Lowassa hakarabatiki UKAWA Mkilazimisha mtafedheheka OCTOBER 25

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
Pamoja na maigizo yanayoendelea kati ya Ukawa na mgombea wao Lowassa, Nawausia Ukawa kuwa wanajitafutia aibu kwakuwa mgombea wao hakarabatiki na wakilazimisha mtafedheheka wote kwani watanzania sio mandondo kama wanavyofikiria. Ndiyo maana aliingia kirahisi mno kwenye tope la Richmond linalomtafuna kabisa katika medani za siasa kila siku.

Sitaki kurudia hoja kuu zinazothibitisha kwamba Lowassa hakuonewa. Hii ni kwa sababu, Lowassa mwenyewe anafahamu fika hakuonewa katika suala zima la Richmond anajifariji kwa kutuonyesha maigizo.

Lowassa aliwahi kusema, "hakufanya kosa hata moja kwenye suala la Richmond na kuwa hata tukimwamsha leo usingizini atarudia maamuzi yaleyale kwa namna ile ile. cha ajabu leo anaikana hiyo kauli ya na kusema alionewa.
Pamoja Viongozi wa CHADEMA kumtaja kwamba yeye ni FISADI kwenye "List of shame" na leo wanajaribu kumsafisha kwa udi na uvumba lakini watanzania wanakumbuka kauli ya mwalimu Nyerere aliomtakia Lowasa baada ya kuonana na Nelson Mandela kwenye Ubalozi wa Afrika Kusini mjini Dar es Salaam, "wewe tumekutoa juzi tu toka Umoja wa Vijana. Ghafla una mali kupindukia, umezitoa wapi?

Wewe ni mchafu, ondoa jina lako kwenye wagombea" ni ya kweli? Je, anaweza kuwaeleza Watanzania mali alizochuma katika kipindi kifupi cha uwaziri mkuu na jinsi alivyozipata?
 
Leo nimeshangaaa sana kumsikia akimnanga JK kaharibu uchumi wakati yeye ndio aliyechangia kuharibu uchumi akiwa PM ile miaka 2 kwa kamisheni zake za miradi ya Ujenzi wa Barbara wakatoa gharama kutoka 300m kwa kilometa moja hadi 1.5b kwa 1km. Hatimaye gharama ya maisha akaipandisha kwa tamaa zake za kujilimbikizia Mali. Leo eti kawa masiha.

Tumuogope kama ukoma...Lowassa ni janga kwa Tanzania.
 
Sioni Njia yoyote ikifunguka kwa watanzania walala hoi zaidi ya hawa matapeli wakina Lowassa kuendelea kudanganya watanzania. Ni heri ya Dr. Slaa na Lipumba sio hawa Matapeli walioshindwa kwenye kampeni za CCM waje mbele yetu kujifanya wanauchungu na maisha ya watanzania.

Tuwaulize walikuwa wapi mpaka wajitokeze Leo baada ya kushindwa ndani ya ccm?

UKAWA na hasa Chadema mtakuja juta baada ya uchaguzi mkuu kwa kuacha mbachao kwa misala ipitayo....
 
Wewe ni mtu mpuuzi usiye jielewa na ujui ni Kwa nn uko duniani na utachekwa na pia natumaini utakuwa natabia za kiushoga shoga
 
endeleeni kugugumia kwa maumivu, wapiga kura Leo nadhani mliwaona wakimsindikiza mkombozi wao kuchukuwa fomu. bakini na tuhuma zenu zisizo na mashiko wala ushahidi.mapovu, jasho na stress ziwe nanyi daima.
 
Leo nimeshangaaa sana kumsikia akimnanga JK kaharibu uchumi wakati yeye ndio aliyechangia kuharibu uchumi akiwa PM ile miaka 2 kwa kamisheni zake za miradi ya Ujenzi wa Barbara wakatoa gharama kutoka 300m kwa kilometa moja hadi 1.5b kwa 1km. Hatimaye gharama ya maisha akaipandisha kwa tamaa zake za kujilimbikizia Mali. Leo eti kawa masiha.

Tumuogope kama ukoma...Lowassa ni janga kwa Tanzania.

Endelea kujidanganya. Sisi ni Lowassa tu, lugha nyingine za kitapeli na kilaghai kama hizi mwaka huu hatukubali. Tunaomba muendelee kumwandika mgombea wetu vivi hivi kwa mazuri au mabaya ili mtusaidie kufanya kazi ya uenezi
 
Wewe ni mtu mpuuzi usiye jielewa na ujui ni Kwa nn uko duniani na utachekwa na pia natumaini utakuwa natabia za kiushoga shoga

Ninatabia hizo ulizosema na ukinilegezea tiigo yako napiga bao we we si kaka poa mtoto si ridhiki magomeni unafahamika kwa biashara zako za kusaka mabasha.
 
lowasa anacheza na vichwa maji Kwanza hakuamini kama atashika masikio kiasi hicho
uchungu wake sio watanzania. ni hizo pesa alizomwaga Mpaka watoto chini ya 18
wamekula chuya
 
Leo nimeshangaaa sana kumsikia akimnanga JK kaharibu uchumi wakati yeye ndio aliyechangia kuharibu uchumi akiwa PM ile miaka 2 kwa kamisheni zake za miradi ya Ujenzi wa Barbara wakatoa gharama kutoka 300m kwa kilometa moja hadi 1.5b kwa 1km. Hatimaye gharama ya maisha akaipandisha kwa tamaa zake za kujilimbikizia Mali. Leo eti kawa masiha.

