Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Mbona kama title inapotosha vile, umeandika kuwa ataendesha harambee ili KILA KIJANA DAR AMILIKI BODABODA YAKE na habari yenyewe inasema ni kwa ajili ya 50% ya waendesha bodaboda wasio zimiliki! ina maana vijana wote Dar ni waendesha bodaboda!kupitia ukurasa wake wa facebook amesema alipokuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya bodaboda amegundua asilimia 50 si zao.
hivo tarehe 15 mwezi wa kwanza atakutana na viongozi wa bodaboda kisha ataandaa harambee kubwa sana ili hiyo asilimia 50 itapewa bodaboda bure ili kujiajiri wenyewe
kupitia ukurasa wake wa facebook amesema alipokuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya bodaboda amegundua asilimia 50 si zao.

Na haowaliwapa hao ajira hao vijana na hizo boda boda ambao si zao? Atawafanyaje? Akili zingine bana?