Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.
Acha kukufuru mjinga wewe.
Uwe unaangalia vitu vya kupost kabla hujapost.
MUNGU aliyejifanya mwanadamu ili aje kutukomboa huwezi kumlinganisha na FISADI PAPA Lowassa, Mmeru anayejifanya Mmasai.

acha mahaba niue unaelewa maana ya like-kama

btw mjinga mwenyewe
 
Fisadi papa kama mafisadi wengine,mwenye uroho wa madaraka,eehhh Mungu epushia mbali balaa hili.
 
Lowassa ana mikakati kiboko ya kusaka kura. Maana kuna wakati alionekana hadi kule mtaa wa makoroboi (Mwanza). Nadhani anafanya maandalizi ya kupata uraisi hata bila chama (kama mgombea binafsi).
 
Acha kukufuru mjinga wewe.
Uwe unaangalia vitu vya kupost kabla hujapost.
MUNGU aliyejifanya mwanadamu ili aje kutukomboa huwezi kumlinganisha na FISADI PAPA Lowassa, Mmeru anayejifanya Mmasai.

mkuu una hasira snaaaa,tulia utibiwe,lowassa ndiyeee rais
 
Ni wazi sasa lowassa hakamitki,katika
kile kinachoonekana kwamba mh
lowassa ni moto wa kuotea
mbali,juma pili hii atafanya harambee
ya aina yake ili kuwawezesha
waendesha boda kila mmoja kumiliki
boda boda,ni jana tu mahasimu wa
lowassa wamekuwa
wakimshambulia,ila lowassa
ameamuwa kupiga kimya anafanya kwa
vitendo.
 
safi sana RAISI WETU 2015
Via #Friends_of_LOWASSA
Kuwasaidia wafuasi wa lowasa ningewashauri mshaurini kuwa apige picha ya ikulu na atafute ramani yake na kwa kuwa anahela ajenge ya kwake kule monduli ili awe raisi wa monduli. Lowasa hawezi kuwa rais wa JMT. Lowasa alipokuwa anahama nyumba ya waziri mkuu albeba vitu vyote mpaka TV, vitanda vya serikali akapeleka kwake wakati ni mali ya serikali, na serikali inajua hilo. Pole Lowasa rais kazi yake sio kuendesha harambee!
 
EL_2.jpg
 
wadau!!
Ni waz sasa lowassa hakamitki,katika kile kinachoonekana kwamba mh lowassa ni moto wa kuotea mbali,juma pili hii atafnya harambee ya aina yake ili kuwawezesha waendesha boda kila mmoja kumiliki boda boda,ni jana tu mahasimu wa lowassa wamekuwa wakimshambulia,ila lowassa ameamuwa kupiga kimya anafnya kwa vitendo,
Makonda juzi alitumika na membe na sitta kuja kumshambulia mh lowassa,lakin kutokana na busara za lowassa hakutaka kujibizna naye kwasabu cyo saiz yake.namshauri makonda amesha washa moto kwasabu hao wenyew walio mtuma wanaujuwa moto wa lowassa na ndio mana wao wamemuweka front makonda wasikilizie kinacho endelea,
Lowassa mwaka huu atawaonyesha subir moto zaid unakuja

Makonda anatumika na Sitta, wewe unatumika na nani?
 
Jamani siipendi CCM hata chembe, ila Lowasa namkubali maana hata Richmond si yeye ni Mkuu wa K.... Kumbukeni alivyosema pale Dodoma kwenye kikao cha CCM, Mkuu inamaana kuna ambacho hukijui au unataka niseme Mkuu wa K akakaa kimya. Hata hivyo Richmond kwani imeishia wapi? Naomba tusiwe wepesi wa kusahau Lowasa is a man of action, I admire his hard working spirit.

Aisee jina lako zuri sana. Hongera
 
lowassa hoyeeeeeeeee, wakristo hoyeeeeeeeeeeeee, kanda ya kaskazini hoyeeeeeeeeeeeeee, ritz hoyeeeeee, le mutuz hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, lowasa ndiye mgombea urais kwa tuket ya ccm ajaye. lowasa juuuuu, juu juuuu zaid. kanda ya kaskazini na sisi tumooooo, lazima mgombea urais (si rais) kwa tiketi ya ccm awe lowasa wa kanda ya kaskazini na mkristu. hatumtaki membe yule ni kanda ya kusini alipotokaga mkapa, sasa hivi ccm ni zamu ya kanda ya kaskazini na ni zamu ya mkristo. kidumu chama cha mapinduzi

Hizi gongo za bure mbaya sana...
 
Lowassa hawezi akaponda chadema,coz ccm wakimutosa anahamia chadema,babu ataku,Mkiti,wakishinda,wazil mkuu atakuwa mbowe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom