Sipendi nikuite mheshimiwa, kwakuwa sifa ya uheshimiwa uliipoteza tangu ulipogundulika kuwa wewe ni mwizi, wizi wako ulijidhihirisha kupitia Richmond na ukajiuzuru, mimi na familia yangu tulikuvua vyeo vyote vya heshima ya uheshimiwa huwa tunakuita Bwana
3. Natabiri: Nyota pia
zinaonesha kuwa Tanzania
itakuwa katika mzozo mkubwa na
majirani zake lakini uwezekano
wa kupiganwa kwa vita kati sisi
na wao hauko.
4. Natabiri: Tahadhari ya hali ya
juu inatakiwa iwepo kwani
Tanzania inaonekana kuwindwa
na mataifa ya mbali ili iingie
kwenye vita isipokuwa kwa haiba
ya Siku ya Jumatano , vita hivyo
vitadhibitiwa kitaifa na kimataifa.
5. Natabiri:- Vifo vya Vijana
vikiongozana na mauaji ya
kupanga vitakuwa jambo la
kawaida kwenye Mwaka huu na
wahusika zaidi ni Wasanii wa fani
zote wakiwemo Waandishi wa
Habari.
6. Natabiri:- Wanasiasa
wataendelea kuwa walengwa
kwa mambo ya kijamii hasa
kashfa za ngono na biashara
haramu. Nyota zinaonesha kuwa
mmoja wa watu mashuhuri sana
hapa nchini atatumbukia kwenye
kashfa hiyo na itamuangusha
kijamii pale atakaposhughulikiwa
kwa kufilisiwa mali na kufungwa
kitaifa na kimataifa .
7. Natabiri;- Kwa vile siku ya
Jumatano ni siku mbaya katika
mwaka, kuna dalili za watu
kuswekwa kizuizini kwa kashfa
za ukiukwaji wa utiii kwa Serikali
na vyombo vyake vya dola .
8. Natabiri;- Kuna kiongozi
mmoja wa Kisiasa na kijamii
mwenye hadhi kubwa hapa nchini
atarukwa na akili kuelekea
mwisho wa Mwaka huu na
itakuwa anguko lake na wafuasi
wake kwenye harakati za
kuimarisha Ustawi wa
Watanzania na dola yake .
9. Natabiri:- Nyota zinaonesha
kuwa kinamama wajawazito
watakufa kwa uzazi kutokana na
tabia ya kutozingatia mafunzo ya
uzazi na taratibu zake. Wengi
watashindwa kujifungua na
kusababisha wao pamoja wa
watoto watarajiwa kufa.
10. Natabiri; - Ukame utaigubika
nchi kwa kiasi kikubwa na
wananchi watakuwa na wakati
mgumu katika mwaka huu
kulingana na nyota hasa mwaka
unapoanza na siku ya Jumatano .
Vimbunga na pepo kali zitatawala
mwaka huu .
11. Natabiri; - Kutokana na
ukame huo wanyama watakuwa
katika wakati mgumu na
Tanzania itapoteza asilimia
kubwa ya wanyama wake mwaka
huu na hivyo kusababisha
wafugaji na wakulima kuwa
kwenye wakati mgumu kimaisha .
12. Natabiri; - Kelele za kudai
haki za kibinadamu zitajitokeza
kwenye mwaka huu na
kusababisha hali ya mpito ya
dharura kutangazwa na wakuu
wa nchi . Hatua hiyo itampa Rais
ushujaa na utasababisha
aendelee kuwa kiongozi mwenye
mvuto mkubwa duniani kama
alivyokuwa kwa mwaka uliopita.
13. Natabiri: - Pamoja na
kwamba muda Bado lakini Nyota
bado hazioneshi Tanzania
kuongozwa na Rais mwanamke
ingawa kuna harakati nyingi
zinazotaka iwe hivyo . Hata hivyo
natabiri Kupatikana kwa viongozi
wengi wanawake au wanawake
kushika nafasi kubwa katika
siasa.
14. Natabiri: - Katiba mpya ya
nchi yetu itapita kwa mbinde ,
kwani kutakuwa na malumbano
na utata mkubwa hasa kuhusu
agenda ya serikali tatu. Nyota
zinaonesha kuwa Rais Kikwete
atatumika zaidi kuweka mambo
sawa baada ya jamaii nzima
kuweweseka katika hili .
15. Natabiri: - Mwelekeo wa
nyota za mwaka huu pia
zinaonesha kuwa kutakuwako na
majaribio ya kiuhalifu katika
uongozi ndani ya vyombo vya
ulinzi na usalama ambavyo
vitasababisha tafrani lakini
vitadhibitiwa na mambo kwenda
sawa- bin -sawia.
