Lowassa, Maalim Seif waishika Zanzibar!

Lowassa, Maalim Seif waishika Zanzibar!

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu na kupata msg nyingi za hapa na pale zilizokuwa zikilenga kaniuliza mustakabali wa Zanzibar baada ya kutangazwa kurejewa kwa uchaguzi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu nini kinaendelea na nimepata taarifa zifuatazo:
1. Kutangazwa kurejewa kwa uchaguzi kumetokana na mpango wa kutaka kuendeleza uwepo wa Dr. Shein madarakani kwani Jumatatu ya tarehe 25/01/2016 Ndio mwisho wa kuongezewa muda na Ccm wana uhakika kwamba uchaguzi hauwezi kurudiwa, hivyo inaweza kuwasaidia Wahafidhina wa Chama Tawala kubaki madarakani.
2. Wanasheria wazalendo wa Zanzibar wakiongozwa na aliekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serekali, Mr. Othman Masoud wapo kwenye hatua za mwisho za kupeleka mashtaka yetu ya kubakwa Kwa democracy kwenye mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu.
3. Wanasheria wa Ukawa watapeleka hoja maalum kwenye bunge litakaloanza Jumanne tarehe 26 ili kupinga uamuzi wa kurudiwa kwa uchaguzi na ikishindikana watengue na uchaguzi wa Muungano jambo ambalo litamgusa Mh. Rais Magufuli..
Kwa hayo machache tutegemee jambo lipo insha Allah.
Ahsanteni sana..

By Mzalendo Kindaki ndaki
 
unaposema icc ukumbuke viongozi wa CUF ni lazima wasongeshwe huko, kwani ndo watakuwa chanzo cha hayo yanayotokea kwa sasa kwa hali usifurahi sana kwa kutegemea kuwa waanzilishi ni ccm, na ndo watasongeshwa huko.
 
Tatizo unajifanya taahira

Taahira? Sasa wewew ncdio taahira hasa. Mtu anasema mabomu yamepigwa Zanzibar? Unamwamini? kama sio utaahira ni nini? Inatakiwa kusema mabomu yamepigwa Zanzibar mahali fulani. Mimi niko Zanzibar na huo ni uongo wa kutupwa. Niko kazini na n imetoka nyumbani salama salimini.
Anyway Mimi nachotaka Mleta mada aseme ni wapi basi. asa kumuuliza hivyo ndio nimekuwa taahira? Pole sana!
 
Jamani kuwa CCM tu ni kama umemeza heroine, ukiwa mkereketwa tayari ni punguani, na ukiwa maskani yako KISONGE .....NI UPEWE POLE TU. Nishakueleza mabomu ya machozi yamerindima Mtaa wa Kundemba, Baraste - kipande na sio mbali na Kisonge!
Usiaminishe watu uongo. Mimi niko Zanzibar na hamna kitu kama hicho! Mbona mleta mada mwenyewe kaakaa kimywa kwa sababu amejua ni uongo mtupu!~!! Hivi mnapata faida dani Kusema uongo?????? Mnatumwa na nani????
 
Ccm wenyewe kwa wenyewe hawakubalian na uchaguz kurudiwa,wachache walio na madaraka ndio wanatusumbua
 
Mkuu Zanzibar ya Songea. Maana nilishawahi kua mitaa ya Zanzibzr hapo Songea
Hapana Zanzibar ya Zanzibar. Na nilikuwa Mlandege nimepita Fuoni, Mkwajuni Ni uongo mtupu! sijui wanaovumisha wanapata faida gani?
 
Hapana Zanzibar ya Zanzibar. Na nilikuwa Mlandege nimepita Fuoni, Mkwajuni Ni uongo mtupu! sijui wanaovumisha wanapata faida gani?

Wengi wanaovumisha ni CHADEMA walioko bara wala sio wazanzibari nitaje na kabila yao hao wavumishaji? Ukitaja CHADEMA tu kabila umeshalijua.
 
That is the spirit!!!
We don't show them any remorse, we take them by the throat and play their game better than them.

