Ndugu kwa Mtanzania halisi hauwezi kujiweka kando na mila na destuli za makabila ya nchi hii na ndio maana viongozi wote wanapotembelea baadhi ya maeneo uvalishwa ngozi za wanyama kama ishara ya kutambuliwa kwao ndani ya watu wa eneo hilo, na kwa picha hiyo mnayozoea kuiweka humu ni wazi Lowassa alikuwa katika maeneo kama hayo niliyoyaandika na ndio maana kuna umati wa watu.
kibogo;
Umesahau kumwuuliza swali, hata wachezaji wetu wanapoenda Mlingotini Bagamoyo kipindi cha mechi, huwa wanaingia kwa mtaalam wote kama team?? Malofa wanajilikana jamani. Hapa anapewa uchief wa hilo kabila wala si vinginevyo msituchezee akili. Saa ni chache tu zimebaki, tusubiri matokeo vituoni tutakapopigia kura. Lenu la mkono halipiti safari hii. Walinzi tutakuwa macho sana tu