The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,356
- 4,654
Kwani Lowassa ni mzungu? Hata baraza la Congress ya USA anaruhusiwa kuongea kiswahili
"Improve poverty" is subject to tye latger context. English is a ridiculous language.
So that is arguable.
Kuna sehemu Lowasa kasema "our people are getting more poorer".
Nikasema duh.
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?
Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;
Watch "Edward Lowassa" on YouTube
Lugha haina upambe, lugha ni utamaduni, hivyo kama huijui lugha husika kaa pembeni. Hadhira iliyokusudiwa ilimwelewa na ndio maana haakuna aliyelalamika zaidi ya nyie wa shule za kata mnao tafsiri neno! poleni sana wajinga wakubwa nyie.Ujumbe huwasilishwa kwa kutumia maneno, ishara n.k. Ukitumia maneno na ishara visivyo ujumbe unaweza kufika but si kwa maana iliyokusudiwa. Wapambe wa EL msitake kumlisha EL kile ambacho hakukisema, inawezekana alikusudia hicho mnachokiamini but lugha imempiga mwereka
Lugha haina upambe, lugha ni utamaduni, hivyo kama huijui lugha husika kaa pembeni. Hadhira iliyokusudiwa ilimwelewa na ndio maana haakuna aliyelalamika zaidi ya nyie wa shule za kata mnao tafsiri neno! poleni sana wajinga wakubwa nyie.
Just FYI, Kiingereza changu ni level kubwa sana.
"Improve poverty" is subject to tye latger context. English is a ridiculous language.
So that is arguable.
Kuna sehemu Lowasa kasema "our people are getting more poorer".
Nikasema duh.
Mpovu yanini wewe mtoto! kama ulijua hunauvumilivu kwanini ulidandia hoja usio iweza? Sasa wewe hayo ndio maadili uliyofundishwa? wazazi wangu wanakujaje hapa? Mbona unajitafutia laana ya bure! usiwatukane watu usiowajua, mwisho utapinda domo bure. Nani kakudanganya kuwa yule anayepiga push up majukwaani ni mzima? kwani yule mtakayemzika kesho Moro aliwatangazia kama atakufa?wajinga wakubwa kama huwajui ni wazazi wako waliokuzaa na kutokana na ujinga wao wakashindwa kukufunza maadili mema! ni bahati mbaya kwamba ulichobahatika kurithi kutoka kwao ni ujinga wao.
Hao wajinga wenzako waliomuelewa siwashangai kwa sababu wewe na wao mngekua na akili basi mngetambua kwamba EL ni mgonjwa na amejichokea mzee wa watu na mngekua na akili basi mngemshauri ajipumzikie.
Kampuni ya waisrael yatoa mafunzo ya kikomando kwa walinzi binafsi wa lowassa
Taarifa za uhakika zimevuja zikieleza kuwa Kampuni ya MAX SECURITY SOLUTION ya nchini Israel imelipwa milioni 450 za Kitanzania kwa ajili ya tenda ya kuwapatia mafunzo ya ulinzi wa viongozi, walinzi binafsi wa mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndugu Edward Lowassa.
Mafunzo hayo yanayoongozwa na Mwalimu wa Kiisrael aliyetajwa kwa jina moja la Shaul yanafanyika katika nyumba iliyoko maeneo ya Mbezi Beach. Baadhi ya vijana ambao wanaendelea kupokea mafunzo hayo ni pamoja na: Evance Benno Munembuka anayetumia namba ya simu ya mkononi (0717 291 979), Keneth Kunambi (0767 838 218, 0716 838 218), Yohana Sitta (0789 918 088), Buhimira Golani Mboje maarufu Spencer (0757 200 002), Kombo Mohamed (0717 030 311) na Saimon Chamila (0752 882 462).
Wengine ni Ramadhani Magambo (0719 230 945), Msila Kombo (0713 746 181), Edward Iteba (0754 209 323), Johnstone Malunda (0758 758 183), Josephat Sosphter (0765 073 135) na Mussa Burhan (0786 185 881). Wanyetishaji wamezidi kueleza kuwa miongoni mwa mafunzo ambayo vijana hao wamepewa ni pamoja na namna ya kutengeneza uzio wa kumzunguka Lowassa akiwa katika halaiki ya watu, ulinzi wa gari lake, jinsi ya kutembea na kiongozi kwenye msongamano wa watu, namna ya kuwasiliana na namna ya kumuokoa kiongozi wao inapotokea hatari ya ghafla.
Hata hivyo, imezidi kunyetishwa kuwa, walinzi hao wanaokaa kwenye Hoteli ya B & B ya Mikocheni huku wakilipwa shilingi laki tano kwa mwezi, wameambiwa wawe tayari hata kutoa roho ya mtu iwapo mazingira yataruhusu.
Ingawa haikuelezwa iwapo kuna hatari yoyote ambayo wanadhani inamkabili kiongozi wao na kwanini tahadhali hiyo isitolewe kwa Jeshi la Polisi iwapo kuna tishio kubwa kama hilo, wanyetishaji wanasema kuwa kambi ya Lowassa imejiapiza kuwa vyovyote iwavyo ni lazima waingie Ikulu.
Apson Mwangonda, mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, ndiye anatajwa kuwa msimamiaji mkuu wa suala zima la kuletwa kwa wakufunzi hao wa Kiisrael huku walinzi hao wa Lowassa wakipokea maelekezo moja kwa moja kwa kiongozi wao anayetajwa kwa jina la Aloyce Patrick Tendewa.
Ni wazi kuwa taarifa hizi ni muendelezo wa taarifa za awali zilizowahi kuripotiwa na baadhi ya magazeti na mitandao ya jamii kuwa katika moja ya mikakati ya muda mrefu ya Lowassa, ni kuandaa kundi la vijana wa kufanya fujo katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio cha kulinda kura ifikapo Oktoba 25, mwaka huu.
Tayari zipo taarifa kuwa wapo, pia, vijana ambao wamepelekwa maeneo mbali mbali nchini na wengine nchini Rwanda, kwa ajili ya mafunzo ya kuwaweka fiti ili wawe na uwezo wa hata kusababisha maumivu makubwa ya kimwili na hata uharibifu wa mali kwa wapinzani wao, hususan wale watakaoonekana kuwa ni kikwazo kwa harakati zao za kuingia magogoni.
Lowassa anasema, "without education you cannot improve poverty." Is he serious? Improve poverty?
Ili kuweka record sahihi juu ya uwezo wa kuzungumza Kiingereza kati ya Magufuli na Lowassa ni vema kuangalia video hii;
Watch "Edward Lowassa" on YouTube
watanzania wenye akili na uelewa haya sio yakuyajadil kabisa, hebu tujiulize maisha yetu ya watanzania, then tuamue kuwaachia dora wezi wa ccm au tuamue kumpa dora mtu mwenye uthubutu na aliyezungukwa na watu makin na wenye uchungu wa kutupa katiba mpya itakayo leta usawa na maisha safi..... Lugha sio kitu chaaa maana sana
Bila elimu kuubwaga umasikini ni ndotoNashukuru kaka kwa mchango wako.Nadhani ndugu yetu anaweza kuelewa sasa.😊