Lowassa na Drunken Master Kungfuu style

Lowassa na Drunken Master Kungfuu style


Drunken Master


Snake in the Monkey's Shadow.

Zipolomoe kwa kutumia kitu software hii https://www.4kdownload.com/products/product-videodownloader
Install hiyo application kwenye PC yako then uta copy hizo path/url za youtube na kuzi paste kwenye hiyo application.

Pia unaweza ku install hii Video Download Capture - Free download and software reviews - CNET Download.com au hapa Video Download Capture - Ultimate Solution to Download and Capture Videos na itaji attach kwenye addons zako na utaiona pembeni ya addess bar, utaona mshale umeangalia chini ni kama video ni dowloadabo mshale huo huwa na rangi ya blue. Mengineyo utaedelea kujijuza mwenyewe as you move on.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo movie umenikumbusha mbali sana, yule master snitch ndo alikuwa kiboko. Alimuwekea Jack Chain kijiti cha moto, akishuka tuu kaungua tako.
 
we lowassa umeshamuona live? au unamsoma humu tu? kuigiza wakati ana stuck kila dk
 
kesho kahama tutaheshimiana! Rais anayetimiza tu wajibu wa tume atakwepo kahama, mi napata castle lager ya baridi kidogo hapa tunda ila baadaye lazima niende nikachukue photos za jukwaa iliyoandaliwa!

Mkutano utakwepo Mbulu wanakotaka kupeleka stand mpya

Mbulu hii ni ya kahama siyo ya akina Akonaay ya Manyara
 
punguza kuangalia filamu maisha halisi hayapo hivyo
 
Unatisha sana mkuu!!!!! Lowassa anawaangalia tu na kujifanya hawaskii kumbe!!!!!!!!!!!!!!!! Nao wanamjua el kuwa si'mtu wa kupigapiga domo ka'mama ntiliye..... Lowassa mtu wa kuchapa mikazi tu no time to waste for udaku.umbeya.uswahiba!!!! Ndo'maana ukitaka ccm izimie tu we wambie lowassa ndo'rais nakwambia watazimia ghafla!! Ccm subirini siku ya tar 28/29 matokeo yakitangazwa kuwa el ndo'rais, hakika nawaambia mtazimia kwa pressure!!!!
 
There comes a time ukimya speaks volumes.Kishindo cha ukimya kimejipenyeza kwenye kila kitongoji, kwenye kila kata, kwenye kila wilaya ,kwenye kila mkoa, zanzibar na pemba ........sisemi zaidi-Mabadiliko lazima.
 
Katulia mzee wetu, hana papara na naturally si mwongeaji[ talkative].Hata mie napenda style yake.Nafikiri anaweza
badilisha hali ya maisha ya Watz akipata wasaidizi makini.
 
Back
Top Bottom