English, french mention lugha zooote, wala haina tija kujua, muhim ni lugha yako: ila kitu pekee ambacho naamini ni kuwa, b'se mfumo wa education in TZ, frm sec na kuendelea uko kwa english, zen mimi naamini kuwa kama umesoma at least kwa level ya shahada ya kwanza in TZ zen lazma uwe unajua english. Sasa itokeapo mtu kasoma hadi 2 zat level zen english inampga chenga ni lazma kudoubt hiyo elimu aliipata vp here in TZ. But kwa nchi ambazo mfumo wa edu ni kwa lugha zao like france zen kutojua english is not a big deal @ all: but, note zat kiongoz mzur hatumpimi kwa uwezo wa speaking english or level yake ya elimu