Kampeni maalumu ya kuwapokea wageni wetu inazinduliwa leo na The Great Lowassa. Ni kampeni maalumu ya kuwapokea wale wageni wetu tuliowambia wasubiri kwanza wasiwahi kutoka.
Sasa mwendo mdundo tetemeko kuu linazinduliwa leo.Wale wa nyumba ya jirani waandae maji ya kupoza presha.
Hapa ni Leo Bahari Beach DSM
Kampeni dhoofisha CCM na kukaribisha wageni kuzinduliwa Leo. Nadhani ni ITV watakuwa live saa kumi jioni.
#TOROKAUJE
#NatakaKuchekaNajikaza
View attachment 293083
taarifa imenifikia kitambo kidogo , nadhani ntakuwepo .Habari Mpasuko
Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.
Tutegemee kuyaona mengi!
Chanzo :Blog Habari
Nimeipata hyo vikao vinaendelea ucku huu kwa ajili ya kuwapokea vigogo wapya kutoka ccm
itakua wapi hiyo toroka uje?
Bahari beach,toroka uje mkuu.itakua wapi hiyo toroka uje?