Lowassa kuendesha harambee kubwa kuwezesha kila kijana Dar kumiliki bodaboda!

El. mbona jimbon kwetu monduli unakoongoza si kila kijana ana pikipiki? au ndio yaleyale nabii hatambui kwao!!
 
Ni ujinga kwa kijana tena anayejitambua kushabikia wezi kama huyu na mbinu zao za kuwanua watu eti tu waweze kuingia ikulu! Hebu jiulize tu kuwa ili kijina ajiajiri anatakiwa amiliki tu bodaboda? Maendeleo yatakuja pale tu kutakapokuwepo na viwanda vikubwa,vya kati na vidogo hali itakayopelekea thamani ya mazao yetu kupanda na si kwa bodaboda.tunataka sera sahihi na ambazo kamwe haziwezi kutoka kwa hao waliofail kwa miaka 52 ya uhuru wetu! IKULU SI PANGO LA WEZI NA WANYANG'ANYI.Mwl.Nyerere

Wanasiasa wanacheza na akili za watu hasa pale wanapogundua kwamba kundi fulani halijitambui. Mi nilidhani atajadili na hilo kundi hasa ni yepi matatizo yao halafu awaambie waseme ni lipi suluhisho ili yeye aangalie atawasaidiaje. Eti amegundua 50% ya pikipiki siyo zao Mambo ya kufikiri kwa niaba ya watu wengine yalishapitwa na wakati.

Aliinanga sera ya serikali yake ya kilimo kwanza akisema elimu kwanza. Hao waendesha bodaboda anaijua elimu yao? Wajinga ndo waliwao. Ngoja awatege awaingize mkenge awatumie halafu baadaye mtaiona raha yake......

Afikirie pia kujenga wodi kuuubwa ya mifupa pale Muhimbili. Na sijui kama wakitokaga MOI wanaweza tena kuendesha bodaboda.
 
kupitia ukurasa wake wa facebook amesema alipokuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya bodaboda amegundua asilimia 50 si zao.

hivo tarehe 15 mwezi wa kwanza atakutana na viongozi wa bodaboda kisha ataandaa harambee kubwa sana ili hiyo asilimia 50 itapewa bodaboda bure ili kujiajiri wenyewe
Awatengenezee na barabara zao, halafu kama kila kujana akiwa na boda boda yake, basi awatafutie na abiria
 
  1. 2015 atamobilize watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura kumchagua mgombea wa chama chake!, with politics you may never know atakuwa chama gani, hivyo he could be the only hope kwa kupatikana kwa ule ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania na kutimia kwa lile neno la rais wa 2015, lazima atoke Kaskazini!.
  2. Na mwisho, alilolipanga Mungu ndilo liwalo, na huweza kuyafanya yale ambayo kwa binadamu hayawezekani kama alipowaambia makutano "Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!". Subirieni 2015 kutimia kwa maneno ya unabii huu, 2015 TB Joshua atautangaza rasmi!.
Merry X-Mass
Pasco.

Hapo kwenye nyekundu nimepaweka makusudi ili kuweka kumbukumbu sawa maana naisi watu hawajasoma vizuri, TB Joshua kupitia ma mama Shelukindo alishasema Rais wa TZ 2015 ni nani! (Sina uakika kama alisema kweli) Kaskazini wako watatu wanaohutaka urais (EL, Dr Slaa na Sumaye) sasa katika watatu nani !
 
Tatizo la vijana wa nchi hii sio kumiliki bodaboda bali ni elimu na kupatikana kwa ajira. Mimi sikubaliani na hiyo harambee ya kuwamilikisha pikipiki vijana wetu kwani ni kuwapotosha bali kama kweli Lowassa ana nia nzuri na nchi yetu basi afanye harambee ya kujenga shule za kisasa zenye maabara na walimu safi na sio hii danganya toto kwa vijana wetu. Ok atawanunulia pikipiki, wataoa ama kuolewa kwa wale wa jinsia ya kike, je watoto wao watawapeleka wapi kusoma na kupata elimu bora na sio bora elimu ama na wao watafanyiwa harambee ya kumiliki pikipiki wakiwa wakubwa na mwisho wa siku vijana wote Tanzania watakuwa waendesha pikipiki...... Kama huyu ndo Raisi ajaye basi Tanzania IMELAANIWA. Ndo maana hata uwaziri mkuu ulimshinda.
 
