Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.
Future P. Mpk kieleweke mwanzo mwisho. Tuko pamoja

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
RAIS.jpg
Hao ndo maraisi wetu awamu ya pili mpaka ya TANO!Hutaki kameze chura ulale
 
wadau!!
Ni waz sasa lowassa hakamitki,katika kile kinachoonekana kwamba mh lowassa ni moto wa kuotea mbali,juma pili hii atafnya harambee ya aina yake ili kuwawezesha waendesha boda kila mmoja kumiliki boda boda,ni jana tu mahasimu wa lowassa wamekuwa wakimshambulia,ila lowassa ameamuwa kupiga kimya anafnya kwa vitendo,
Makonda juzi alitumika na membe na sitta kuja kumshambulia mh lowassa,lakin kutokana na busara za lowassa hakutaka kujibizna naye kwasabu cyo saiz yake.namshauri makonda amesha washa moto kwasabu hao wenyew walio mtuma wanaujuwa moto wa lowassa na ndio mana wao wamemuweka front makonda wasikilizie kinacho endelea,
Lowassa mwaka huu atawaonyesha subir moto zaid unakuja
angalia kama utapata shule hata ya evening classes ufundishwa namna ya kuandika unatupa shida sana ya kukuelewa
 
Oyaaaa! Atakuwa mtaa gani katika jiji? Mimi napendekeza atakapotokea akute tumeandaa mdundiko na maShangingi wengi sana wanaoimba: " Halifichiki eeeeeeee halifichiki! Halifichiki pembe ra ng'ombe halifichiki!" Ni wimbo alioupenda sana Mheshimiwa wetu huyu wakati akiwa Waziri Mkuu.
 
lowasa ndio habari ya mjini...majoka ya midimu na kna sta wazee wa CCJ TUPA KULEEEEEE...LOWASA NDIYE TUMAINI LILILOBAKI KWA WATANZANIA WENGNE NJAAAA KALI..MCHAPA KAZ WA UKWELO NI LOWASA NCHI HII OLE WENI CCM MSPOMPTSHA KUA MGOMBEA URAIS 2015 NDIO MWSHO WA CCM cz 99% ya wana ccm wanamkubali lowasa na atahama nao
 
angalia kama utapata shule hata ya evening classes ufundishwa namna ya kuandika unatupa shida sana ya kukuelewa

we hyo shule ulio soma imekusaidia nn,zaid ya hyo gongo unayokunywa kule ufipa,acha upuuz wako!!xiyo kila kichaka kinafaa kuweka kinyesi,vingne vina miiba
 
mimi ninampenda tu coz ajibizani majukwaani, wala hamtukani mtu, huyu mtu sijawahi msikia hata akitamka Mboye, Dr. Silaa wala akitamka neno CHADEMA, MUCH RESPECT. ANA SIASA NZURI SANA ZA KUTOCHAFUA WENZAKE, UMAARUFU WAKE NI VITENDO

ASUME ASINGEKUWA NA KASHFA YA RICHMOND, NANI ANGEMKAMATA HAPA TZ

huyu jamaa hata mimi namkubaliaga hapohapo,huwa hana siasa za kumtukana mtu,anapiga siasa za kigreat thinker za kudiscuss ishu sio watu na vyama
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom