Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,104
- 43,188
Unajiita mtoto wa kariakoo wakati kiswahili chenyewe nehi nehi!! sasa hapo kwenye nyekundu ndio umemaanisha nini?
nehi nehi!! Ndio kiswahili gani? Kiswahili na Mshashi wapi na wapi.
Unajiita mtoto wa kariakoo wakati kiswahili chenyewe nehi nehi!! sasa hapo kwenye nyekundu ndio umemaanisha nini?
He will PLAY all TRICKS in the BOOKS... BUT yake yatamfikia 2015... REMEMBER What GOES AROUND COMES AROUND
Kama LOWASSA hakumsaidia kumfanya RAIS kwa sababu ya MAKUNDI then TIME WILL TELL!!!
Hamna kitu,kikwete kamzidi tu maarifa huyu mmasai feki,hawezi kuwa rais bil mbeleko ya mwenyekiti huo ndio ukweli,jk alibebwa pia na mbeleko hiyo,ni mkapa tu ndio aliingia kwa mbeleko ya mzee wa butiama
Huyu kijana anaejiita Mzee Mwanakijiji, anaonesha kwa dhati kabisa kuwa ni fataani kwelikweli na anataka kuwaaminisha watu yasiyokuwepo.
Humjui Kikwete humjui Lowassa, unawasikia tu.
Mtakufa navyo vijiba vya roho!
hivi wewe unalalamika huyo lowasa wako atatumia nguvu nyingi kutafuta madaraka alafu?ANA MOYO WA KUTUMIA PESA ZAKE KUWATUMIKIA WATANZANIA?SIASA NI BIASHARA? FIKIRIA UJUE!
Mimi nashauri hizi taasisi za uchunguzi (TAKUKURU na CAG) tulizo nazo zifike mahali zitoe repoti juu ya kashfa kama hizi ambazo zinazungumzwa zungumzwa na hata baadhi ya viongozi wajuu wa vyama na nchi bila kuwa na ushahidi. Ukifuatilia kwenye vikao vya vyama kuna kipindi EL alimbana sana mkulu juu ya Richmond na Nape kumchafua, isingekuwa busara za Mzee Ben leo Nape angekuwa kijijini kwa analima. Naamini kumwita mtu fisadi kama haijawa proven na Taasisi za kiuchunguzi itakuwa hatumtendei haki Mzee EL.
I hate lowassa! Hayupo straight kwangu, na wana ccm wengi wana hiki kirusi, kuna likitu mioyoni mwao!! Hatufai watanzania!! Next????
Mods Msaada jamani, tunaomba afunguliwe, manake atakuwa amejifunza.......... wadau Asprin, kasiko, BADILI TABIA, Nicas Mtei, Blaki Womani, Preta, charminglady, Arushaone, Filipo, Ruttashobolwa, Kaizer, Mr Rocky, Erickb52, Paw, marejesho, Lily Flower, Bishanga, sweetlady na wengine tumsaidie mdhamana huyu mrembo dah!
BTW, alifikiri jukwaa la stress ni mchezo ...................... mwulizeni Paw manake alishanipiga selo mara kazaa hahaaaa
Kama kawaida Pro-Chadema JF wanamjadili rais atakayekuja ambaye hatatoka CCM wamemsahau kabisa Dr Slaa na Chadema yao.
Kama kawaida Pro-Chadema JF wanamjadili rais atakayekuja ambaye hatatoka CCM wamemsahau kabisa Dr Slaa na Chadema yao.