Lowassa, hawa vijana watakuua kabla ya 2015

Makaburi yanahatari sana.. Pole sana Yericko ndio ukubwa huo...
 
Ila mambo ya kutumika ni mabaya sana, Nape alitumika kummaliza Lowassa leo naye kamalizwa na anatafutiwa nafasi apotezwe kabisa. Mwigulu jiangalie ndugu yangu maana nawe unatafutiwa timing muda mrefu wakuchoropoe upotee kabisa kwenye siasa. Siasa za JK hatari sana usipo kuwa makini maana haziwezi kukuacha salama kama zilivyomuacha taabani Lowassa..
 
Sipendi nikuite mheshimiwa, kwakuwa sifa ya uheshimiwa uliipoteza tangu ulipogundulika kuwa wewe ni mwizi, wizi wako ulijidhihirisha kupitia Richmond na ukajiuzuru, mimi na familia yangu tulikuvua vyeo vyote vya heshima ya uheshimiwa huwa tunakuita Bwana,

Bwana Lowasa, natambua unajua hawa watu walivyotegeshwa kiustadi kuizima ndoto yako, na kama hujui basi unaowaona ni wasadizi wako hawakupi habari za kweli.

Vijana wamelishwa yamini kuhakikiha wanaizima ndoto yako, hakika hili linaniuma sana kwakuwa kuzima ndoto ya mtu ni chukizo mbele za muumba wa Bwana Lowasa,

Nawaona wanejianda tena wamekwenda mpaka masinagogi kujipatia nguvu na ujasili wa kukuchinja iwe usiku ama mchana lazima ufe kabla ya 2015, hilo niagizo kuu japokuwa hamkukutana siku ile darajani Kigamboni,

Wameshika visu hata majambia kuivunja ndoto yako, kwa hili inaniuma sana, hunijui sikujui ila nakufahamu nakwambia wazi utakufa kabla ya 2015, usinishushue kuwa "kwani wewe Mungu mpaka ujue kifo changu?" laaa hasha mie nasema utkufa ndoto yako tu.

Sasa wamekuita kwenye kikao cha ghahawa hapo kwa wajomba zangu wagogo, hiyo ni hatua ya kwanza tu kukuchinja kama beberu wa shughuli, hao wengine ni wasindikizaji tu lakini mlengwa ni weye,

Nasema kwako Bwana Lowasa, hawa vijana ni vichomi vya uhakika, umeweza kwa wenyeviti wa mikoa na makatibu kuhakikisha wanakula na kusaza kwako na kila pembe wakupigie makofi, lakini nakuhakikishie hawa vijana wao wanakula na kusaza toka magogoni kabisa na wamekabidhiwa rasmi kisu cha kukuchinjia.

Nape na Mwigulu hivi ni vichomi,imara kwako kuizima ndoto uliyotusimulia siku ile Monduli kwenye pilau.

Chadema tunasonga wala hatuna vichomi tena baada yakuvipiga duwa ya uhakika.

In Chadema we trust!
Huyu Bwana sasa hivi yuko CDM. Unasemaje sasa?
 
Amlipaye mpiga zumali ndo huchagua wimbo.

Ukiamua kushikiwa akili mpe mwenye akili timamu.

Vijana mnatumika kama pedi tu na kuishia kwenye fedheha.
 
Ni Kamanda Yericko Nyerere tena 😀😀😀😀
 
Jasusi yericko .... Hahahahaha kuweni na aibu we wenzako kina BAK ..sio kwq gia hizi
 
Sipendi nikuite mheshimiwa, kwakuwa sifa ya uheshimiwa uliipoteza tangu ulipogundulika kuwa wewe ni mwizi, wizi wako ulijidhihirisha kupitia Richmond na ukajiuzuru, mimi na familia yangu tulikuvua vyeo vyote vya heshima ya uheshimiwa huwa tunakuita Bwana,
In Chadema we trust!
Haka kajamaa ni kanafiki balaa. Maana kanaijumuisha hadi familia yake kwenye unafiki. Nafikiri ni familia ya mke na watoto wake Yericko😀😀😀😀
 
Sipendi nikuite mheshimiwa, kwakuwa sifa ya uheshimiwa uliipoteza tangu ulipogundulika kuwa wewe ni mwizi, wizi wako ulijidhihirisha kupitia Richmond na ukajiuzuru, mimi na familia yangu tulikuvua vyeo vyote vya heshima ya uheshimiwa huwa tunakuita Bwana,

Bwana Lowasa, natambua unajua hawa watu walivyotegeshwa kiustadi kuizima ndoto yako, na kama hujui basi unaowaona ni wasadizi wako hawakupi habari za kweli.

Vijana wamelishwa yamini kuhakikiha wanaizima ndoto yako, hakika hili linaniuma sana kwakuwa kuzima ndoto ya mtu ni chukizo mbele za muumba wa Bwana Lowasa,

Nawaona wanejianda tena wamekwenda mpaka masinagogi kujipatia nguvu na ujasili wa kukuchinja iwe usiku ama mchana lazima ufe kabla ya 2015, hilo niagizo kuu japokuwa hamkukutana siku ile darajani Kigamboni,

Wameshika visu hata majambia kuivunja ndoto yako, kwa hili inaniuma sana, hunijui sikujui ila nakufahamu nakwambia wazi utakufa kabla ya 2015, usinishushue kuwa "kwani wewe Mungu mpaka ujue kifo changu?" laaa hasha mie nasema utkufa ndoto yako tu.

Sasa wamekuita kwenye kikao cha ghahawa hapo kwa wajomba zangu wagogo, hiyo ni hatua ya kwanza tu kukuchinja kama beberu wa shughuli, hao wengine ni wasindikizaji tu lakini mlengwa ni weye,

Nasema kwako Bwana Lowasa, hawa vijana ni vichomi vya uhakika, umeweza kwa wenyeviti wa mikoa na makatibu kuhakikisha wanakula na kusaza kwako na kila pembe wakupigie makofi, lakini nakuhakikishie hawa vijana wao wanakula na kusaza toka magogoni kabisa na wamekabidhiwa rasmi kisu cha kukuchinjia.

Nape na Mwigulu hivi ni vichomi,imara kwako kuizima ndoto uliyotusimulia siku ile Monduli kwenye pilau.

Chadema tunasonga wala hatuna vichomi tena baada yakuvipiga duwa ya uhakika.

In Chadema we trust!
Dah da dah dah, aisee.
 
Yericko njaa!
 
Back
Top Bottom