Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Hahaha...habari ya Arinseremaa hakunaga tena!!!

Mkuu arinserema haiimbiki tena. Sasa hivi anaruka ruka majukwaani utazani roboti au katuni dah yaani mimi angekua ndio baba yangu ningemwambia aachane na hizo issue za uraisi
 
Utasikia baada ya muda si mrefu mafisiem yamecopy na kupest as usual
 
Mkuu arinserema haiimbiki tena. Sasa hivi anaruka ruka majukwaani utazani roboti au katuni dah yaani mimi angekua ndio baba yangu ningemwambia aachane na hizo issue za uraisi
arinserema wanaimba watoto wa shule ya msingi wasio piga kura,jamaa alioni noma utasikia linawauliza,eti niwaimbie arinserema.haaaaaaaaaaaaaaa
 
wapi mwakiembe wapi mzee weka mbali na tembo wapi kaka wa fumanizi aka ugoni wapi chambio lao kibajaji wapi msemaji wao mkuu wa jf lizabon rutashopia

Mkuu sasa hivi hakuna kivujio, yale Magepu tumesha ya ziba, ndio maana habari hazivuji tena. Hii oparation ccm watapoteana kabisa yaani 25 oct ni kama kumsukuma mlevi.
 
Haha magu nae kuzindua kampeni ya toroka uje kilimanjaro hotel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…