OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
- Thread starter
- #201
Mkuu,umenena Sumaye ni chaguo lijalo la Mungu kwa watanzania
mtajibeba na huyu sumaye wenu mwenye macho juu juu kama ya mamba,lowassa ndiye mpango mzima
Mkuu,umenena Sumaye ni chaguo lijalo la Mungu kwa watanzania
wanamuonea lowassa kwasababu ni wa kaskazini
wadau!!
Ni waz sasa lowassa hakamitki,katika kile kinachoonekana kwamba mh lowassa ni moto wa kuotea mbali,juma pili hii atafnya harambee ya aina yake ili kuwawezesha waendesha boda kila mmoja kumiliki boda boda,ni jana tu mahasimu wa lowassa wamekuwa wakimshambulia,ila lowassa ameamuwa kupiga kimya anafnya kwa vitendo,
Makonda juzi alitumika na membe na sitta kuja kumshambulia mh lowassa,lakin kutokana na busara za lowassa hakutaka kujibizna naye kwasabu cyo saiz yake.namshauri makonda amesha washa moto kwasabu hao wenyew walio mtuma wanaujuwa moto wa lowassa na ndio mana wao wamemuweka front makonda wasikilizie kinacho endelea,
Lowassa mwaka huu atawaonyesha subir moto zaid unakuja
tusihofu mbio za lowasa ila tujiulize atainusru ccm na umackin wa nchi hii?
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.