16. Natabiri; - Warembo, Wana -
filamu, Wanamuziki , Wanasoka ,
Wanahabari na Wanasiasa wako
katika hatari ya kuanguka kihali
na mali na kutokana na hilo
yakawapo mabadiliko ya
mwelekeo wa kimaisha kwao
katika mwaka huu kuelekea
Uchaguzi Mkuu was Rais,
Wabunge na Madiwani mwakani.
Hatua hiyo itasababisha pia vifo
vya kawaida na vya ghafla kwao .
Mwaka 2014 si mzuri kwao hata
hivyo muelekeo wa mafanikio
makubwa kwa makundi hayo ni
mzuri. Wako baadhi kutoka katika
katika makundi hayo niliyoyataja
wataula kisiasa na kimataifa .
17. Natabiri: Kiongozi mmoja wa
Chama cha Siasa hapa nchini
atangolewa kwenye uongozi na
kitendo hicho kinaweza
kumsababishia anguko kubwa la
kisiasa kwake au hata kifo .
18. Natabiri: -Baadhi ya chaguzi
za awali za Serikali za Mitaa
mwaka huu zitakumbwa na na
kizungumkuti kiasi cha kuiingiza
nchi yetu kwenye mizozo yenye
muelekeo wa mapigano ya
kijamii.
19. Natabiri: msiba wenye sura
ya kitaifa
20. Natabiri :- Kuna Baadhi ya
Wabunge watapata dhoruba
kubwa majimboni
itakayosababisha kupoteza
nyadhifa zao siku za usoni
EL ana double standard, kila kitu alichokuwa anasukuma kwa nguvu ana maslahi binafsi ndani yake, hatimayake yakamkuta ya richmond.. Mwakyembe anafaa, hasa ikizingatiwa 'anafanya kazi ya Mungu" kwa sasaNdoto haifi wala haichinjwi. Nguvu ya umma haiwezi kuchinjwa na wachache. Tunahitaji Tanzania inayokimbizwa. Ikiongozwa na mtu akisema weee, uanguke chini na ujipime kama utaamka tena na kuendelea kwa kasi mpya ama uondoke. Kwa sasa rais haeshimiwi hata na wateule wake! Natamani serikali ya El ama ya Harison
Nape na Mwigulu unaijua kazi yao kwasasa ndani ya ccm??
3. Natabiri: Nyota pia
zinaonesha kuwa Tanzania
itakuwa katika mzozo mkubwa na
majirani zake lakini uwezekano
wa kupiganwa kwa vita kati sisi
na wao hauko.
4. Natabiri: Tahadhari ya hali ya
juu inatakiwa iwepo kwani
Tanzania inaonekana kuwindwa
na mataifa ya mbali ili iingie
kwenye vita isipokuwa kwa haiba
ya Siku ya Jumatano , vita hivyo
vitadhibitiwa kitaifa na kimataifa.
5. Natabiri:- Vifo vya Vijana
vikiongozana na mauaji ya
kupanga vitakuwa jambo la
kawaida kwenye Mwaka huu na
wahusika zaidi ni Wasanii wa fani
zote wakiwemo Waandishi wa
Habari.
6. Natabiri:- Wanasiasa
wataendelea kuwa walengwa
kwa mambo ya kijamii hasa
kashfa za ngono na biashara
haramu. Nyota zinaonesha kuwa
mmoja wa watu mashuhuri sana
hapa nchini atatumbukia kwenye
kashfa hiyo na itamuangusha
kijamii pale atakaposhughulikiwa
kwa kufilisiwa mali na kufungwa
kitaifa na kimataifa .
7. Natabiri;- Kwa vile siku ya
Jumatano ni siku mbaya katika
mwaka, kuna dalili za watu
kuswekwa kizuizini kwa kashfa
za ukiukwaji wa utiii kwa Serikali
na vyombo vyake vya dola .
8. Natabiri;- Kuna kiongozi
mmoja wa Kisiasa na kijamii
mwenye hadhi kubwa hapa nchini
atarukwa na akili kuelekea
mwisho wa Mwaka huu na
itakuwa anguko lake na wafuasi
wake kwenye harakati za
kuimarisha Ustawi wa
Watanzania na dola yake .
9. Natabiri:- Nyota zinaonesha
kuwa kinamama wajawazito
watakufa kwa uzazi kutokana na
tabia ya kutozingatia mafunzo ya
uzazi na taratibu zake. Wengi
watashindwa kujifungua na
kusababisha wao pamoja wa
watoto watarajiwa kufa.
