MweeeHadi watu waanze kufa ndio utaona
Breaking news kutoka wapi? unataka ITV ifutwe na kufungiwa kama gazeti la Mawio!Mbona sijaona breaking news ITV?
Hapana mkuu ITV ni tv ya umma, labda waifungie TBCBreaking news kutoka wapi? unataka ITV ifutwe na kufungiwa kama gazeti la Mawio!
Poleni sana, but who cares?Haiwi haiwi uvumivu sasa umefikia mwisho ,Polisi wa Muungano wapo njiani wakisaidia juhudi za mwizi kuendeleza wizi kwa maana sasa wananchi kila mmoja kwa upande wake anatoka njiani kifua mbele kupinga hatua za CCM kutaka uchaguzi urudiwe kwa kuwa ilipigwa na chini ,wanachi wakati wa kulazimishwa kuekewa utawala wasio uchagua umepitwa na wakati.
Polisi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wapo njiani kupambana na wananchi wenye hasira kali ,muda huu ni mabomu kila kona na pia inasemekana zimesikika risasi za moto.
Kama huamini mpigie simu aliepo Zanzibar.
NI KUNDEMBA... KUNDEMBA...KUNDEMBA wacha ushabiki wa KISONGESi kweli niko Zanzibar na hali ni shwari kabisa! Kama ungekuwa mkweli ungetaja maeneo!
hivi kuna mchochezi kushinda jecha ?Mtasema sana, mwisho mtaishia mikononi mwa dola. Serikali isiwachekee hawa wachochezi wa mgogoro wa zanzibar.
It is not about Kisonge. Issue ni kuwa mleta mada aseme wapi? Otherwise ni uongo? Kwa nini asisme sehemu iliyotokea???? Kama ni kweli?NI KUNDEMBA... KUNDEMBA...KUNDEMBA wacha ushabiki wa KISONGE
Mhe. Alhajj Jecha kabla hajateuliwa kuwa mwenye wa ZEC aligombania uwakilishi kwa tiketi ya CCM kwenye kura za maoni akaanguka. Jecha ni kada mahiri wa CCMkila saa ccm wamifanya iv mara vile, kwan walofuta uchaguz ni ccm au zec achen kulaum kila kitu kama nyie mnapenda aman , uchaguz c unarudiwa au nyi mnataka nn! Naona wengne ngeu zinawanyemelea