Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,344
- 9,845
Kilichofanya mshindi mwanzoni asipatikane kihalali ni nini?Nina wasiwasi wewe sio raia wa Tanzania! VITA unaijua wewe?? Unafikiri utajamba tena vita ikitokea? Huyo LOWASSA ana cheo gani cha kutoa tamko kwenye Nchi hii? Sisi tunasubiri Uchaguzi Machi 20 na mshindi atapatikana kihalali!!
Maana kama kimerekebishwa tunaweza kuwa na imani kuwa wakati huu mshindi atapatikana kihalali.
Huwezi kurudia hesabu kwa formula ileile ukapata jibu tofauti.
Ni Maalim na Zanzibar au tukose wote!