njiakuu2015
Senior Member
- Jun 14, 2015
- 155
- 30
Magufuli kingereza hajuiiii full stop juu ya hiyo hana vigezo vya kua rais
Nafikiri unajua lugha ya Tanzania ni KISWAHILI.
Hivyo sioni hata haja ya kuja na vitu kama ivi kwenye hili jukwaa. Jivunie lugha yako. Kwani kajitaidi kwa hapo alipofikia. Hata uku ulaya tunapokaa hakuna mashindano ya kuongea kizungu kuliko lugha yako. Na wenye lugha yani waingereza hawana habari hata ukikosea vp wala hawana muda wa kukusema kwani wanajua siyo lugha yako. Hili linatokea tu kwenu ninyi wenye akili ndogo mnaojidai kuwa kizungu ni lugha yenu. Pole kijana Jivunie lugha yako. Wazungu hawana lugha zao, wanatamani wawe na lugha yao kuliko kizungu kilichovamiwa na mbulula kama ww

"Improve poverty" is subject to the larger context. English is a ridiculous language.
So that is arguable.
Kuna sehemu Lowasa kasema "our people are getting more poorer".
Nikasema duh.
Mpovu yanini wewe mtoto! kama ulijua hunauvumilivu kwanini ulidandia hoja usio iweza? Sasa wewe hayo ndio maadili uliyofundishwa? wazazi wangu wanakujaje hapa? Mbona unajitafutia laana ya bure! usiwatukane watu usiowajua, mwisho utapinda domo bure. Nani kakudanganya kuwa yule anayepiga push up majukwaani ni mzima? kwani yule mtakayemzika kesho Moro aliwatangazia kama atakufa?
hiyo sentensi wandugu....lowasa yuko sahihi kabisa!!! Waulizeni watu wanaojua advanced english...
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri
Kwani Lowasa na Kikwete ni nani ana nafuu katika kuzungumza Kiingereza? Naona wote kama vile watu wa mtaani tu; wanaongea KISWANGLISH
Dhambi ya kumuua Mwakyembe haitakuacha
Pole sana mtoto, kwa wendawazimu wako unadhani hufahamiki, subiri madhara yake. Usinitafute kwa yatakayofuata!Mpuuzi kama wewe hupaswi kuvumiliwa kabisa kwa sababu huna dalili yeyote ya ustarabu. Wewe ndio ulidandia hoja matokeo yake kwa sababu umetawalia na ushabiki wa ukawa ukaleta matusi ambayo naamini ndio uliyojifunza kwa wazazi wako.
Laana umeanza kuitafuta wewe sio mimi na kama ni kupinda mdomo inabidi uanze kupinda wa kwako uliyeanza matusi. Kwani matusi yako uliyatoa kwa watu unaowajua? wewe mimi unanijua? Kwa taarifa yako mimi najitambua na sidanganyiki, na ndio mana i dont care iwapo aliyepiga push up yuko fiti au mgonjwa, au alijinyea au hakujinyea.
Ikiletwa hoja jadilia hoja, usimjadili mtoa hoja mburula wewe!!
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri
Pole sana mtoto, kwa wendawazimu wako unadhani hufahamiki, subiri madhara yake. Usinitafute kwa yatakayofuata!
Hiyo sentensi wandugu....Lowasa yuko sahihi kabisa!!! waulizeni watu wanaojua advanced English...
The hero laughs last!hahahahaaaaa seems you have no idea whom you are dealing with!! wewe kama ni mchawi utaishia kujiwangia mwenyewe. try me, and let us see who will suffer the most!! for your information i already have every detail i needed about you, so watch you tongue you little kid!
Hebu tuwe wakweli El na Jk wote wawili wanaongea English safi. Ila Tathmini za wengi humu JF ndio zinatia wasiwasi. Zina mapengo.