Lowassa kakosea? Hapana, tujikumbushe ushauri huu

Kukaa kimya kwa Mnyika kunawatesa sana CHADEMA. Hakika hafurahishwi na kitendo cha chama kuhodhiwa na mafisadi
 
muungwana akivuliwa nguo uchutama..katika jambo lolote linalomhusu lowassa ni heri ubaki kimya..huna cha kuwaeleza watu wenye kumbukumbu wakakuelewa,labda wendawazimu.katika watu waliochangia kwa kiasi kikubwa kumporomosha yule mzee wewe ni mmojawapo..ulivuka hadi mipaka..chochote utakachoongea sasa juu yake ni unafiki mkubwa..
Mimi sio mjumbe wa kamati kuu ya ccm mkuu,
 
Siku kama ya leo, unakumbuka nini kilitokea kamanda? Kamand achana na huyu, hana la ziada.

13619955_1043615525730450_1170248614478084898_n.jpg
Hazina tija kwa sasa
 
Acheni kumtia kiwewe, bila chadema hakuna Mnyika, huo ndio ukweli.
Sidhani kama anaweza fanya siasa za kipopoma namna hiyo....wakati namheshim sana Zitto, umaarufu wake ungekuwa mara dufu kama angebak Chadema...hata hivyo walipounganisha nguvu kama wapinzani nyota ya Zitto imengaa zaidi...
Mnyika please dont, this is for your political future, just dont.....naongea maana nakujua sana tu, toka tuna husle mitaa ya landmark na riverside...ww know you better
 
acha unafiki
 
Naomba uchwara mpo katika ucharwa wenu.
Nendeni mkasaidiane kuzikana huko DOM wafu nyie
 
Kama ni mwizi mbona tangu muingie madarakani hamumshitaki?

Wewe ndiye uliyesema kuwa Lowassa ni jizi na ukatoa ushahidi na historia ya wizi wake. Hujawahi kukana kama uliongopa. Ungekuwa na akili timamu ungefahamu kuwa hakuna uhusiano wa mtu kuwa mwizi na kupelekwa mahakamani. Wapo wezi wengi tu miongoni mwetu ambao tumeiba na watu wanafahamu tumeiba lakini hatujapelekwa mahakamani. Pia ungefahamu kuwa hakuna uhusiano katika kutenda kosa na kupatikana ushahidi. Mtu anaweza kuwa ametenda kosa lakini hakuacha ushahidi wa kumtia mahakamani.Haya tuambie tuamini kipi kutoka kwako, tuamini yale maandishi yako ya zamani kuwa lowassa ni jizi au tuamini maandishi yako ya sasa kuwa Lowassa ni mzalendo safi?
 
Back
Top Bottom