Lowassa, hawa vijana watakuua kabla ya 2015

Lowassa, hawa vijana watakuua kabla ya 2015

mtoa mada tangu nilipo ambiwa we ni ubwabwa hata town uliyejivika jina la nyerere huku wewe ni msafwa wa mbeya nikajua kweli huna akili kumbuka ulichopost hapa ni mpango wako wa mauaji ili uwasinizie uliowataja sasa ole wako e.l adhurike utajuta

We Tony ni mtanzania mwenye asili ya Wales au England?!Ama we si mtanzania kabisa?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mods huu ni upuuzi,tunaomba huu uzi,uwondoe huyu ni muuwaji kabsa,leo imedhihirika!!!yeriko nyerere hii kaz hajaanza leo na hata hawa watu wanao uwawa kwny mikutano huu ni mpango mzma wa chadema kumtumia yeriko

Umevurugwa sana ndugu
 
Umevurugwa sana ndugu

Nimeamini jf imevamiwa na wauwaji,nilijuwa tu kwamba damu ya watu ulio ondoa roho zao bila makosa itakurud,angalia leo unavyojiweka waz kweny jamii,damu ya mtu haiendi bure,naona sasahv chadema mmepanga mpango wa kumdhuru lowassa ili mseme ni ccm,hakika ndio mwisho wenu umefka
 
Ushauri wangu kwa Lowassa;
Aendelee kuwashika wenyeweviti wa mikoa, makanisa, misikiti, waganga wa kienyeji, tena waganga wamzungushie chale za kutosha kiunoni kama vile mkanda wa suruali, afu avae mlegezo chale zionekane, manake jk na wenzie wakiziona chale lazima wampishe mamvi wetu anaingia magogoni kutuuza watanzania wote!
Chezea ndoto nyie......
 
Sipendi nikuite mheshimiwa, kwakuwa sifa ya uheshimiwa uliipoteza tangu ulipogundulika kuwa wewe ni mwizi, wizi wako ulijidhihirisha kupitia Richmond na ukajiuzuru, mimi na familia yangu tulikuvua vyeo vyote vya heshima ya uheshimiwa huwa tunakuita Bwana,

Bwana Lowasa, natambua unajua hawa watu walivyotegeshwa kiustadi kuizima ndoto yako, na kama hujui basi unaowaona ni wasadizi wako hawakupi habari za kweli.

Vijana wamelishwa yamini kuhakikiha wanaizima ndoto yako, hakika hili linaniuma sana kwakuwa kuzima ndoto ya mtu ni chukizo mbele za muumba wa Bwana Lowasa,

Nawaona wanejianda tena wamekwenda mpaka masinagogi kujipatia nguvu na ujasili wa kukuchinja iwe usiku ama mchana lazima ufe kabla ya 2015, hilo niagizo kuu japokuwa hamkukutana siku ile darajani Kigamboni,

Wameshika visu hata majambia kuivunja ndoto yako, kwa hili inaniuma sana, hunijui sikujui ila nakufahamu nakwambia wazi utakufa kabla ya 2015, usinishushue kuwa "kwani wewe Mungu mpaka ujue kifo changu?" laaa hasha mie nasema utkufa ndoto yako tu.

Sasa wamekuita kwenye kikao cha ghahawa hapo kwa wajomba zangu wagogo, hiyo ni hatua ya kwanza tu kukuchinja kama beberu wa shughuli, hao wengine ni wasindikizaji tu lakini mlengwa ni weye,

Nasema kwako Bwana Lowasa, hawa vijana ni vichomi vya uhakika, umeweza kwa wenyeviti wa mikoa na makatibu kuhakikisha wanakula na kusaza kwako na kila pembe wakupigie makofi, lakini nakuhakikishie hawa vijana wao wabakula na kusaza toka magogoni kabisa na wamekabidhiwa rasmi kisu cha kukuchinjia.

Nape na Mwigulu hivi ni vichomi,imara kwako kuizima ndoto uliyotusimulia siku ile Monduli kwenye pilau.

Chadema tunasonga wala hatuna vichomi tena baada yakuvipiga duwa ya uhakika.

