Lowassa hajawahi kukataliwa na CCM!!

Lowassa hajawahi kukataliwa na CCM!!

Tangu kadhia hii imeanza hatujawahi kumuona Lowasa akilalamika au kwenda kuwashitaki viongozi wa CHADEMA mahakamani mpaka siku alipotambulishwa rasimi kama mwanachama mpya wa CHADEMA.....hapo ndio watu tukabaki midomo wazi kwa mshangao.......nadhani ndio sababu kubwa ya yeye kukatwa....
Maneno yoote hayo yaliyokuwa yanasemwa na viongozi wa CHADEMA wewe uliyaamini? Au uliyaamini ya Kikwete kwamba Lowassa anaonewa na wapinzani? Halafu kukatwa siyo kukataliwa, hapa sizungumzii kukatwa bali kukataliwa na CCM!!
 
Utaratibu wa CDM kumpata mgombea wa urais ukoje vile.
CHADEMA kwa mujibu wa Katiba yake ya Mwaka 2006 Mgombea Urais hupendekezwa na Kamati Kuu kwa Baraza Kuu baada ya Kamati Kuu kufanya utafiti wa nani anafaa kuwa Mgombea wa urais, yote yalifanyika!! Kamati Kuu ilifanya utafiti na kupendekeza kwa Baraza Kuu kwamba Lowassa anafaa kuwa Mgombea!!
 
Maneno yoote hayo yaliyokuwa yanasemwa na viongozi wa CHADEMA wewe uliyaamini? Au uliyaamini ya Kikwete kwamba Lowassa anaonewa na wapinzani? Halafu kukatwa siyo kukataliwa, hapa sizungumzii kukatwa bali kukataliwa na CCM!!
Kwani wewe ulitaka waseme kwa kipaza kuwa wamemkataa....mimi nadhani kwa kutumia mchakato mzima wa kumuengua kwenye kinyanganyiro cha kuwania uraisi ni jibu tosha kuwa wamemkataa....na hata maamuzi yake ya kuhamia CHADEMA ni baada ya kukatwa au kukataliwa huko alikokulia....wewe unadhani kama Lowasa angefanikiwa kupeperusha bendera ya CCM angekuja UKAWA....???

Hivi boss wako anapokupa barua ya kukuachisha kazi kwenye kampuni yake anakuwa hajakukataa...??
 
Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.

Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
safi sana , umeandika kikakamavu sana na ni ukweli mno !
 
Ok tuseme uko sahihi. Je wasingemfanyia huo uhuni angekuja CHADEMA?! Huoni ndio unazidi kuonyesha kilichomleta CHADEMA ni 'kukatwa'?
Kukatwa ni lugha ya kisela ( mitaani ) , bali ni kweli kwamba lowasa hakushindwa uchaguzi wa ccm , maana jina lake halikupigiwa kura baada ya mwenyekiti kuleta majina yake ya mfukoni , hata kwa uwezo mdogo tu , hivi january ni wa kumzidi lowassa kwenye tano bora ? mswalie mtume mkuu .
 
wewe unaelewa nn? Kama si kuuza kofia?
Halafu kinachonishangaza siku hizi CCM huwa wakitaja majina ya wana CHADEMA waliowahi kumwita Lowassa fisadi jina la Dr. Slaa huwa silioni. Au wameshasahau kwamba Slaa alikuwa kiongozi wa kumwita Lowassa majina ya ajabu ajabu!??
 
Kunyimwa nafasi ya kugombea uraisi ni zaidi ya kukataliwa
 
Kunyimwa nafasi ya kugombea uraisi ni zaidi ya kukataliwa
Ina maana tafsiri ya kwako ya kukataliwa ni kunyimwa? Hivi mnyimivu na Mkataaji ni sifa sawa za watu. Ukimtuma mtoto kununua kitu dukani asipoenda utasema amekunyima kwenda dukani au utasema amekataa kwenda dukani?
 
Kwa mtazamo wangu Lowasa alikatwa tangu kwenye kamati ya maadili kwa maelezo ya mwenyekiti ni kuwa ana makando kando mengi sana.....
Kukatwa kwa jina la Lowassa na Kamati ya Maadili nakubaliana na wewe, lakini swali la msingi Kamati hiyo inayo mamlaka hiyo? Lakini hata kama jina lake lilikatwa na ya wenzake nayo si yalikatwa. Hao wote wakiwamo kina Sitaa na Mwigulu nchemba walikataliwa na CCM?
 