10. Natabiri; - Ukame utaigubika
nchi kwa kiasi kikubwa na
wananchi watakuwa na wakati
mgumu katika mwaka huu
kulingana na nyota hasa mwaka
unapoanza na siku ya Jumatano .
Vimbunga na pepo kali zitatawala
mwaka huu .
11. Natabiri; - Kutokana na
ukame huo wanyama watakuwa
katika wakati mgumu na
Tanzania itapoteza asilimia
kubwa ya wanyama wake mwaka
huu na hivyo kusababisha
wafugaji na wakulima kuwa
kwenye wakati mgumu kimaisha .
12. Natabiri; - Kelele za kudai
haki za kibinadamu zitajitokeza
kwenye mwaka huu na
kusababisha hali ya mpito ya
dharura kutangazwa na wakuu
wa nchi . Hatua hiyo itampa Rais
ushujaa na utasababisha
aendelee kuwa kiongozi mwenye
mvuto mkubwa duniani kama
alivyokuwa kwa mwaka uliopita.
13. Natabiri: - Pamoja na
kwamba muda Bado lakini Nyota
bado hazioneshi Tanzania
kuongozwa na Rais mwanamke
ingawa kuna harakati nyingi
zinazotaka iwe hivyo . Hata hivyo
natabiri Kupatikana kwa viongozi
wengi wanawake au wanawake
kushika nafasi kubwa katika
siasa.
14. Natabiri: - Katiba mpya ya
nchi yetu itapita kwa mbinde ,
kwani kutakuwa na malumbano
na utata mkubwa hasa kuhusu
agenda ya serikali tatu. Nyota
zinaonesha kuwa Rais Kikwete
atatumika zaidi kuweka mambo
sawa baada ya jamaii nzima
kuweweseka katika hili .
15. Natabiri: - Mwelekeo wa
nyota za mwaka huu pia
zinaonesha kuwa kutakuwako na
majaribio ya kiuhalifu katika
uongozi ndani ya vyombo vya
ulinzi na usalama ambavyo
vitasababisha tafrani lakini
vitadhibitiwa na mambo kwenda
sawa- bin -sawia.
16. Natabiri; - Warembo, Wana -
filamu, Wanamuziki , Wanasoka ,
Wanahabari na Wanasiasa wako
katika hatari ya kuanguka kihali
na mali na kutokana na hilo
yakawapo mabadiliko ya
mwelekeo wa kimaisha kwao
katika mwaka huu kuelekea
Uchaguzi Mkuu was Rais,
Wabunge na Madiwani mwakani.
Hatua hiyo itasababisha pia vifo
vya kawaida na vya ghafla kwao .
Mwaka 2014 si mzuri kwao hata
hivyo muelekeo wa mafanikio
makubwa kwa makundi hayo ni
mzuri. Wako baadhi kutoka katika
katika makundi hayo niliyoyataja
wataula kisiasa na kimataifa .
17. Natabiri: Kiongozi mmoja wa
Chama cha Siasa hapa nchini
atangolewa kwenye uongozi na
kitendo hicho kinaweza
kumsababishia anguko kubwa la
kisiasa kwake au hata kifo .
18. Natabiri: -Baadhi ya chaguzi
za awali za Serikali za Mitaa
mwaka huu zitakumbwa na na
kizungumkuti kiasi cha kuiingiza
nchi yetu kwenye mizozo yenye
muelekeo wa mapigano ya
kijamii.
19. Natabiri: msiba wenye sura
ya kitaifa
20. Natabiri :- Kuna Baadhi ya
Wabunge watapata dhoruba
kubwa majimboni
itakayosababisha kupoteza
nyadhifa zao siku za usoni
namba 17 &19 mhhhh
3. Natabiri: Nyota pia
zinaonesha kuwa Tanzania
itakuwa katika mzozo mkubwa na
majirani zake lakini uwezekano
wa kupiganwa kwa vita kati sisi
na wao hauko.
4. Natabiri: Tahadhari ya hali ya
juu inatakiwa iwepo kwani
Tanzania inaonekana kuwindwa
na mataifa ya mbali ili iingie
kwenye vita isipokuwa kwa haiba
ya Siku ya Jumatano , vita hivyo
vitadhibitiwa kitaifa na kimataifa.
5. Natabiri:- Vifo vya Vijana
vikiongozana na mauaji ya
kupanga vitakuwa jambo la
kawaida kwenye Mwaka huu na
wahusika zaidi ni Wasanii wa fani
zote wakiwemo Waandishi wa
Habari.
