Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
Kumbukumbu hazipotei.!
Kumbukumbu hazipotei.!
Kutubu kwa kosa gani? Na atubu kwa Nani?Yericko aliyekwambia lowasa ametubu ndio akajiunga na chadema nani,mbona hiyo press release ya kutubu hatukuisikia,au bado unapigia debe kitabu kiuzike!
Si huyu jasusi anatuambia pale ni kama sinagogi kuwa mtu anapokelewa akishatubu.Kutubu kwa kosa gani? Na atubu kwa Nani?
Hana uwezo wa kupingana na Lowasa..."Jasusi" ushalewa pesa za Lowassa...endelea kupiga debe
Hivi kwanini hamkuwazuia Vijana kwenda Dodoma kabla ya Lowasa kukemea..Lowasa anatoa misaada au?
Hapa unatafuta nini mkuu?
Halafu ina maana Lowasa asinge sema hiyo juzi wange waacha hao vijana wakavunjwe miguu?Kwa hiyo sisi ndio tulikuwa tunakosea??
Kwa hiyo aliposema "tumegraduate na kuwa chama cha siasa" yupo sahihi?? Kabla hajaja tulikuwa chama cha kufa na kuzikana??
Yani Lowassa sasa ni wa kuabudiwa na kusifiwa tu hata akiongea upuuzi wa namna gani.
Mkuu huyu kijana dhambi ya kumtukana lowasa inamsuta,wakati anaandika hata alisahau kuweka akiba ya maneno.
Safi sana. Jibu limemtosha hiloUkiwa mwongo uwe na kumbukumbu nzuri!
Hazina tija kwa sasa
Bwana upo sawa wapuuzi ndio wanakuwa wazito kukuelewa. Maana hata mtu akitenda makosa, mungu humuandika kwenye kitabu cha hukumu ya milele. Lakini tu anapotubu na kumrejea mungu wa kweli, mungu huyuhuyu humsamehe na kumfuta katika kitabu cha hukumu, na kumuandika katika kitabu cha watakatifu. Sasa hawa wanaponang'ania kuwa alikuwa mwizi, napata kuwashangaa sana. Na kwanza alikwisha kuwaambia kuwa kwenye ushahidi, aende mahakamani na sio kukaa huku pembeni na kupiga kelele kama mbwa muoga. Mh. Lowasa ndiye rahisi chaguo la watanzania mkubali mkatae.
Kama hujaelewa jambo katika andiko hili na video hii omba ufahamishweKwa hiyo sisi ndio tulikuwa tunakosea??
Kwa hiyo aliposema "tumegraduate na kuwa chama cha siasa" yupo sahihi?? Kabla hajaja tulikuwa chama cha kufa na kuzikana??
Yani Lowassa sasa ni wa kuabudiwa na kusifiwa tu hata akiongea upuuzi wa namna gani.
Nyinyi mnafaidikaje kupotosha alichosema Lowassa?kanjanja...........mnatia aibu!!! hivi huwa mnafaidikaje na huu unafiki?