Hapo ndiyo hoja yangu ilipo. CCM haikuwa na ubavu wa kumfukuza Lowassa na hata alipotoka si wao waliomtoa bali ni yeye mwenyewe alitoka. Kwa maana nyingine ile hoja kwamba CCm ndiyo ilimkataa Lowassa kutokana na ufisadi wake ni uzushi wa kina Nape na hao "List of 46".
Jina la Lowasa lilikatwa kutoka kwenye list ya wagombea urais kwa tiketi ya CCM
kukatwa = kuondolewa , kukataliwa, kutofaa, kutohitajika, remove = kufukuzwa
 
huyo ndo mkwere a.k.a baba mwanaasha, yeye hakufukuzi ila kwa vitendo atakavyokufanyia ni LAZIMA UTAJIONGEZA TU, ndo kilichomkuta 'mzee' wenu
lowaxa kwenda ukawa.jpg
 
Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.

Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!

Lowasa is now spent force and a non issue. He is no longer news so let's forget him as we now have a serious president. The opposition and the media should work with him by exposing inefficiency and corrupt leaders in public service. SASA NI KAZI TU.
 
AKUFUKUZAYE HAKUAMBII TOKA. Kuitwa gamba ni dalili tosha kuwa hutakiwi. Au hujui kuwa Lowasa aliitwa gamba? Hujui kuwa yeye na Rostam waliitwa magamba na kutakiwa wajiondoe kwenye uongozi ndani ya CCM lakini yeye Lowassa akakataa bali Rostam akatii amri?? Sasa kama sio kukataliwa ulitaka wakataliwe vipi? Yeye MWENYEWE Lowassa juzi tu kasema kuwa alijiondoka CCM baada ya kudhalilishwa mara aitwe gamba mara fisadi, kuna kukataliwa zaidi ya hiyo? Ila Lowassa ana roho ngumu kweli. Aliendelea kutumia pesa yake kuweka watu kwenye vikao vya maamuzi ndani ya CCM na hata bungeni akidhani wangemsaidia; kumbe kamati ya maadili walikuwa wajanja kuliko yeye hao waliopewa pesa chafu na Lowassa hawakupewa nafasi ya kulipa fadhila kwa Lowassa. Kabla ya hapo Lowassa alishasema kuwa yeye kamwe haondoki CCM na asiyemtaka CCM (akimaanisha JK na kamati ya maadili) wajiondoe wao CCM. Mwisho wake unaujua. Pesa hainunui kila kitu mzeeeeee.

Wanalumumba wameingia mitini au vp, njooni huku mtuambie ni lini ccm ilimfukuza lowassa kwa kosa la ufisadi???au ni fitina tu!!!
 
Ni sawa na mtu asiyejua kusoma aseme hawezi kuelewa maneno yaliyoandikwa Ubaoni. Sasa hawezi kusoma ataelewaje kilichoandikwa?
Ni ajabu na aibu mtu asiyejua kusoma ukamwandikia ujumbe huku ukijua wazi kuwa hawezi kusoma na hataelewa!
 
Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.

Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!

Kumzungumzia lowasa kwa sasa ni kumpoteza muda. Kuna watu wakuwazungumzia kwa sasa ni wapasuaji wa majipu. Nchi inatawalika sasa. Lowasa kwa sasa ni habari iliyopitwa na wakati.
 
Watanzania na ccm ilikuwa makini kweli kumkata huyu fisadi mkuu rais wa wanakaskazini,nchi yetu ingekuwa kama zaire ya kabila kama lowassa angekuwa rais,ukabila na upigaji ungekuwa mwingi kwa sababu wao vibaka wa wa upigaji kina mosha mlay sanare kimaro mtei mrema ndio wangekuwa na mamlaka sasa sijui nani angemuajibisha mwenzake manake wote wezi,tunasema mzee wa hapa kazi endelea kutumbua majipu kina mareale kama kinawauma watazidi kuramba mavi,waendelee tu kutambikia huko kwao Hai na kishimundu lakini uraisi ndio hivyo wanausikia bombani.
 
Back
Top Bottom