wale wenzangu wa kusomewa kila kitu kisha wanaambiwa " mzee mkataba huu mzuri kwa wana bagamoyo" Yeye hasumbuki kuusoma ana ishia ku saini tu na kuwaingiza wana nchi matatani.nlichofurahia hawa wazee tangu tunaanza safari wanasoma vitabu tu...Leo nimeamini elimu haina ukomo ndio maana vipaumbe vyao ni elimu,japo mimi ni ccm hai kura ntawapa ukawa,mmenikosha sana
Mungu Mkubwa
Lowassa Hatutakuangusha Mwaka Huu Ikulu Ni Yako
Kamanda Makaidi Tutamkumbuka Daima
Na hapa akiendelea kujisomea
![]()
Na hapa akiendelea kujisomea
![]()
Ndugu kwa Mtanzania halisi hauwezi kujiweka kando na mila na destuli za makabila ya nchi hii na ndio maana viongozi wote wanapotembelea baadhi ya maeneo uvalishwa ngozi za wanyama kama ishara ya kutambuliwa kwao ndani ya watu wa eneo hilo, na kwa picha hiyo mnayozoea kuiweka humu ni wazi Lowassa alikuwa katika maeneo kama hayo niliyoyaandika na ndio maana kuna umati wa watu.Na hapa akiendelea kujisomea
![]()