6. Natabiri:- Wanasiasa
wataendelea kuwa walengwa
kwa mambo ya kijamii hasa
kashfa za ngono na biashara
haramu. Nyota zinaonesha kuwa
mmoja wa watu mashuhuri sana
hapa nchini atatumbukia kwenye
kashfa hiyo na itamuangusha
kijamii pale atakaposhughulikiwa
kwa kufilisiwa mali na kufungwa
kitaifa na kimataifa .
7. Natabiri;- Kwa vile siku ya
Jumatano ni siku mbaya katika
mwaka, kuna dalili za watu
kuswekwa kizuizini kwa kashfa
za ukiukwaji wa utiii kwa Serikali
na vyombo vyake vya dola .
8. Natabiri;- Kuna kiongozi
mmoja wa Kisiasa na kijamii
mwenye hadhi kubwa hapa nchini
atarukwa na akili kuelekea
mwisho wa Mwaka huu na
itakuwa anguko lake na wafuasi
wake kwenye harakati za
kuimarisha Ustawi wa
Watanzania na dola yake .
9. Natabiri:- Nyota zinaonesha
kuwa kinamama wajawazito
watakufa kwa uzazi kutokana na
tabia ya kutozingatia mafunzo ya
uzazi na taratibu zake. Wengi
watashindwa kujifungua na
kusababisha wao pamoja wa
watoto watarajiwa kufa.
10. Natabiri; - Ukame utaigubika
nchi kwa kiasi kikubwa na
wananchi watakuwa na wakati
mgumu katika mwaka huu
kulingana na nyota hasa mwaka
unapoanza na siku ya Jumatano .
Vimbunga na pepo kali zitatawala
mwaka huu .
11. Natabiri; - Kutokana na
ukame huo wanyama watakuwa
katika wakati mgumu na
Tanzania itapoteza asilimia
kubwa ya wanyama wake mwaka
huu na hivyo kusababisha
wafugaji na wakulima kuwa
kwenye wakati mgumu kimaisha .
12. Natabiri; - Kelele za kudai
haki za kibinadamu zitajitokeza
kwenye mwaka huu na
kusababisha hali ya mpito ya
dharura kutangazwa na wakuu
wa nchi . Hatua hiyo itampa Rais
ushujaa na utasababisha
aendelee kuwa kiongozi mwenye
mvuto mkubwa duniani kama
alivyokuwa kwa mwaka uliopita.
13. Natabiri: - Pamoja na
kwamba muda Bado lakini Nyota
bado hazioneshi Tanzania
kuongozwa na Rais mwanamke
ingawa kuna harakati nyingi
zinazotaka iwe hivyo . Hata hivyo
natabiri Kupatikana kwa viongozi
wengi wanawake au wanawake
kushika nafasi kubwa katika
siasa.
14. Natabiri: - Katiba mpya ya
nchi yetu itapita kwa mbinde ,
kwani kutakuwa na malumbano
na utata mkubwa hasa kuhusu
agenda ya serikali tatu. Nyota
zinaonesha kuwa Rais Kikwete
atatumika zaidi kuweka mambo
sawa baada ya jamaii nzima
kuweweseka katika hili .
15. Natabiri: - Mwelekeo wa
nyota za mwaka huu pia
zinaonesha kuwa kutakuwako na
majaribio ya kiuhalifu katika
uongozi ndani ya vyombo vya
ulinzi na usalama ambavyo
vitasababisha tafrani lakini
vitadhibitiwa na mambo kwenda
sawa- bin -sawia.
16. Natabiri; - Warembo, Wana -
filamu, Wanamuziki , Wanasoka ,
Wanahabari na Wanasiasa wako
katika hatari ya kuanguka kihali
na mali na kutokana na hilo
yakawapo mabadiliko ya
mwelekeo wa kimaisha kwao
katika mwaka huu kuelekea
Uchaguzi Mkuu was Rais,
Wabunge na Madiwani mwakani.
Hatua hiyo itasababisha pia vifo
vya kawaida na vya ghafla kwao .
Mwaka 2014 si mzuri kwao hata
hivyo muelekeo wa mafanikio
makubwa kwa makundi hayo ni
mzuri. Wako baadhi kutoka katika
katika makundi hayo niliyoyataja
wataula kisiasa na kimataifa .
17. Natabiri: Kiongozi mmoja wa
Chama cha Siasa hapa nchini
atangolewa kwenye uongozi na
kitendo hicho kinaweza
kumsababishia anguko kubwa la
kisiasa kwake au hata kifo .
18. Natabiri: -Baadhi ya chaguzi
za awali za Serikali za Mitaa
mwaka huu zitakumbwa na na
kizungumkuti kiasi cha kuiingiza
nchi yetu kwenye mizozo yenye
muelekeo wa mapigano ya
kijamii.
