Mchakato ulifuata kanuni ya chama chenyewe!?
Tunaposema CCM tunamaanisha mfumo wa CCM unavyofanya kazi kwa kufuata Katiba yake, kuna tofauti kati ya viongozi wa CCM na CCM. Ili iwe CCM ni maamuzi kwa kufuata misingi iliyowekwa na katiba ya chama chenyewe. Kwa muktadha huo hakuna kikao chochote halali cha kufanya Maamuzi ambacho kimewahi kufanya maamuzi ya kumkataa Lowassa ndani ya CCM. Hiyo mnayoiita Kamati ya Maadili kazi yake ni kutoa mapendekezo kwa Kamati Kuu na wala si kufanya maamuzi kwa niaba ya Kamati Kuu.Alipofyekwa ktk ugombea uraisi huko ndo kukataliwa
Wangemkubali hivi sasa angekua rais hiko ni kukataliwa kiutu uzima
Mchakato wa uchujaji wa majina ya wagombea Urais kwenye CCM huanzia ngazi gani ya maamuzi kwenye chama hicho!!??Bila shaka.
Ndio umeandika nini sasa???. Ulikuwa wapi wakati Lowassa anafukuzwa Bungeni sababu ya Ufisadi wa Richmond? Au ulikuwa hujapata akili wakati ule? Unadhani mtu anaweza kupoteza UWAZIRI MKUU kirahisi tu kama hakuna sababu ya msingi? Au napo utasema alitolewa kafara???? Acha ubwege wewe!!Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.
Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
Nimekusoma kaka.....kama ni ccm kukata majina ya wagombea walikatwa wengi na wao wanalalamika hawakuwahi kuhojiwa.Jaji ramadhani kalalamika juzi tu.Hapo ndiyo hoja yangu ilipo. CCM haikuwa na ubavu wa kumfukuza Lowassa na hata alipotoka si wao waliomtoa bali ni yeye mwenyewe alitoka. Kwa maana nyingine ile hoja kwamba CCm ndiyo ilimkataa Lowassa kutokana na ufisadi wake ni uzushi wa kina Nape na hao "List of 46".
Lowassa aliwahi kufukuzwa Bungeni kwa sababu ya ufisadi wa Richmond? Unaweza kutuambia ilikuwa lini na mwaka gani?. Ulikuwa wapi wakati Lowassa anafukuzwa Bungeni sababu ya Ufisadi wa Richmond?
Hapo nilipoondoa bold na kuweka italic; mkuu huoni kama unaanza kubadiri topic? Topic haisemi kama Lowassa alionewa au laa, mleta uzi anasema Lowassa hajawahi kukataliwa na ccm na ndio kaleta ushahidi wake; tujikite kwenye topic moja moja kwanza.Lakini walihitajika watano tu, na majina yalikuwa zaidi ya 30 hivyo ilikuwa ni lazima zaidi ya 30 wakatwe, sasa kwanini kati ya hao 30 waliokatwa fisadi Lowasa ndiyo aonekane kaonewa?
kwa hiyo Pinda alikataliwa,Mwungulu alikataliwa,Membe alikataliwa,Kinwangala alikataliwa,Wasira alikataliwa,Makamba alikataliwa, na wote waliokatwa walikataliwaNa hapo ndipo swala la IQ linapokuja, sasa unataka ushahidi gani zaidi ya ule wa kukatwa jina lake na kamati ya maadili ya CCM na sababu za kumkata jina walizisema kwamba sifa hazitoshi halafu unasema kwamba hakukataliwa na CCM kama hakukataliwa kwa nini basi alihamia chadema baada ya CCM kutokumptisha na siyo kabla?
Saisa wengine husema ni mchezo mchafu na baadhi husema siasa ni sayansi hivyo kukataliwa jambo ambalo mtu maarufu na kama lowasa ambaye alilitaka la kuwa kiongozi wa nchi na chama kugomewa hapo ujue ni sayansi ya kumkataa ilitumika au mchezo mchafu ulitumika ili kumuonda kwa kujua akikosa ni njia nyepesi kuondoka hivyo ndomana hayupo tena ccmTunaposema CCM tunamaanisha mfumo wa CCM unavyofanya kazi kwa kufuata Katiba yake, kuna tofauti kati ya viongozi wa CCM na CCM. Ili iwe CCM ni maamuzi kwa kufuata misingi iliyowekwa na katiba ya chama chenyewe. Kwa muktadha huo hakuna kikao chochote halali cha kufanya Maamuzi ambacho kimewahi kufanya maamuzi ya kumkataa Lowassa ndani ya CCM. Hiyo mnayoiita Kamati ya Maadili kazi yake ni kutoa mapendekezo kwa Kamati Kuu na wala si kufanya maamuzi kwa niaba ya Kamati Kuu.
Kwani wote waliokatwa majina inamaana walikataliwa na ccm? Kama walikataliwa mbona wengine wapo baraza la mawaziri na nyazifa nyingine za chama?Ok tuseme uko sahihi. Je wasingemfanyia huo uhuni angekuja CHADEMA?! Huoni ndio unazidi kuonyesha kilichomleta CHADEMA ni 'kukatwa'?
Sijui hata ulisoma shule gani. Ni hizi hizi za kitanzania. Yaani unasikitisha sana. Unatia aibu na unaleta kichefu chefu. Unaaibisha nchi. Ww ni zuzu. Sijui hata kuna mtu anaweza kuku consider kwenye masuala ya msingiKuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.
Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
Siasa haijawahi kuwa Mchezo mchafu ila waichezao baadhi yao wana mbinu chafu za kuucheza huo mchezo.Saisa wengine husema ni mchezo mchafu na baadhi husema siasa ni sayansi
Nashukuru angalau kwa kunijibu zuzu mimi. Lakini swali la udadisi tu, jee kwenye hii mada uzuzu wangu uko kwenye eneo gani hasa??Sijui hata ulisoma shule gani. Ni hizi hizi za kitanzania. Yaani unasikitisha sana. Unatia aibu na unaleta kichefu chefu. Unaaibisha nchi. Ww ni zuzu. Sijui hata kuna mtu anaweza kuku consider kwenye masuala ya msingi
Subiri ukamtetee kwenye Mahakama ya Ufisadi hivi karibuni ndio utajua Nchi ina Serikali na haiogopi mtu yeyote!Dunia Na Tanzania inajua kuwa ccm hawawezi kumgusa lowassa kwa chochote
Kosa moja halihalishi jingine. Ni lini CCM ilimkataa Lowassa?Kama mbowe alivyohamua kumfanya lowassa kuwa mgombea kabla vikao rasmi kuanza,msijifanye ya huko hamuyaoni
Kubali lowasa alikua na nguvu ndani ya ccm Na kubali sayan ya siasa ilitumika kumfukuza ndomana hayupo ccmSiasa haijawahi kuwa Mchezo mchafu ila waichezao baadhi yao wana mbinu chafu za kuucheza huo mchezo.
Haitakuja tokea labda Yesu arudi, na ndio maana akikohoa tu Lumumba yote inaweweseka, mmemuombea kufa badala yake mnakufa ninyi, hapana chezea nabii ya MunguSubiri ukamtetee kwenye Mahakama ya Ufisadi hivi karibuni ndio utajua Nchi ina Serikali na haiogopi mtu yeyote!