Lowassa, hawa vijana watakuua kabla ya 2015

Lowassa, hawa vijana watakuua kabla ya 2015

Yani kama ni essay question wewe apa una zero umeulizwa kingine unajibu kingine....haya basi jibu kingine ambacho kipo correct nalo hilo umeshindwa sasa nashindwa ata staili ya kuku hurumia nikuambie tu pamoja na kujikakamua Kwa kuandika na kufuta kusoma upya na ku edit bado umeandika pumba....kwanza sio pumba ni shudu hizi badilika ndugu kuingia peponi ni kazi kweli
we dont share the same level of thinking.... i am so sorry.
by the way!! kama peponi ni kuzuri, kama nikijikuta nipo pamoja na wewe peponi nitakata rufaa na kuomba nihamishiwe motoni
 
we dont share the same level of thinking.... i am so sorry.
by the way!! kama peponi ni kuzuri, kama nikijikuta nipo pamoja na wewe peponi nitakata rufaa na kuomba nihamishiwe motoni

Na kweli we don't share at all......aya kimbia wahi kwenye jukwaa la utani na udaku
 
Kwa mtu anayefuatilia habari na kutafakari juu ya matukio mbalimbali pasipo kuathiriwa na hisia za kishabiki za kichama, basi suala zima la RICHMOND lazima litakuwa limemuacha na mashaka makubwa sana juu ya nani ni muhusika hasa wa suala la RICHMOND. Si lengo langu kumtetea Mh. Lowasa; bali, napatwa na mashaka makubwa sana juu ya muhusika hasa wa suala la RICHMOND- hii ni kufuatia matukio kadha wa kadha yaliyofuata baada ya kujiuzuru kwa Mh. Lowasa. Hivi, ni lini maazimio yale ya Bunge kuhusu wahusika wote wa RICHMOND- kama ilivyopendekezwa na kamati ya Mh. Mwakyembe na baadaye kuridhiwa na Bunge- yalitekelezwa? Hivi, kama Baraza la Mawaziri lilivunjika, basi ni serikali ipi iliyotunziwa heshima yake kwa kufichwa kwa baadhi ya mambo nyeti kuhusu RICHMOND-kama alivyodai aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ile, Mh. Mwakyembe? Katika utetezi wake- siku ile walipotaka kumvua gamba Dodoma- Mh. Lowasa alimtaka Mh. Rais aseme ni lipi alikuwa halijui kuhusu RICHMOND na alimtaka Mh. Rais aseme kama si kweli kuwa ni yeye (Rais) aliyemzuia (Mh. Lowasa) asiuvunje mkataba wa RICHMOND kwa madai kuwa alikuwa ameshauriwa (Mh. Rais) na makatibu wa kuu; matukio ni mengi, mathalani iwapi RICHMOND leo, ujio wa tuliyeelezwa kuwa ndiye. mmiliki wa RICHMOND na kumtembelea Mh. Rais: mambo hayo yote yananiacha nikiwa mwenye mashaka makubwa juu ya muhusika mkuu wa sakata zima la RICHMOND.
 
Ngoja nipite bila kuchangia maana wanaohoji na wanaohojiwa wote Manganyanga tuu, hawana maana yoyote wanatuletea kiini macho tu hapa tuone kama wanawajibika. Tangu lini mwenye nia akaulizwa au kuhojiwa kama amewahi au amechelewa??? Au hata watakochelewa kutangaza nia tutawaita tuwahoji walikuwa wapi????
 
Wewe lia ila watanzania ndo waamuzi wa mwisho!Kura yangu anayo ashinde au asishinde period
 
mods huu ni upuuzi,tunaomba huu uzi,uwondoe huyu ni muuwaji kabsa,leo imedhihirika!!!yeriko nyerere hii kaz hajaanza leo na hata hawa watu wanao uwawa kwny mikutano huu ni mpango mzma wa chadema kumtumia yeriko
Mimi ni mmasai,yaonekana nawe ni masai ila UNATUDHALILISHA..Mada umeelewa wewe? Naona magamba yako yamepata moto.
 
ImageUploadedByJamiiForums1440242581.208583.jpg

Kwa nini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa kwa sababu iliyoitwa na inayoaminika mpaka sasa kuwa “Lowassa ana utajiri mkubwa usio na ufafanuzi alioupata kwa mda mfupi tu akiwa mkurugenzi wa AICC?”