Maalim atangazwe rais wa Zanzibar.
Na Zanzibar ni sehemu ya Tanzania, kwa hivyo watanzania wote tuna deni la kulipa Zanzibar.
Binafsi niko tayari kulilipa kwa damu yangu.

CCM amegeuka kuwa mkoloni mweusi mwenye tabia zote za kikoloni tulizopambana nazo.
CCM amekuwa eti mbaguzi wa rangi leo sijui CCM anataka rangi gani.
CCM akizidiwa kwenye ulingo wa siasa anakimbilia udini na ukabila.

Magufuli anasema anahangaika na majipu yaliyozalishwa na CCM ila nyumba yenyewe ya majipu ni CCM.

CCM ikiondoka madarakani ndio mwisho wa majipu!

Ni Maalim na Zanzibar au tukose wote.
thats it mkuu,vinginevyo unafiki utatumaliza.hii nchi hata isingekuwa na upinzani ipo siku ingelipuka tu,na italipuka sababu watu wameshatia matabaka sana.kuna wanaoamini familia zao ni bora kuliko wengine na hii haijawahi kukubalika popote duniani.namhurumia magufuli ikiwa kweli ana dhamira ya dhati atapata shida sana.aidha ajiunge nao au akitupe chama abaki na nchi na wana wa nchi.wakati utatuhukumia
 
Usiaminishe watu uongo. Mimi niko Zanzibar na hamna kitu kama hicho! Mbona mleta mada mwenyewe kaakaa kimywa kwa sababu amejua ni uongo mtupu!~!! Hivi mnapata faida dani Kusema uongo?????? Mnatumwa na nani????
una roho mbaya sana ! hivi kwa haya yanayofanywa na jecha unadhani zanzibar iko salama ?
 
That is the spirit!!!
We don't show them any remorse, we take them by the throat and play their game better than them.

Maalim atangazwe rais wa Zanzibar.
Na Zanzibar ni sehemu ya Tanzania, kwa hivyo watanzania wote tuna deni la kulipa Zanzibar.
Binafsi niko tayari kulilipa kwa damu yangu.

CCM amegeuka kuwa mkoloni mweusi mwenye tabia zote za kikoloni tulizopambana nazo.
CCM amekuwa eti mbaguzi wa rangi leo sijui CCM anataka rangi gani.
CCM akizidiwa kwenye ulingo wa siasa anakimbilia udini na ukabila.

Magufuli anasema anahangaika na majipu yaliyozalishwa na CCM ila nyumba yenyewe ya majipu ni CCM.

CCM ikiondoka madarakani ndio mwisho wa majipu!

Ni Maalim na Zanzibar au tukose wote.
Swadakta , Maalim Seif ni shujaa .
 
Kwahyo mkishindwa. Unarudiwa tena ***** amaa kweli ccm ipo tayari hata watu wafe ili itawale
aliewaponza ni malim seif mwenyewe kujitangazia ushindi alikuwa na wac gan mbon anaingilia kaz ya tume hilo nalo co kosa, mbon nyie mnaamurisha mazur il hal nyie hamuyatendi angalien pia na upande wenu maalim kalikoroga mwenyewe mwachen alinywe. Pia nahc jecha katumia busara kwan hata kipenzi cha mngu mtume muhamad anasema kama kuna mtu anayataka madaraka kwa nguv msimpe mpen ambae hatak
 
Haiwi haiwi uvumivu sasa umefikia mwisho ,Polisi wa Muungano wapo njiani wakisaidia juhudi za mwizi kuendeleza wizi kwa maana sasa wananchi kila mmoja kwa upande wake anatoka njiani kifua mbele kupinga hatua za CCM kutaka uchaguzi urudiwe kwa kuwa ilipigwa na chini ,wanachi wakati wa kulazimishwa kuekewa utawala wasio uchagua umepitwa na wakati.

Polisi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wapo njiani kupambana na wananchi wenye hasira kali ,muda huu ni mabomu kila kona na pia inasemekana zimesikika risasi za moto.
Kama huamini mpigie simu aliepo Zanzibar.

=======================

Chanzo: Mwananchi
Polisi wa Muungano ndio wapi hao?
 
Back
Top Bottom