Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.
umekwisha mwenyewe, tunafaham kaz aliyoifanya dhid ya wakurugenz michwa wamepumzka pinda alvoingia. tnahitaj mtekelezajnasio mlalamikaj. mbowe na slaawakewameifanya cdm saccos yao hvo ikulu wasahau kabxaaaaaa labdasiku ZZK akishika uenyekit coz anaweka maslah ya nchi mbele wanainchi watamuelewa
 
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.
Hapo ndipo ninapoamini wa TZ tuna njaa sana, yaani jambazi akikuingilia leo ndani akakuibia mali zako zote na kukuacha katika umaskini, kesho akikupa mwaliko ukala na kunywa kwa kutumia hela yako akakuomba umuonyeshe mali zako zote zilizobaki ili akusaidie, wewe unapiga makofi na kusema ni mtu mzuri, bila kuona achotumia ni chako, naanza kupata picha kwanini serikali haitaki kuboresha elimu ili iendelee kuzalisha mambulula
 
kila anayejituma kwenye maisha mimi namtakia kila la heri
 
TZ needs lowasa like christians need Jesus

Hii ni kufuru tena mbaya sana. Huwezi kumweka Yesu katika level moja na Lowasa. Lowasa ni mwanadamu tu tena kiumbe. Yesu ni Mwana wa Mungu na ni Mungu Kamili. Unaweza usiamini hivyo lakini hiyo hainipi mimi shida. Maana ukweli hubaki kuwa ukweli hata usipoaminiwa.
 
TZ needs lowasa like christians need Jesus

Acha kukufuru mjinga wewe.
Uwe unaangalia vitu vya kupost kabla hujapost.
MUNGU aliyejifanya mwanadamu ili aje kutukomboa huwezi kumlinganisha na FISADI PAPA Lowassa, Mmeru anayejifanya Mmasai.
 
maccm yasipomsimamisha fisadi edo ngoyai lowassa wajue wamekwisha, cdm kwenda ikulu itakuwa kaaaaama wananawaaaaa. nusura pekee ya maccm ni kumsimamisha fisadi mwenzao eddo. na eddo keshaamua, liwake jua inye mvua, kama ni ufisadi yeye ndo kawafundisha ma ccm, sasa tuone, nape na kinana mtahara mwaka huu.
 
CCM watake wasitake, atakayeokoa jahazi la Urais NI MWANAMKE. Hata waseme nini, aliyebaki ni ASHA ROSE MIGIRO!

Huyo ndiye nyota aliyetabiriwa kuikomboa CCM kwenye suala la urais.

Nyerere alisema "Ukiona mtu anatumia fedha nyingi ili aingie Ikulu, mwulizeni: Kuna biashara gani pale Ikulu? Akasema mwulizeni mpango wake wa kurejesha hizo pesa. Akasema Ikulu ni mahali patakatifu."

Unadhani Mwalimu alikuwa anamzungumzia nani kama si huyu huyu Lowassa anayediriki kuingia kwenye Uislam ili mradi tu aweze kupata kura za Waislam?

NITAZIDI KUSEMA BILA WOGA!
 
Unajipa shida bure, hii ni zamu ya wakristo kama unampenda Migiro mpelekeni muslim university ya morogoro akawafute ujinga kule ndio ana nafasi.
 
Lowasa mwanaume wa shoka- Sofia Simba.

Huo uanaume wa shoka wa Lowassa anaujua huyo Sophia Simba sisi wengine tunajua Lowassa ni fisadi wa RICHMOND (Richard wa Monduli). Kutokana na ufisadi huo wa RICHMOND kila siku tunapandishiwa umeme kila baada ya muda mfupi. Nasikia pesa yao ya DOWANS yeye na Rostam wameishalipwa na ndizo anapita mitaani anawaonga watu ili wampe kura akigombea urais.
 
