Hi guys! I have been heard that kambi ya Lowasa ilikuwa kwenye pick sana ila kadri mkutano ulivyokuwa unaendelea sikuwa nafatilia, pls wana JF may you update me. I am very much interested about this. Thanks!
Mhe. LOWASSA amevuna alichopanda kwani wajanja wenzake wamefanya kile ambacho hakutarajia.Hiyo ndio demokrasia ya CCM ambyo mpigaji kura lazima kama ni wew uliyepiga kura ya hapana.Unayempigia anakufahamu ulimkataa na ndio maana Mhe JK amesema wale waliompigia kura 2 za hapana atawashughulikia.OLE WAO.DAWA NI KUONDOKA CCM.