Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

nimeshamchagua Lowasa Matatiro na Mwakatobe.
 
Nimeshachinja Lowassa, akachunge huko kama anaweza hata huko kuchunga kwenyewe
 
Muda wa kampeni umeisha, watu tumeshapiga kura tusubiri matokeo!Tanzania ni muhimu kuliko Lowasa na Magufuli kushinda
 
Naona waandishi wa habari wa nchi za nje hawakupewa nafasi ya kumuhoji magufuli..... jamaa nduki.... majibu ya haraka haraka.... "eti nikiapishwa"...
 
Mimi nimeshapiga kura yangu, hayo mambo ya kwenye TV sifuatilii na niko busy nasoma Biblia agano la zamani Daniel 5 :25 hadi 28.
 
Timiza wajibu wako Mtanzania mwenzangu, usiache kwenda kupiga kura leo..
 
nipo kwenye foleni kumpigia kura,lowassa ni ndefu lakini ntakomaa hadi nimpe ✌ lowassa
 
Kama inavyosisitizwa na watu mbalimbali kuchagua mgombea mcha MUNGU. Leo Lowassa kaanza kwanza kwenda kusali kanisani na sasa yuko kituoni na mkewe kwa ajili ya kupiga kura

Ivi Magufuli atakuwa ameenda kanisani kwl leo,au aliamkia kituoni?
 
Lowassa is our fifth president asubiri kuapishwa kuna faulo ndogo ndogo hawawezi kushindana na nguvu ya Mungu
 
Thats the problem..he just say things which you'd never figure what he truly means...

Trust me Mkuu, i very do.

But i can tell you this, Kama hukuelewa what Lowassa's silence meant in the whole saga(refer Mabandiko yako), i don't expect you to understand the words he uttered today.
 
Hadi sasa Lowasa anaongoza 85% ya kura zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…