Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.
wadau!!
Ni waz sasa lowassa hakamitki,katika kile kinachoonekana kwamba mh lowassa ni moto wa kuotea mbali,juma pili hii atafnya harambee ya aina yake ili kuwawezesha waendesha boda kila mmoja kumiliki boda boda,ni jana tu mahasimu wa lowassa wamekuwa wakimshambulia,ila lowassa ameamuwa kupiga kimya anafnya kwa vitendo,
Makonda juzi alitumika na membe na sitta kuja kumshambulia mh lowassa,lakin kutokana na busara za lowassa hakutaka kujibizna naye kwasabu cyo saiz yake.namshauri makonda amesha washa moto kwasabu hao wenyew walio mtuma wanaujuwa moto wa lowassa na ndio mana wao wamemuweka front makonda wasikilizie kinacho endelea,
Lowassa mwaka huu atawaonyesha subir moto zaid unakuja
Tamko lingine limetolewa Leo na Mzee Malecela Samuel. Je huyu naye si size yake?
 
Huwa akili za watanzania wengine sizielewi, sijui huwa hazina memory capacity ya kutosha! Kwa hiyo zina delete kumbukumbu za nyuma na kuifazi za sasa tu, wamesha sahau kashfa ya uwizi na ufisadi ya lowasa ambayo imesababisha mpaka umeme umepanda bei?

Ile bidhaa inayozalishwa pale mtaa wa Limumba sio ya kuijaribu ata kidogo.
 
Maana ya "Makonda" huku kwetu ni mboga ya mlenda! Kwa kwa kwa kwa kwa kwa! Teh teh teh teh teh.
 
Tamko lingine limetolewa Leo na Mzee Malecela Samuel. Je huyu naye si size yake?

sasa mkuu lowassa ndiye wakujibizana na mzee malechela ambaye amezeeka udenda unamdondka kama vile anakula ugoro????huyo tumemuachia lusinde kibajaj acheze naye
 
kijana , hebu tufafanulie , unataka kutuambia nini hasa kati ya haya mawili , LOWASA KUFANYA HARAMBEE YA BODABODA AU LOWASA KUGOMBANA NA MAKONDA ?
 
kweli kabisa ukiongeza na ujasiri ndo vilifanya Richmond ije tz......imezarisha cost pull inflation mpaka Leo....hyo ndo lowassa bhana!!!
huo ni ushabiki tu,ati sijui richmond imesababisha inflation,HOW,WHY AND WHEN?.

Lowasa KUPANGA NA KUTENDA.
 
kijana , hebu tufafanulie , unataka kutuambia nini hasa kati ya haya mawili , LOWASA KUFANYA HARAMBEE YA BODABODA AU LOWASA KUGOMBANA NA MAKONDA ?

Lowassa hawez akawa na ugomvi na mtoto wake manake makondo ni kama mtoto wake,yule ametumika tu kama condom ili afikishe ujumbe,Lowassa anawasaka hao wanaomtuma
 
UNAMAANISHA KUTENDA kwa KUWANUNUA WANACCM WALIOJAA DHIKI MWILI MZIMA ?
kupanga ni kuweka mikakati ya kupambana na matatizo kama elimu,ukosefu ajira na kutenda ni kuapproach tatizo directly bila longolongo.

Just imagine how many life of the bodaboda he is going to change in just one harambee.
 
kupanga ni kuweka mikakati ya kupambana na matatizo kama elimu,ukosefu ajira na kutenda ni kuapproach tatizo directly bila longolongo.

Just imagine how many life of the bodaboda he is going to change in just one harambee.

mkuu mweleze huu sio muda wa maswali,ni muda wa vitendo!!!!!
 
Kama mtu anakubalika aachwe tu na si kumpiga vijembe. Mzee lowasa endelea na harakat zako kama kawaida
 
Lowasa akikosa urahisi anajinyonga..dah hii kitu spidi sijawahi iona..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom