Lowassa, hawa vijana watakuua kabla ya 2015

Lowassa, hawa vijana watakuua kabla ya 2015

Dah jiheshimu mkuu mambo haya hayafai ata kama ni hasira hupaswi kutukana namna hii

mi nafikir ulipaswa kuangalia huyo niliyomjibu alicho andka ndiyo uhoji na haya niliyo andka,tofaut na hapo utakuwa naww umetumika
 
Wana Chadema wengi ni Nyumbu na Mbowe ni Simba anawaswaga atakavyo wanamwogopa sana hakuna Mtu pale makao makuu anaweza kuthubutu kuhoji Vioja vya Mbowe juu ya pesa za Ruzuku pesa za misaada na uteuzi viti maalum nk Huyo Simba Mbowe anaogopwa sana hata wale simba wake wadogo akina Rwakatare Deus malya kiloe Mrema na Mnyika nao wanamsaidia kuwaogogopesha wana Chadema Nyumbu wasithubutu kuhoji chochote wabaki wakiamini nino moja tu yaani Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa Chadema Kwani Fikra zingine hazina nafasi hadi siku Simba akisitaafu . Chezea Mbowe wewe...

Uliza Nape na Mwigulu waakazi gani maalumu kwenye kamati hii???
 
Wana Chadema wengi ni Nyumbu na Mbowe ni Simba anawaswaga atakavyo wanamwogopa sana hakuna Mtu pale makao makuu anaweza kuthubutu kuhoji Vioja vya Mbowe juu ya pesa za Ruzuku pesa za misaada na uteuzi viti maalum nk Huyo Simba Mbowe anaogopwa sana hata wale simba wake wadogo akina Rwakatare Deus malya kiloe Mrema na Mnyika nao wanamsaidia kuwaogogopesha wana Chadema Nyumbu wasithubutu kuhoji chochote wabaki wakiamini nino moja tu yaani Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa Chadema Kwani Fikra zingine hazina nafasi hadi siku Simba akisitaafu . Chezea Mbowe wewe...

Naona na wewe umechangia mada yani huwazi ilimradi tuu na wewe umechangia...jamani!!!!!
 
we bwabwa kesi ya zitto bado unataka nyingine utajuta huku umechezea kwingine sio saizi yako kabisa
katika kujenga hoja, maneno yanweza yakaifanya hoja ionekane au isionekane.... Mwenye busara hawezi jenga hoja kwa matusi... Matusi ni alama ya kuishiwa hoja.... Argument za mtu zinaweza kabisa kutueleza akili ya mtu husika ni ya kiwango gani...
 
Eti sitaki nikuite mheshimiwa!!!kwani usipomuita unampunguzia nini?hata usipomuimbia bwana miti na majani vitaimba,upepo ukivuma vyainama vyainuka.imeandikwa ktk maandiko.hivyo nawe Yericko usipomuita Lowassa mh.wengine watamuita.kwanza nahisi sauti yako mbaya kama ya chura mzee.hivo utaleta majanga ukimuita lowassa.

teacher vip? mbona unaongea kama sio mwalimu? dah teacher!
 
Hivi vichomi vimenshika kweli, yani halali Bwana Lowasa

Khaa vichomi vemekushuka, halafu Lowasa Halali..........hueleweki dogo!Mbowe na Slaa wanamtaka Lowassa utasalimika kweli kwa uzi huu?Hivi kwanini unamchukia Zitto hivi? inonekana ni chuki binafsi, Juzi nilikuambia kwamba Kwa siasa hizi unazofanya bila shaka haulali na unaandamwa na maumivu ya Kichwa kwa uchovu wa kukesha kwenye mitandao.........Kwa ushauri Japokuwa Slaa ni muumini wa gongo, sio lazima muitumie kama chai, Pole dogo!
 
Soma ulichokiandika uone kama utakielewa.
Mbowe kawaloga nyie vifaranga mnaishi kama misukule......hii ni kutokana na matumizi ya Bange na gongo kasha mnakuja JF kuonyesha umbulula wenu!.......Subirini kichapo Kalenga na Chalinze.
 