Tumuogope kama ukoma...Lowassa ni janga kwa Tanzania.

Nimekwisha itangazia familiale yangu asiyemtaka Lowasa ahame nashukuru wamenielewa
 
Umezipata Mpya ZA MAGUFULI NI HIZI
KIMYA MDUNDO MMOJA MAANA BUSARA NI UTENDAJI SIO TURUMBETA
MAGUFULI OYEEEEEE.,..............
KANDA YA ZIWA MTATUJUA VIZURI
 
Sioni Njia yoyote ikifunguka kwa watanzania walala hoi zaidi ya hawa matapeli wakina Lowassa kuendelea kudanganya watanzania. Ni heri ya Dr. Slaa na Lipumba sio hawa Matapeli walioshindwa kwenye kampeni za CCM waje mbele yetu kujifanya wanauchungu na maisha ya watanzania.

Tuwaulize walikuwa wapi mpaka wajitokeze Leo baada ya kushindwa ndani ya ccm?

UKAWA na hasa Chadema mtakuja juta baada ya uchaguzi mkuu kwa kuacha mbachao kwa misala ipitayo....

mbona unalialia....???
tuliza mshono....
Tunajua CCM mazuzu mpowengi....
mlizoea kusema ndiyooooo hata penye nia hamkuona njia...

sasa mambo yamegeuka....CCM imejifia...mnalalamika kwa hoja dhaifu kama wendawazimu...

mwaka wa miujiza....ni mwaka 2015.

CCM mlizoea kudanganya...kwa miaka 54..sasa mwisho umefika....

vipofu wanaona.....

viziwi wanasikia....

viwete wanatembea....

wajinga na wapumbavu wooote wamekuwa werevu..kila mtu atapiga kura...

mtaishia kuwadanganya wafu...lakini nao watafufuka kudai haki zao....

mwaka huu hata washirikina wataandamana kupiga kura za haki.

Hakika...Tanzania inazaliwa upya...asie amini asubiri october 25.

MUNGU IBARIKI TANZANIA...

MUNGU MBARIKI LOWASSA
 
Mbona mnaweweseka Magufuli wenu hauziki tena!
 
lowasa anacheza na vichwa maji Kwanza hakuamini kama atashika masikio kiasi hicho
uchungu wake sio watanzania. ni hizo pesa alizomwaga Mpaka watoto chini ya 18
wamekula chuya
 
Lowassa hawezi kuwa rais wa hii nchi
 
Sioni Njia yoyote ikifunguka kwa watanzania walala hoi zaidi ya hawa matapeli wakina Lowassa kuendelea kudanganya watanzania. Ni heri ya Dr. Slaa na Lipumba sio hawa Matapeli walioshindwa kwenye kampeni za CCM waje mbele yetu kujifanya wanauchungu na maisha ya watanzania.

Tuwaulize walikuwa wapi mpaka wajitokeze Leo baada ya kushindwa ndani ya ccm?

UKAWA na hasa Chadema mtakuja juta baada ya uchaguzi mkuu kwa kuacha mbachao kwa misala ipitayo....

Ni heri kujuta kwa kumchagua mtu ambaye ulimwamini atakuvusha kuliko kujuta kwa kurudia kufanya makosa ambayo unayajua kuwa ni makosa. Kwani ni kosa kurudia kuchagua CCM iongoze nchi hii.
 
Sioni Njia yoyote ikifunguka kwa watanzania walala hoi zaidi ya hawa matapeli wakina Lowassa kuendelea kudanganya watanzania. Ni heri ya Dr. Slaa na Lipumba sio hawa Matapeli walioshindwa kwenye kampeni za CCM waje mbele yetu kujifanya wanauchungu na maisha ya watanzania.

Tuwaulize walikuwa wapi mpaka wajitokeze Leo baada ya kushindwa ndani ya ccm?

UKAWA na hasa Chadema mtakuja juta baada ya uchaguzi mkuu kwa kuacha mbachao kwa misala ipitayo....

WACHA TUDANGANYWE TUMECHOKA UONGO WA CCM KILA SIKU UONGO ULE ULE... WACHA TUPATE TASTE YA UONGO WA UPINZANI.....#SayToFisiem
 
Back
Top Bottom