19. Natabiri: msiba wenye sura
ya kitaifa
20. Natabiri :- Kuna Baadhi ya
Wabunge watapata dhoruba
kubwa majimboni
itakayosababisha kupoteza
nyadhifa zao siku za usoni
namba 17 &19 mhhhh
Du kwa hawa waliolelewa na Mwalimu, tusema siasa ya Ujamaa na Kujitegemea imetufikisha hapa???Ushauri wangu kwa Lowassa;
Aendelee kuwashika wenyeweviti wa mikoa, makanisa, misikiti, waganga wa kienyeji, tena waganga wamzungushie chale za kutosha kiunoni kama vile mkanda wa suruali, afu avae mlegezo chale zionekane, manake jk na wenzie wakiziona chale lazima wampishe mamvi wetu anaingia magogoni kutuuza watanzania wote!
Chezea ndoto nyie......
Duuuh umetisha mkuuu
Mtoa mada hujitambui,pia nadiriki kusema unaota ndoto ya mchana kweupeeeeeeeeee,CCM ndo mpango mzima 2015.
sio mimi mkuu ni Maalim yahya hussein huyo
huwa nijiulizaga sana hawa watabiri hawapangwi wakati mwingine na wanasiasa kukamilisha mission zao reff mwaka 2010 Dr.Slaa na Shekh Yahya ilikuaje??.
kama jinsi wana chadomo wasivyoijua kazi yako ndani ya chadema!!!! waache wana ccm wasiijue kazi ya mwingulu na nape.Nape na Mwigulu unaijua kazi yao kwasasa ndani ya ccm??
Mtoa mada hujitambui,pia nadiriki kusema unaota ndoto ya mchana kweupeeeeeeeeee,CCM ndo mpango mzima 2015.
lowasa anasafari ndefu sana kutimiza ndoto yake , zamani niliamini kuwa lowasa angeweza kupenya katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya chama chake haijalishi uchaguzi umefanyika kihalali au kwa mbinu chafu, dhana yangu hii ilijengwa na sababu mbili au tatu, 1 ni kwamba lowasa anamtandao mkubwa sana ndani ya ccm na unampa nguvu sana ndio maana anafanya atakavyo, 2 kundi lake linanguvu kuu mbili (a) fedha (b) mbinu za kipropaganda ni kubwa kuliko wenzake. lakini kwa sasa naanza kupatwa na wasi wasi juu ya hii dhana, naanza kupata picha mpya mbili 1 lowasa huenda asipate nafasi kugombea ccm ila akakiathiri chama kwa kiasi kikubwa 2 kuondoka kwake kutaivuruga sana ccm huenda mgogoro huu ambao mbegu zake zinapandwa sasa hivi kwenye vikao vya ccm na kumwagiliwa na vijana wa ikulu vitaisambaratisha ccm. nawasilisha yangu
kama jinsi wana chadomo wasivyoijua kazi yako ndani ya chadema!!!! waache wana ccm wasiijue kazi ya mwingulu na nape.
HANGOVER za kugaragazwa uchaguzi huu wa juzi naona zitadumu kichwani mwako kwa miaka kadhaa. kufikia mwisho wa uchaguzi 2015 nina hakika utakuwa mwendawazimu kabisa. nini lowasa!!! ccm hata wakimsimamisha John Komba watapita kwa kishindo kikubwa pasi na shaka.
ajira uliyopewa hapo ufipa ya kuwatia moyo na kuwaongopea mabwana zako(kwa malipo yepi??????!!!!!) huku hali halisi ikiwa tofauti na unavyoripoti itakuangamiza in no time.
huenda humjui vizuri lowasa. though i dont support him!! lakini ukweli uko wazi kuwa HE IS THE STRONGEST AND THE SMARTEST PERSON IN THIS COUNTRY FOR THE TIME BEING. huu upuuzi unaopost hapa ni dalili tosha ya hofu yako kwake. na si wewe tu, bali chadema kwa ujumla wao wanamsujudia huyu mpiganaji japo kimoyomoyo.
propaganda ambazo hamjasomea wala hamna taaluma nazo ndizo zinazowafanya mdhalilike na mtie aibu katika kila uchaguzi. hamna akili ya kufikiria na kupanga mikakati ya ushindi bali mna akili ya kutunga hekaya na kujaribu kuwaaminisha watu. NA CHA AJABU ZAIDI!!!! MNAZITUNGA WENYEWE NA MWISHO MNAKUJA KUZIAMINI WENYEWE.
wale wachache wenye akili ndani ya hiyo SACCOS yenu wameshajikatia tamaa na wanaona aibu tu kujitoa.