Uh huenda ni kufagilia lakini kwa kuwa una Lumumba nyuma yako umaana wako na wa suala unapotelea Kilosa (Mbali zaidi kutoka kwetu S'wanga)
 
Hiyo kwa kizungu inaitwa Political statement if you know what I mean.........ukweli na uwongo humohumo.......waambie wanaschotaka kusikia.......
 
Huu ni udanganyifu.. Vijana wote Dar hawafanyi kazi ya kuendesha bodaboda... Na Bodaboda siyo ajira pekee apanue akili kidogo aone fursa zilizopo kwenye hii nchi na azitumie kuliko kuwageuza vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa wote kuwaza bodaboda kuwa ndo ajira pekee.. Wanasiasa waache kuwamanipulate vijana.
 
Hiyo kwa kizungu inaitwa Political statement if you know what I mean.........ukweli na uwongo humohumo.......waambie wanaschotaka kusikia.......

Huu ni utapeli wa kisiasa... Kwahiyo anadhani tatizo la vijana la ajira linatatuliwa kwa kununulia vijana bodaboda... Hawa wanasiasa wetu ni Mzigo mzito..
 
Huu ni udanganyifu.. Vijana wote Dar hawafanyi kazi ya kuendesha bodaboda... Na Bodaboda siyo ajira pekee apanue akili kidogo aone fursa zilizopo kwenye hii nchi na azitumie kuliko kuwageuza vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa wote kuwaza bodaboda kuwa ndo ajira pekee.. Wanasiasa waache kuwamanipulate vijana.

hiyo akili yako utakuwa umeikalia,hiv akili yako itakuwa inarudi nyuma cyo,si afadhali ya huyo aliyeamuwa kuwasaidia bodaboda kuliko hao ambao wna hela lakin wamezikalia kama ww ulikalia akili yako
 
kupitia ukurasa wake wa facebook amesema alipokuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya bodaboda amegundua asilimia 50 si zao.

hivo tarehe 15 mwezi wa kwanza atakutana na viongozi wa bodaboda kisha ataandaa harambee kubwa sana ili hiyo asilimia 50 itapewa bodaboda bure ili kujiajiri wenyewe

Ahakikishe anaanda harambee nyingine kwa ajili ya hospitali ya majeruhi na Kifua kikuu
 
mapesa yote anayotoa kwann hasipeleke jimbon kwake ambapo kuna shida kibao?TAFAKARI
 
Kuna vijana wengi hapa Tz wameshafikia umri wa kuoa lakini bado wanasuasua tu kwa sababu aram z ufunga ndoa na uwezo wa kutunza famila haana, pia wapo ambao wameoa saili ya karibu tukae na wanatamani kubariki ndoa zao an tatizo ni fedha za sherehe. Hivyo kwa soln hii ya White Hair (WH)uamwomba atufanyie harambee ili tuweze kuoa na kuunga ndoa maana n hili n anga la taifa kwa vijana!
 
kupitia ukurasa wake wa facebook amesema alipokuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya bodaboda amegundua asilimia 50 si zao.

hivo tarehe 15 mwezi wa kwanza atakutana na viongozi wa bodaboda kisha ataandaa harambee kubwa sana ili hiyo asilimia 50 itapewa bodaboda bure ili kujiajiri wenyewe
Hii ni sehemu nzuri ya kupata kafara ya damu!kwa sababu zinaua kila kukicha.Si kila msaada ni msaada.tafakari!!!
 
Back
Top Bottom