Ikumbukwe ni kuwa hoja hiyo ya Mwalimu Nyerere ilikuja baada ya Lowassa na wapambe wake kukodi ndege binafsi kutoka Arusha kwenda Dodoma kuhudhuria vikao vya uteuzi wa urais mwaka 1995, kitendo
hiki kilimfedhehesha sana Mwalimu na wazalendo wengine na hata kufikia kuliondoa jina la fisadi huyu nguli wa Tanzania,

Je leo utajiri wa Lowassa umekuwa halali?

Mamlaka ya mapato Tanzania inaweza kututhibitishia uhalali wa kodi alipayo mtu huyu?

Tangu afukuzwe uwaziri mkuu mwaka 2007 taarifa za kuaminika kutoka vyanzo muhimu nikuwa Lowassa alitenga Tsh12 bilioni kwa ajili ya kujitakasa, ambapo mpaka leo hii ameshatumia Tsh8 bilioni, je pesa hii ameipata wapi? Imelipiwa kodi kiasi gani? Atairudishaje akiwa rais?

Ili kuhuisha mjadala huu hebu niwaeleze jambo muhimu dhidi ya mtu huyu aitwae Edward Ngoyai Lowasa,

Labda niwaelekeze watafiti watafute faili la EL la enzi za TANU pale Lumumba. Mzee Paul Sozigwa suala hili analifahamu fika.

Ndiyo, Mwl. Nyerere alichukizwa na tabia ya Lowasa ya kujitajirisha kwa kuiba mali ya umma. Lowasa, licha ya tuhuma za wizi enzi akiwa AICC, kujimilikiaha majumba ya Masajili wa Majumba wakati akiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mijini, Mwl. Nyerere alikuwa akifahamu wizi wa Lowasa tangu enzi za TANU. Kati ya mwaka 1974 na 1977 Lowasa aliiba pesa za TANU alizopewa kusamia ujenzi wa ofisi ya TANU Arusha.

Badala ya kujenga ofisi ya TANU Lowasa alinunua kiwanja na kujenga nyumba yake binafsi. Jambo hilo lilipogundulika mwaka 1982, lilimkasirisha sana Mwl hivyo kuamuru afukuzwe kwenye chama. Ni marehemu Edward Moringe Sokoine ndiye alimwombea msamaha kwa Mwl. Nyerere abadilishiwe adhabu.

Edward Lowasa alipewa adhabu mbadala; kuhudhuria kazini Ofisi Ndogo ya Chama Mtaa wa Lumumba kila siku bila kukosa, kuwa kazini masaa 8 bila kutoka lakini bila kupangiwa kazi yoyote hadi Chama kingeona ametubu na hatimaye apangiwe kazi nuingine. Lowasa alitumikia adhabu yake hadi Sokoine alipofariki.

Hiyo ndio sababu kuu ya Mwl. Nyerere kumkatalia Lowasa kugombea urais.

Kikwete, Mkuchika, Twaha Khalifan, Kinana, Bagenda na Msekwa wanajua ukweli wote kuhusiana na jambo hili. Ila maadamu kwa sasa hakuna tena maadili ya uongozi wa kisiasa nchini Tanzania, Lowassa anaweza kuachiwa awatawale wezi, wala rushwa na mediocre wa nchi hii.

“Kuna watu wasipokuelewa maneno na matendo yako, mshukuru Jah, wewe bado unafikra chanya, wakianza kukuelewa jichunguze ni wapi umeanguka maana umeanza kuwaza kama wao.”

Yericko Nyerere: Kwa nini Nyerere ali-veto kumkataa Lowasa? - wavuti
 
Hahaaa aje sasa..tatizo wanaongozwa na mtu mmoja tu mzee makengeza akitaka lake hakuna wa kupinga..matokeo yake wanaonekana vituko sasa
 
YERICKO nibaazi ya vijana wa cdm ambao hawajitambui.hawajitambui kwasababu akili zao hazifanyi kazi ya kufikiri kwanza.wao niwatu wakukubali kuongozwa tu nawale wanaowaamini.MBOWE kawalisha kitu kibaya sana
 
Back
Top Bottom