Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Hawa wahuni ndo maana wanapotea ili kuficha uovu wao.
Hawa jamaa hawajitambui siku zote tunasema mi nilikua sielewi kwa nini wanaitwa nyumbu au ndondocha
Sipendi nikuite mheshimiwa, kwakuwa sifa ya uheshimiwa uliipoteza tangu ulipogundulika kuwa wewe ni mwizi, wizi wako ulijidhihirisha kupitia Richmond na ukajiuzuru, mimi na familia yangu tulikuvua vyeo vyote vya heshima ya uheshimiwa huwa tunakuita Bwana,
Bwana Lowasa, natambua unajua hawa watu walivyotegeshwa kiustadi kuizima ndoto yako, na kama hujui basi unaowaona ni wasadizi wako hawakupi habari za kweli.
Vijana wamelishwa yamini kuhakikiha wanaizima ndoto yako, hakika hili linaniuma sana kwakuwa kuzima ndoto ya mtu ni chukizo mbele za muumba wa Bwana Lowasa,
Nawaona wanejianda tena wamekwenda mpaka masinagogi kujipatia nguvu na ujasili wa kukuchinja iwe usiku ama mchana lazima ufe kabla ya 2015, hilo niagizo kuu japokuwa hamkukutana siku ile darajani Kigamboni,
Wameshika visu hata majambia kuivunja ndoto yako, kwa hili inaniuma sana, hunijui sikujui ila nakufahamu nakwambia wazi utakufa kabla ya 2015, usinishushue kuwa "kwani wewe Mungu mpaka ujue kifo changu?" laaa hasha mie nasema utkufa ndoto yako tu.
Sasa wamekuita kwenye kikao cha ghahawa hapo kwa wajomba zangu wagogo, hiyo ni hatua ya kwanza tu kukuchinja kama beberu wa shughuli, hao wengine ni wasindikizaji tu lakini mlengwa ni weye,
Nasema kwako Bwana Lowasa, hawa vijana ni vichomi vya uhakika, umeweza kwa wenyeviti wa mikoa na makatibu kuhakikisha wanakula na kusaza kwako na kila pembe wakupigie makofi, lakini nakuhakikishie hawa vijana wao wanakula na kusaza toka magogoni kabisa na wamekabidhiwa rasmi kisu cha kukuchinjia.
Nape na Mwigulu hivi ni vichomi,imara kwako kuizima ndoto uliyotusimulia siku ile Monduli kwenye pilau.
Chadema tunasonga wala hatuna vichomi tena baada yakuvipiga duwa ya uhakika.
In Chadema we trust!
Dah, wee jamaa ni shida,alafu bahati nzuri wewe ndo reflection ya vijana wote wa chadema.Sipendi nikuite mheshimiwa, kwakuwa sifa ya uheshimiwa uliipoteza tangu ulipogundulika kuwa wewe ni mwizi, wizi wako ulijidhihirisha kupitia Richmond na ukajiuzuru, mimi na familia yangu tulikuvua vyeo vyote vya heshima ya uheshimiwa huwa tunakuita Bwana,
Bwana Lowasa, natambua unajua hawa watu walivyotegeshwa kiustadi kuizima ndoto yako, na kama hujui basi unaowaona ni wasadizi wako hawakupi habari za kweli.
Vijana wamelishwa yamini kuhakikiha wanaizima ndoto yako, hakika hili linaniuma sana kwakuwa kuzima ndoto ya mtu ni chukizo mbele za muumba wa Bwana Lowasa,
Nawaona wanejianda tena wamekwenda mpaka masinagogi kujipatia nguvu na ujasili wa kukuchinja iwe usiku ama mchana lazima ufe kabla ya 2015, hilo niagizo kuu japokuwa hamkukutana siku ile darajani Kigamboni,
Wameshika visu hata majambia kuivunja ndoto yako, kwa hili inaniuma sana, hunijui sikujui ila nakufahamu nakwambia wazi utakufa kabla ya 2015, usinishushue kuwa "kwani wewe Mungu mpaka ujue kifo changu?" laaa hasha mie nasema utkufa ndoto yako tu.
Sasa wamekuita kwenye kikao cha ghahawa hapo kwa wajomba zangu wagogo, hiyo ni hatua ya kwanza tu kukuchinja kama beberu wa shughuli, hao wengine ni wasindikizaji tu lakini mlengwa ni weye,
Nasema kwako Bwana Lowasa, hawa vijana ni vichomi vya uhakika, umeweza kwa wenyeviti wa mikoa na makatibu kuhakikisha wanakula na kusaza kwako na kila pembe wakupigie makofi, lakini nakuhakikishie hawa vijana wao wanakula na kusaza toka magogoni kabisa na wamekabidhiwa rasmi kisu cha kukuchinjia.
Nape na Mwigulu hivi ni vichomi,imara kwako kuizima ndoto uliyotusimulia siku ile Monduli kwenye pilau.
Chadema tunasonga wala hatuna vichomi tena baada yakuvipiga duwa ya uhakika.
In Chadema we trust!
Vipi Lowassa ni kichomi au chembamoyo au ulcers?CHADEMA ni nguvu ya umma. We don't entertain VICHOMI.
Makamanda Mungu huwa hataniwi....Lowassa hajaenda Ikulu na mnaye huko chademaHivi vichomi vimenshika kweli, yani halali Bwana Lowasa
Mnaye Lowassa chademaChadema??? Ndoto ama
Na maana hiyo ni unafiki na utapeli wa chadema. Leo hii Lowassa ni Mungu wa chademaasiyejua maana , haambiwi maana .