Lowassa hakarabatiki UKAWA Mkilazimisha mtafedheheka OCTOBER 25

Pamoja na maigizo yanayoendelea kati ya Ukawa na mgombea wao Lowassa, Nawausia Ukawa kuwa wanajitafutia aibu kwakuwa mgombea wao hakarabatiki na wakilazimisha mtafedheheka wote kwani watanzania sio mandondo kama wanavyofikiria. Ndiyo maana aliingia kirahisi mno kwenye tope la Richmond linalomtafuna kabisa katika medani za siasa kila siku.

Sitaki kurudia hoja kuu zinazothibitisha kwamba Lowassa hakuonewa. Hii ni kwa sababu, Lowassa mwenyewe anafahamu fika hakuonewa katika suala zima la Richmond anajifariji kwa kutuonyesha maigizo.

Lowassa aliwahi kusema, "hakufanya kosa hata moja kwenye suala la Richmond na kuwa hata tukimwamsha leo usingizini atarudia maamuzi yaleyale kwa namna ile ile. cha ajabu leo anaikana hiyo kauli ya na kusema alionewa.
Pamoja Viongozi wa CHADEMA kumtaja kwamba yeye ni FISADI kwenye "List of shame" na leo wanajaribu kumsafisha kwa udi na uvumba lakini watanzania wanakumbuka kauli ya mwalimu Nyerere aliomtakia Lowasa baada ya kuonana na Nelson Mandela kwenye Ubalozi wa Afrika Kusini mjini Dar es Salaam, "wewe tumekutoa juzi tu toka Umoja wa Vijana. Ghafla una mali kupindukia, umezitoa wapi?

Wewe ni mchafu, ondoa jina lako kwenye wagombea" ni ya kweli? Je, anaweza kuwaeleza Watanzania mali alizochuma katika kipindi kifupi cha uwaziri mkuu na jinsi alivyozipata?

Swali la mali anza kuwauliza akina chenge, jk na rizimoko afu ndo uje kwa lowassa.... mliacha kumuulizia huko akiwa kwenu kaja huku mnang'aka....ovyo kweli nyie..
 
Akimaliza shughuli za kampeni mzee huyu mimi nakata rufaa ya kutumia dawa za kuongeza nguvu.
Huyu mzee alistahiki kuwepo kitandani sio majukwaani.
 
Watanzania tunampenda Lowassa, alituletea maji Kahama na Shinyanga. Alifanya maamuzi magumu kwapinga wamisri na mkataba wao wa kikoloni.

Vote for Lowassa
 
Ccm miaka 50 bado mnatembea kinyumenyume jitaidini basi mtueleze mtatufanyia nini tofauti ili kukuza uchumi,kuondoa rushwa na.ubadhilifu wa mali ya umma,uzembe kazini nk.Badala ya kutuambia waliondoka CCM ni makapi,wasaka madaraka,kulipa pesa nk tunaomba sera CCM siyo kulia lia tu na Lowasa
 
Leo nimeshangaaa sana kumsikia akimnanga JK kaharibu uchumi wakati yeye ndio aliyechangia kuharibu uchumi akiwa PM ile miaka 2 kwa kamisheni zake za miradi ya Ujenzi wa Barbara wakatoa gharama kutoka 300m kwa kilometa moja hadi 1.5b kwa 1km. Hatimaye gharama ya maisha akaipandisha kwa tamaa zake za kujilimbikizia Mali. Leo eti kawa masiha.

Tumuogope kama ukoma...Lowassa ni janga kwa Tanzania.
CCM NI Janga lakini Lowassa ni Janga zaidi.
 
Dr. Slaa Dr. Slaa hivi ni kweli utarudi????
 
Wanadhani tunapiga kura kwa mihemko ..too late
 
Una matatzoo yaa akilii ww ushachelewaa tunachohtaji ni mabadlkoo kuondoa Mfumo CCM na siii kngneee
 
Yan nyinyi mtambwela sanaa ila lowasa katufika hapaa tutampa kura mpaka anaingia ikulu polen maana ndio Mwaka wenu wa kukusanya virago na kukimbia nchi mlioficha nyaraka za uma na msio kuwa na elimu ila mnamiliki vyeo vikubwa
 
Pamoja na maigizo yanayoendelea kati ya Ukawa na mgombea wao Lowassa, Nawausia Ukawa kuwa wanajitafutia aibu kwakuwa mgombea wao hakarabatiki na wakilazimisha mtafedheheka wote kwani watanzania sio mandondo kama wanavyofikiria. Ndiyo maana aliingia kirahisi mno kwenye tope la Richmond linalomtafuna kabisa katika medani za siasa kila siku.

Sitaki kurudia hoja kuu zinazothibitisha kwamba Lowassa hakuonewa. Hii ni kwa sababu, Lowassa mwenyewe anafahamu fika hakuonewa katika suala zima la Richmond anajifariji kwa kutuonyesha maigizo.

Lowassa aliwahi kusema, "hakufanya kosa hata moja kwenye suala la Richmond na kuwa hata tukimwamsha leo usingizini atarudia maamuzi yaleyale kwa namna ile ile. cha ajabu leo anaikana hiyo kauli ya na kusema alionewa.
Pamoja Viongozi wa CHADEMA kumtaja kwamba yeye ni FISADI kwenye "List of shame" na leo wanajaribu kumsafisha kwa udi na uvumba lakini watanzania wanakumbuka kauli ya mwalimu Nyerere aliomtakia Lowasa baada ya kuonana na Nelson Mandela kwenye Ubalozi wa Afrika Kusini mjini Dar es Salaam, "wewe tumekutoa juzi tu toka Umoja wa Vijana. Ghafla una mali kupindukia, umezitoa wapi?

Wewe ni mchafu, ondoa jina lako kwenye wagombea" ni ya kweli? Je, anaweza kuwaeleza Watanzania mali alizochuma katika kipindi kifupi cha uwaziri mkuu na jinsi alivyozipata?

Mtoa Mada umevurugwa Sana
 
Swali la mali anza kuwauliza akina chenge, jk na rizimoko afu ndo uje kwa lowassa.... mliacha kumuulizia huko akiwa kwenu kaja huku mnang'aka....ovyo kweli nyie..

Safi sana, huyu mleta uzi huu heb apaone hapa!
 
Back
Top Bottom