Lowassa kapita dirishani kwangu

Lowassa kapita dirishani kwangu

Alikuwa wapi siku zote?

Lowasa anadhani kuwa Watanzania wanadanganyika kirahisi

Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli

Hizo njie za kizamani sana. Alitumia Odinga hakufanikiwa. Alitumia Kiiza Besigye hakufanikiwa. Alitumia Morgan Tsvangirai hakufanikiwa

Nyie wapumbavu na Malofa mtaendelea kuwa vipofu. Ndo maana mnaendelea kudanganywa na akina Mbowe

Mkuu naona unahaha kuzuia mafuriko,mkuu wapiga kura malofa wamempokea Lofa mwenzao Lpwassa.Hata uhangaike hapa Jf mtaani malofa wameshamkubali lofa mwenzao.

No matter whether he will bring development or not we will choose Lowasa from UKAWA to show the world that Tanzania is not for CCM only
 
Jamani mwaka huu ndiyo nauona upinzani wa kweli, sasa kuna wengine matumbo joto safari hii hawalali duh, sisi tumeshachagua rais tunayemtaka tunasubiri tu kulikamilisha hili 25.Oktoba, :A S shade::A S shade::A S shade::A S shade:
 
Hapa ndio wabongo tunakuwa mazuzu, yaani kiongozi wa nchi hii kupanda daladala ni gumzo na jambo kubwa mno, wakati huu ndio usafiri wetu raia wake ambao miaka anatuongoza, lakini yeye kupanda ni ajabu, hapo ndio utajua viongozi wetu kiasi gani walivyo mbali na sisi, na huu ushabiki wa kuwashangilia ungekoma ili wajue wao sio malaika au watu special sana,
Nilimuona January Makamba alipanda bajaji ikawa gumzo, mwingine sijui nani kapanda baiskel ikawa breaking news hapa, yaani huu ulofa utatuisha lini?
 
Mkuu naona unahaha kuzuia mafuriko,mkuu wapiga kura malofa wamempokea Lofa mwenzao Lpwassa.Hata uhangaike hapa Jf mtaani malofa wameshamkubali lofa mwenzao.

No matter whether he will bring development or not we will choose Lowasa from UKAWA to show the world that Tanzania is not for CCM only

Nashangaa kinachomuhangaisha #Lizaboni humu jamiiforums ni nini?Wakati kazi za wilaya zinamsubiri.
 
Atleast ye kashtuka kuliko wale ambao hawana habali kabisaaaa.

Nyie wapumbavu na Malofa mtaendelea kuwa vipofu. Ndo maana mnaendelea kudanganywa na akina Mbowe

Nyie welevu si mmetimiziwa ahadi na uyo kikwete bila kudanganywa eti, ila usisahau kanda ya ziwa tumeingizwa mjini kwa ahadi ya meli majuzi apa kidogotu ndugu zetu wafe kwenye kale kamkweche (Mv sengerema)
 
Juzi nilibahatika kwenda Mtwara Newala vijiji huko...nikauliza watu tu kwa udadisi...kiukwel Lowassa ni habari nyingine anakubalika sana...hata mimi nilikua ccm tena...nilikua mbishi sana mpaka nilisema ukikata damu yangu ni ya kijani...ila kiukweli Tunahitaji mabadiliko....napenda niwe part of our history change.
 
magufuri akipita kwetu tunamwuitia mwizi na kumpopoa mawe? alikuwa analala Mabibo hostel kwa hawara

Duh aibu sana hiyo mkuu
 
Jamaaan lowassa anakimbiza sanaa daaah huyu mzee ni hatari
 
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli

Kumbe na hizo barabara za vichochoroni gongo la mboto kajenga magufuli???? Kabla ya magufuli kulikuwa hamna barabara au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom