Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,205
Na mimi nawahi bodaboda yangu
Hakika wewe si pepo, mzimu wala jini bali ni shetani mwenyewe.
Laana za viumbe wote tangu mwanzo wa ulimwengu ziwe juu yako ni kizazi chako chote mwana wa ushenzini wewe.
Laana za Buzwagi, IPTL, Richmond, Songas, Meremeta, Deep green na kuzimu yote zishikamane na maisha yako yote Dagoni wewe.
watanzania mmegeuka kuwa mazuzu. lowasa siyo chochote ila anaumarufu wa nguvu ya pesa hana nguvu ya Muna. ache kugawa hizo fedha zake . Aache kukimbilia makanisani na misikitini home kama huko umarufu upo. kinachowatesa baadhi ya watanzania ni kuwa na akili kama ya kuku. tunasahau mambo kwa mda mfupi sana mtandao wa kifisadi uliomuweka baba Riz hapo alipo ndiyo huohuo mtandao unaotaka kumweka Mr lowasa. sijui kama mnao ya mbele? vijana wachache wanamshabikia lowasa wakiwa na matumaini ya kuwa pengine fadhila atakuja kuwapa baada ya kutinga magogoni lakini dhubutu lowasa hana ubavu wa kuwa rais wa Tanzania hata Tanganyika atamaliza fedha zake bure atakufa kwa pressure. na ushauri apumzike maana hali yake itakuwa mbaya sana ccm wakimtosa na hata kama wasimmtosa Chadema watachukua nchi mchana kweupe.
Tafsiri yake ni nini maana apo nimetoka kapa cunajua mambo yetu kiswahili zaidi.This is a contemptuous, profane utterance; total blasphemy!
Jinga sana tumechoka na sera zisizotekelezeka na masisiemu yenu.we need someone who doe not have scandal. Yani alivyochokwa kikwete ndivyo hatutaki kusikia lisisiemu lenuwadau!!
Ni waz sasa lowassa hakamitki,katika kile kinachoonekana kwamba mh lowassa ni moto wa kuotea mbali,juma pili hii atafnya harambee ya aina yake ili kuwawezesha waendesha boda kila mmoja kumiliki boda boda,ni jana tu mahasimu wa lowassa wamekuwa wakimshambulia,ila lowassa ameamuwa kupiga kimya anafnya kwa vitendo,
Makonda juzi alitumika na membe na sitta kuja kumshambulia mh lowassa,lakin kutokana na busara za lowassa hakutaka kujibizna naye kwasabu cyo saiz yake.namshauri makonda amesha washa moto kwasabu hao wenyew walio mtuma wanaujuwa moto wa lowassa na ndio mana wao wamemuweka front makonda wasikilizie kinacho endelea,
Lowassa mwaka huu atawaonyesha subir moto zaid unakuja
subiri mwisho wa siku utaona,hoja yko umeandka kwa kulalamika sna,ila nikuambie tu hizo chuki ulizo nazo kwa mh lowassa rais wetu mtarajiwa ci lolote,watanzania kwa ujumla wanamkubali sna mh lowassa wanachosubiri ni kumpa kura zao tu
umekwisha mwenyewe, tunafaham kaz aliyoifanya dhid ya wakurugenz michwa wamepumzka pinda alvoingia. tnahitaj mtekelezajnasio mlalamikaj. mbowe na slaawakewameifanya cdm saccos yao hvo ikulu wasahau kabxaaaaaa labdasiku ZZK akishika uenyekit coz anaweka maslah ya nchi mbele wanainchi watamuelewa
Huyu mtu anayepita anahonga honga watu na mitandao yake ni wa kuogopa kama ukoma!!
Kumpigia debe Lowassa, ni lazima kwanza uwe na roho, na ujasiri wa mwendawazimu!
hiyo ndiyo demikrasia yako siyo!After Kikwete follows Lowasa.
mimi ninampenda tu coz ajibizani majukwaani, wala hamtukani mtu, huyu mtu sijawahi msikia hata akitamka Mboye, Dr. Silaa wala akitamka neno CHADEMA, MUCH RESPECT. ANA SIASA NZURI SANA ZA KUTOCHAFUA WENZAKE, UMAARUFU WAKE NI VITENDO
ASUME ASINGEKUWA NA KASHFA YA RICHMOND, NANI ANGEMKAMATA HAPA TZ
Ze Kidhungu!This is a contemptuous, profane utterance; total blasphemy!
Umelaaniwa kumfananisha fisadi na mporaji huyu na Mwana wa mungu! Acheni mungu autwe mungu na mwizi aitwe mwizi.TZ needs lowasa like christians need Jesus