Leo saa 2 asubuhi nilikwenda kuchukua Lemara mtaa wa Korongoni shule ya Sekondari Naura hakika nilichoshuhudia binafsi kinatisha waTanzania wanataka mabadiliko.
1.Wapiga kura wanauliza nchi ndogo kama Rwanda wanamiliki ndege 7 Tanzania NIL
2. CCM & Serekali yake wameuwa viwanda alivyojenga Mwl Nyerere vijana hawana ajira.
3. Huduma za afya zimedorora kabisa Kikwete badala ya kuboresha anakwenda kununua magari ya polisi kutupiga.
4. Elimu ya Tanzania imeshuka sana watoto wetu hawana uwezo wa kushindana katika soko la ajira la EAC.
5. Utendaji wa serekali ya Kikwete umeshuka sana vyombo kutoa haki kama polisi,mahakama rushwaa imetamalaki.
6. Huduma za maji & umeme zimezidi kuwa mbaya.
Jina langu linahakikiwa na karani wa tume nawaacha wapiga kura wakiendelea kulalamika lakini wakiwa wamejiandaa kutoa hukumu kali na kupeleka kilio mtaa wa Lumumba.