Mwalimu Richard, tupo tunapigania nyinyi walimu mpate maisha bora, hebu ungana kulikomboa taifa hili linaloliwa na Lowasa

Hivi yericko kwa nini hutaki kujishughulisha?wewe na Ben mmeona njia pekee ya kuishi ni kupiga majungu ili Makene aonekane hafai ili mpewe kazi....Badilika Kijana!
 
najuwa una id nyingi ila nikuambie tu mi nina hii moja na nitakushughulikia nayo mpaka mwisho wako,najuwa utakuwa umetumwa lakin utakuwa umesahau password,rudi kwa huyo bwana wako aliyekutuma mwambie umeshtukiwa,Lowassa atazid kuwabonyeza tu

Acha kufanya conclusion ya kijinga mambo ya id yanatoka wapi jikite kwenye hoja....usipayuke kama viongozi WA sisiemu
 
Mbowe kawaloga nyie vifaranga mnaishi kama misukule......hii ni kutokana na matumizi ya Bange na gongo kasha mnakuja JF kuonyesha umbulula wenu!.......Subirini kichapo Kalenga na Chalinze.

Bangi na gongo ni sifa ya wanasisiemu usijifanye hutambui hilo
 
Acha kufanya conclusion ya kijinga mambo ya id yanatoka wapi jikite kwenye hoja....usipayuke kama viongozi WA sisiemu

toka mwanzo ungejikita kweny hoja namimi ningefnya hvyo hvyo,lakin umekuja na upuuz,na kama unavyojuwa hoja za kipuuzi hujibiwa na hoja za kipuuzi
 
Sipendi nikuite mheshimiwa, kwakuwa sifa ya uheshimiwa uliipoteza tangu ulipogundulika kuwa wewe ni mwizi, wizi wako ulijidhihirisha kupitia Richmond na ukajiuzuru, mimi na familia yangu tulikuvua vyeo vyote vya heshima ya uheshimiwa huwa tunakuita Bwana,

Bwana Lowasa, natambua unajua hawa watu walivyotegeshwa kiustadi kuizima ndoto yako, na kama hujui basi unaowaona ni wasadizi wako hawakupi habari za kweli.

Vijana wamelishwa yamini kuhakikiha wanaizima ndoto yako, hakika hili linaniuma sana kwakuwa kuzima ndoto ya mtu ni chukizo mbele za muumba wa Bwana Lowasa,

Nawaona wanejianda tena wamekwenda mpaka masinagogi kujipatia nguvu na ujasili wa kukuchinja iwe usiku ama mchana lazima ufe kabla ya 2015, hilo niagizo kuu japokuwa hamkukutana siku ile darajani Kigamboni,

Wameshika visu hata majambia kuivunja ndoto yako, kwa hili inaniuma sana, hunijui sikujui ila nakufahamu nakwambia wazi utakufa kabla ya 2015, usinishushue kuwa "kwani wewe Mungu mpaka ujue kifo changu?" laaa hasha mie nasema utkufa ndoto yako tu.


Sasa wamekuita kwenye kikao cha ghahawa hapo kwa wajomba zangu wagogo, hiyo ni hatua ya kwanza tu kukuchinja kama beberu wa shughuli, hao wengine ni wasindikizaji tu lakini mlengwa ni weye,

Nasema kwako Bwana Lowasa, hawa vijana ni vichomi vya uhakika, umeweza kwa wenyeviti wa mikoa na makatibu kuhakikisha wanakula na kusaza kwako na kila pembe wakupigie makofi, lakini nakuhakikishie hawa vijana wao wanakula na kusaza toka magogoni kabisa na wamekabidhiwa rasmi kisu cha kukuchinjia.

Nape na Mwigulu hivi ni vichomi,imara kwako kuizima ndoto uliyotusimulia siku ile Monduli kwenye pilau.



Chadema tunasonga wala hatuna vichomi tena baada yakuvipiga duwa ya uhakika.

In Chadema we trust!

Eti in Chadema we trust, dogo kama cheo utapata tu, ila tabia ya kujipendekeza uache inshort CDM hawajajipanga kuchukua nchi ni genge la wachumia tumbo tu siyo kama unavyodhani.
 
Kwa hiyo Kikwete anaendelea na Uhuni kama alivyomtosa mwenziwe kwenye swahala la Richmond iliyokuwa ya maslahi ya Kikwete na rafiki zake na wa wanawe? Jk anaogopa Lowassa akiwa Rais atasema ukweli.
 
Back
Top Bottom