Lowassa hajawahi kukataliwa na CCM!!

Lowassa hajawahi kukataliwa na CCM!!

Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.

Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!

Mtu kukataliwa si lazima uandikiwe barua ya kufukuzwa au Mwenyekiti aitishe press conference kutangaza kwamba so and so si mwenzetu.vitendo unavyofanyiwa tu vinatosha kukuonesha kwamba you are not needed. Kuanzia wakati wa mchakato wa kuomba kuteuliwa ndani ya CCM " kutangaza nia" hadi Mkutano mkuu ilitosha kabisa kuonesha kwamba Edward Lowasa hakutakiwa CCM
 
Unaelewa maana ya chama? Chama ni vikao na viongozi wanaowakilisha misimamo ya hivyo vikao. Chama siyo mauza uza ya walioshika madaraka ndani ya vyama hivyo ambao wao ndiyo hujigeuza kuwa chama!!
 
Lakini walihitajika watano tu, na majina yalikuwa zaidi ya 30 hivyo ilikuwa ni lazima zaidi ya 30 wakatwe, sasa kwanini kati ya hao 30 waliokatwa fisadi Lowasa ndiyo aonekane kaonewa?
Watu wengi sana hua wana feli mitihani si kwasababu hawana AKILI, hua wanajibu maswali ambayo hawakuulizwa; soma tena UZI huu then soma ulichoa andika na kasha linganisha na nilichoa andika uone kama vinafanana! Hakuna anae bisha kwamba Lowassa hakukatwa.
 
Back
Top Bottom