In Chadema we trust!
CHADEMA unamwamini nani?Slaa au Mbowe?pole!!
 
mods huu ni upuuzi,tunaomba huu uzi,uwondoe huyu ni muuwaji kabsa,leo imedhihirika!!!yeriko nyerere hii kaz hajaanza leo na hata hawa watu wanao uwawa kwny mikutano huu ni mpango mzma wa chadema kumtumia yeriko

Mkuu tuendelee kumwabudu Lowassa wetu, we umeshafika bei
 
Ushauri wangu kwa Lowassa;
Aendelee kuwashika wenyeweviti wa mikoa, makanisa, misikiti, waganga wa kienyeji, tena waganga wamzungushie chale za kutosha kiunoni kama vile mkanda wa suruali, afu avae mlegezo chale zionekane, manake jk na wenzie wakiziona chale lazima wampishe mamvi wetu anaingia magogoni kutuuza watanzania wote!
Chezea ndoto nyie......

Hahaaahaa duuuh mbavu sina.
 
Eti sitaki nikuite mheshimiwa!!!kwani usipomuita unampunguzia nini?hata usipomuimbia bwana miti na majani vitaimba,upepo ukivuma vyainama vyainuka.imeandikwa ktk maandiko.hivyo nawe Yericko usipomuita Lowassa mh.wengine watamuita.kwanza nahisi sauti yako mbaya kama ya chura mzee.hivo utaleta majanga ukimuita lowassa.
 
naww tukikuambia umvalishee mama yako shanga kiunoni tutakuwa tunakosea???
 
mods huu ni upuuzi,tunaomba huu uzi,uwondoe huyu ni muuwaji kabsa,leo imedhihirika!!!yeriko nyerere hii kaz hajaanza leo na hata hawa watu wanao uwawa kwny mikutano huu ni mpango mzma wa chadema kumtumia yeriko

Kati ya watu waliochangia kwenye huu Uzi wewe ndo kilaza WA kwanza hujui kufikiri au sijui ni uvivu au unaendeshwa na emotions
 
Eti sitaki nikuite mheshimiwa!!!kwani usipomuita unampunguzia nini?hata usipomuimbia bwana miti na majani vitaimba,upepo ukivuma vyainama vyainuka.imeandikwa ktk maandiko.hivyo nawe Yericko usipomuita Lowassa mh.wengine watamuita.kwanza nahisi sauti yako mbaya kama ya chura mzee.hivo utaleta majanga ukimuita lowassa.

Huo mfano ulio koti kwenye biblia hapa hauna maana kabisa....tafakari vizuri utagundua then jikite kwenye hoja
 
Kati ya watu waliochangia kwenye huu Uzi wewe ndo kilaza WA kwanza hujui kufikiri au sijui ni uvivu au unaendeshwa na emotions

najuwa una id nyingi ila nikuambie tu mi nina hii moja na nitakushughulikia nayo mpaka mwisho wako,najuwa utakuwa umetumwa lakin utakuwa umesahau password,rudi kwa huyo bwana wako aliyekutuma mwambie umeshtukiwa,Lowassa atazid kuwabonyeza tu
 
Wana Chadema wengi ni Nyumbu na Mbowe ni Simba anawaswaga atakavyo wanamwogopa sana hakuna Mtu pale makao makuu anaweza kuthubutu kuhoji Vioja vya Mbowe juu ya pesa za Ruzuku pesa za misaada na uteuzi viti maalum nk Huyo Simba Mbowe anaogopwa sana hata wale simba wake wadogo akina Rwakatare Deus malya kiloe Mrema na Mnyika nao wanamsaidia kuwaogogopesha wana Chadema Nyumbu wasithubutu kuhoji chochote wabaki wakiamini nino moja tu yaani Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa Chadema Kwani Fikra zingine hazina nafasi hadi siku Simba akisitaafu . Chezea Mbowe wewe...
 
Eti sitaki nikuite mheshimiwa!!!kwani usipomuita unampunguzia nini?hata usipomuimbia bwana miti na majani vitaimba,upepo ukivuma vyainama vyainuka.imeandikwa ktk maandiko.hivyo nawe Yericko usipomuita Lowassa mh.wengine watamuita.kwanza nahisi sauti yako mbaya kama ya chura mzee.hivo utaleta majanga ukimuita lowassa.

Mwalimu Richard, tupo tunapigania nyinyi walimu mpate maisha bora, hebu ungana kulikomboa taifa hili linaloliwa na Lowasa
 
Nimeamini jf imevamiwa na wauwaji,nilijuwa tu kwamba damu ya watu ulio ondoa roho zao bila makosa itakurud,angalia leo unavyojiweka waz kweny jamii,damu ya mtu haiendi bure,naona sasahv chadema mmepanga mpango wa kumdhuru lowassa ili mseme ni ccm,hakika ndio mwisho wenu umefka

Etiii na huyu ni Great Thinker
 
Back
Top Bottom