Jamani siipendi CCM hata chembe, ila Lowasa namkubali maana hata Richmond si yeye ni Mkuu wa K.... Kumbukeni alivyosema pale Dodoma kwenye kikao cha CCM, Mkuu inamaana kuna ambacho hukijui au unataka niseme Mkuu wa K akakaa kimya. Hata hivyo Richmond kwani imeishia wapi? Naomba tusiwe wepesi wa kusahau Lowasa is a man of action, I admire his hard working spirit.
 
CCM watake wasitake, atakayeokoa jahazi la Urais NI MWANAMKE. Hata waseme nini, aliyebaki ni ASHA ROSE MIGIRO!

Huyo ndiye nyota aliyetabiriwa kuikomboa CCM kwenye suala la urais.

Nyerere alisema "Ukiona mtu anatumia fedha nyingi ili aingie Ikulu, mwulizeni: Kuna biashara gani pale Ikulu? Akasema mwulizeni mpango wake wa kurejesha hizo pesa. Akasema Ikulu ni mahali patakatifu."

Unadhani Mwalimu alikuwa anamzungumzia nani kama si huyu huyu Lowassa anayediriki kuingia kwenye Uislam ili mradi tu aweze kupata kura za Waislam?

NITAZIDI KUSEMA BILA WOGA!
HAKUNA ATAKAYEIOKOA CCM ZAID YA LOWASA, Isitoshe walishakubaliana kabisa na kikwete kuwa baada ya kikwete ni lowasa, ccm kwa nini tugeuke ahadi tuliyowekeana na lowasa?! huu ni uhuni, isitoshe kikwete na lowasa hawakukutana barabarani. lowasa ndo chaguo sahihi la ccm.
 
kwani ukifanya kazi kiwandani ndo haufi?hacha ujinga wewe hivi unajua bodaboda imeajiri watu wangapi?
 
Jamani siipendi CCM hata chembe, ila Lowasa namkubali maana hata Richmond si yeye ni Mkuu wa K.... Kumbukeni alivyosema pale Dodoma kwenye kikao cha CCM, Mkuu inamaana kuna ambacho hukijui au unataka niseme Mkuu wa K akakaa kimya. Hata hivyo Richmond kwani imeishia wapi? Naomba tusiwe wepesi wa kusahau Lowasa is a man of action, I admire his hard working spirit.

Lilikuwa DEAL lao watu watatu Lowassa, Rostam na Mkuu wa Kaya ndo maana hiyo hoja ilizimwa na M/Kiti kwenye kikao cha NEC ya CCM
 
TZ needs lowasa like christians need Jesus

Hakika wewe si pepo, mzimu wala jini bali ni shetani mwenyewe.

Laana za viumbe wote tangu mwanzo wa ulimwengu ziwe juu yako ni kizazi chako chote mwana wa ushenzini wewe.

Laana za Buzwagi, IPTL, Richmond, Songas, Meremeta, Deep green na kuzimu yote zishikamane na maisha yako yote Dagoni wewe.
 
lowassa hoyeeeeeeeee, wakristo hoyeeeeeeeeeeeee, kanda ya kaskazini hoyeeeeeeeeeeeeee, ritz hoyeeeeee, le mutuz hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, lowasa ndiye mgombea urais kwa tuket ya ccm ajaye. lowasa juuuuu, juu juuuu zaid. kanda ya kaskazini na sisi tumooooo, lazima mgombea urais (si rais) kwa tiketi ya ccm awe lowasa wa kanda ya kaskazini na mkristu. hatumtaki membe yule ni kanda ya kusini alipotokaga mkapa, sasa hivi ccm ni zamu ya kanda ya kaskazini na ni zamu ya mkristo. kidumu chama cha mapinduzi
 
Hakika wewe si pepo, mzimu wala jini bali ni shetani mwenyewe.

Laana za viumbe wote tangu mwanzo wa ulimwengu ziwe juu yako ni kizazi chako chote mwana wa ushenzini wewe.

Laana za Buzwagi, IPTL, Richmond, Songas, Meremeta, Deep green na kuzimu yote zishikamane na maisha yako yote Dagoni wewe.

uliugua cerebral malaria utotoni?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom