Lowassa kakosea? Hapana, tujikumbushe ushauri huu

Lowassa kakosea? Hapana, tujikumbushe ushauri huu

Nyinyi mnafaidikaje kupotosha alichosema Lowassa?
hivi hamuoni aibu kujipendekeza kwa Mzee wa watu mliyemchafua kwa miaka na miaka................!!!? ama kweli njaa mbaya.................ndio maana Dr.Slaa alikupa za uso punguza unafiki na kujipendekeza jombaa.
 
Wewe ndiye uliyesema kuwa Lowassa ni jizi na ukatoa ushahidi na historia ya wizi wake. Hujawahi kukana kama uliongopa. Ungekuwa na akili timamu ungefahamu kuwa hakuna uhusiano wa mtu kuwa mwizi na kupelekwa mahakamani. Wapo wezi wengi tu miongoni mwetu ambao tumeiba na watu wanafahamu tumeiba lakini hatujapelekwa mahakamani. Pia ungefahamu kuwa hakuna uhusiano katika kutenda kosa na kupatikana ushahidi. Mtu anaweza kuwa ametenda kosa lakini hakuacha ushahidi wa kumtia mahakamani.Haya tuambie tuamini kipi kutoka kwako, tuamini yale maandishi yako ya zamani kuwa lowassa ni jizi au tuamini maandishi yako ya sasa kuwa Lowassa ni mzalendo safi?
Mkuu kila nyika na mvua zake, Lowassa huyu sio yule wa ccm.. Huyu ni kamanda
 
hivi hamuoni aibu kujipendekeza kwa Mzee wa watu mliyemchafua kwa miaka na miaka................!!!? ama kweli njaa mbaya.................ndio maana Dr.Slaa alikupa za uso punguza unafiki na kujipendekeza jombaa.
Lowassa yupo Chadema, sisi ndio tunaitetea kweli yake, wewe mwanaccm nini kinakuwasha mkuu?
 
Kukaa kimya kwa Mnyika kunawatesa sana CHADEMA. Hakika hafurahishwi na kitendo cha chama kuhodhiwa na mafisadi
Sasa kaka unanung'unika bure fanya juu chini uonane nae ukiwa nae umpe ushawishi, atakusikiliza, bado una nafasi kaka.
 
Wewe ndiye uliyesema kuwa Lowassa ni jizi na ukatoa ushahidi na historia ya wizi wake. Hujawahi kukana kama uliongopa. Ungekuwa na akili timamu ungefahamu kuwa hakuna uhusiano wa mtu kuwa mwizi na kupelekwa mahakamani. Wapo wezi wengi tu miongoni mwetu ambao tumeiba na watu wanafahamu tumeiba lakini hatujapelekwa mahakamani. Pia ungefahamu kuwa hakuna uhusiano katika kutenda kosa na kupatikana ushahidi. Mtu anaweza kuwa ametenda kosa lakini hakuacha ushahidi wa kumtia mahakamani.Haya tuambie tuamini kipi kutoka kwako, tuamini yale maandishi yako ya zamani kuwa lowassa ni jizi au tuamini maandishi yako ya sasa kuwa Lowassa ni mzalendo safi?

huyu jamaa sio mzima.............. analikosea sana hilo jina Nyerere.
 
Lowassa yupo Chadema, sisi ndio tunaitetea kweli yake, wewe mwanaccm nini kinakuwasha mkuu?

hivi kilitokea nini hasa huyo mzee mliyekuwa mnasema ni mchafu na hafai ghafla akawa msafi hadi mkampitisha kugombea urais?
 
Unadai unataka kujadili hoja halafu unakimbia hoja! Wizi ni jinai na jinai haifi. Uliposema Lowassa ni mwizi uliaminisha umma kuwa Lowassa katenda jinai. Huu ni wakati muafaka wa wewe kusema kuwa ulikosea au ulimsingizia Lowassa pengine kwa sababu za kisiasa za wakati huo kumbe masikini ya Mungu Lowassa si mwizi. Umuombe radhi lowassa na watanzania kwa kuwaongopea. Au utuambie pamoja na yote, pamoja na kuwa nae chama kimoja kwako Lowassa ni mwizi tu. Hebu tuweke wazi katika hili, tushike lipi? Maneno yako ya awali au maneno yako mapya?
 
Mkipewa visenti vya kujikimu na Familia zenu mnabadilika kama kinyonga! Shame to you guys
Mkuu upo sahihi, Kwenye hio makala yake , Yeriko Nyerere amedai Lowasa alitenga shs.12bn kujisafisha, and so far hadi anaandika hio article shs.8bn ilikuwa ishatumika, that means zilibaki 4bn ambazo nasikia zilitumika kukinunua Chadema, ambacho sasa kiko busy kinamsafisha kupitia hio bajeti ya 12bn iliyokuwa imetengwa.
 
Walioanzisha, kuhamasisha, kutoa matamko kuwa Lowasa ni fisadi ni Chadema. Wewe Yericko ukiwa moja ya wapiga propaganda za mitandaoni kauli zako zimewekwa hata ktk uzi huu. Njoo hapa uombe radhi umma kwa matamshi yasiyo na ushahidi. Hizi twist za kijinga fanyieni watanzania wa zama zile lakini sasa watabaki na kumbukumbu. Weka akiba ya maneno maana ndio kwanza kumekucha ....
 
Mkuu upo sahihi, Kwenye hio makala yake , Yeriko Nyerere amedai Lowasa alitenga shs.12bn kujisafisha, and so far hadi anaandika hio article shs.8bn ilikuwa ishatumika, that means zilibaki 4bn ambazo nasikia zilitumika kukinunua Chadema, ambacho sasa kiko busy kinamsafisha kupitia hio bajeti ya 12bn iliyokuwa imetengwa.
1462508634268.jpg
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Nilizani wewe ni kijana imara,mwana BAVICHA alieiva, jitokeze hadharani kama alivokua mh. Zitto enzi zake kupinga kila ovu lilipokua linajitokeza hata kama limefanywa na kiongozi mzito wa chama.

Je na wewe pia unaunga mkono CHADEMA kuacha harakati? Umesahau usiku ule pale Loyola? Mnyika acha woga, kuwa na ujasiri kama Zitto.

Sema kweli hata kama utaudhi wengi.
Sasa hivi habari ya MUJINI ni MNYUKANO NDANI YA CCM
 
Back
Top Bottom