Lowassa hajawahi kukataliwa na CCM!!

Hehehe Mnajaribu kuosha kilicho oza
Basi kama hajakataliwa na Ccm
Alikataliwa na watanzania
 
Na hapo ndipo swala la IQ linapokuja, sasa unataka ushahidi gani zaidi ya ule wa kukatwa jina lake na kamati ya maadili ya CCM na sababu za kumkata jina walizisema kwamba sifa hazitoshi halafu unasema kwamba hakukataliwa na CCM kama hakukataliwa kwa nini basi alihamia chadema baada ya CCM kutokumptisha na siyo kabla?
Nafasi ya urais ni moja wagombea 42 ???? Kuna kukataliwa hapi jamani. Yeye alihamia Chadema kwa kuamini ndiye mteule wa kiti cha urais
 
Waliomuita Lowassa ni fisadi kwa miaka tisa mfululizo ni Dr. Slaa, Tundu Antipas Lissu, Mch. Msigwa, Godbless Lema, an crew nzima ya CHADEMA. Na mpaka sasa wanao ushahidi mzito wa ufisadi wake.
Kwani Lowassa kaanza kuitwa fisadi wakati huo tu?
 
waliomwita lowasa fisadi ni akina mbowe, kubenea, msigwa, lisu, john mnyika, lema yaan chadema kwa ujumla na waliompokea ni haohao chadema wenyewe sasa ww unawalaumu ccm wanini kwa maana hakuna mwanaccm aliyekuwa akimwita lowasa kuwa ni fisadi zaid ya haohao cdm, pengne labda lowasa alichukizwa alivyoona ccm hawamtambui kuwa ni fisadi wakati yy anasifa hiyo ndo maana akaamua ahamie cdm ambapo walikuwa wanamtambua kuwa ni fisad!,
 
Kwa maelezo yako unataka kusema kuwa CCM walikuwa hawana tatizo na Lowassa kuitwa Fisadi na CHADEMA!!?
 
Huko alikipata hicho kiti
Hakupata. Ila nilikuwa nachangia kuwa ccm haikumkataa kama wanavyodai watu wengine nafasi ni moja tu. Yy alidhani ndio pekee anayefaa kuwa rais na si mwingine ndio maana alihama. Lkn waamuzi ni wapiga kura hivyo walifuta hiyo ndoto yake na kumchagua Mzee wa Hapa kazi tu. Lkn pia alisahau mamlaka hupangwa na Mungu
 
Kama unadhan kukataliwa n kuambiwa kuwa hautakiw utakua unakosea sana, alichofanyiwa lowasa n kufukuzwa bila kuambiwa toka
 
Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.

Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
Nadhani majibu ya maswali yako wanayo viongozi wa chadema kwani wao kila mmoja kwa nafasi yake alijitahidi kutuaminisha kuwa huyu mtu hafai kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi.....wengine wakatuambia kuwa mtu atakaye muunga mkono huyu mtu basi anatakiwa akapimwe akili........tena wengine wakasema kuwa ni heshima kwa Mungu kumzomea mwizi.....yote hayo yalisemwa katika kutuokoa Watanzania tusiingie mikononi mwa huyo mtu.....na kila aliyejaribu kuhoji uhalali wa wao ( viongozi wa chadema ) kutamka hayo hadharani wakasema kuwa uhashidi wote wanao....

Tangu kadhia hii imeanza hatujawahi kumuona Lowasa akilalamika au kwenda kuwashitaki viongozi wa CHADEMA mahakamani mpaka siku alipotambulishwa rasimi kama mwanachama mpya wa CHADEMA.....hapo ndio watu tukabaki midomo wazi kwa mshangao.......nadhani ndio sababu kubwa ya yeye kukatwa....
 
Hivi alivyoenda CDM aligombea na nani vile. Mnikumbushe! Utaratibu wa CDM kumpata mgombea wa urais ukoje vile.
 
Back
Top Bottom