Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
- Thread starter
- #21
Basi mimi ni mtoto wa kimiujiza maana tayari nipo kwenye mdaharishi nabonya kizenji!Naona umezaliwa leo saa moja asubuhi
Basi mimi ni mtoto wa kimiujiza maana tayari nipo kwenye mdaharishi nabonya kizenji!Naona umezaliwa leo saa moja asubuhi
Meseji yako ina mikingamo (In contradictory message).Ok tuseme uko sahihi. Je wasingemfanyia huo uhuni angekuja CHADEMA?! Huoni ndio unazidi kuonyesha kilichomleta CHADEMA ni 'kukatwa'?
Hiyo unayoiita kamati ya Maadili inayo madaraka hayo ya kukata majina ya wagombea Urais? wewe Umekaririshwa ukaamini unataka na siye wenye IQ ndogo tufuate mkumbo!!sasa unataka ushahidi gani zaidi ya ule wa kukatwa jina lake na kamati ya maadili ya CCM na sababu za kumkata jina walizisema kwamba sifa hazitoshi
Hiyo unayoiita kamati ya Maadili inayo madaraka hayo ya kukata majina ya wagombea Urais? wewe Umekaririshwa ukaamini unataka na siye wenye IQ ndogo tufuate mkumbo!!
Kamati ya Maadili haina madaraka hayo na wala haijawahi kuwa nayo na haitakuwa nayo kwa kuwa yenyewe si sehemu (organ) ya mfumo wa kufanya maamuzi ya CCM!!Ndiyo maana yake hilo ni chujio la kwanza au wewe ulifikiri kazi ni ipi?
Kamati ya Maadili haina madaraka hayo na wala haijawahi kuwa nayo na haitakuwa nayo kwa kuwa yenyewe si sehemu (organ) ya mfumo wa kufanya maamuzi ya CCM!!
Nakubaliana na mleta UZI but sikubaliani na wewe, kama hoja ni tume ya Maadili kumkata Lowassa kumbuka na hawa wafuatao nao walikatwa na tume hiyo hiyo; Bilali (makamu wa raisi) Pinda (waziri mkuu) John Ramadhani (Jaji mkuu mstaafu) Kahiga (Waziri wa mambo ya nje wa sasa)Na hapo ndipo swala la IQ linapokuja, sasa unataka ushahidi gani zaidi ya ule wa kukatwa jina lake na kamati ya maadili ya CCM na sababu za kumkata jina walizisema kwamba sifa hazitoshi halafu unasema kwamba hakukataliwa na CCM kama hakukataliwa kwa nini basi alihamia chadema baada ya CCM kutokumptisha na siyo kabla?
hizo hekaya za kusema kwamba Nyerere alimkataa Lowassa hamuwezi kuzithibitisha hata chembe. Kama nyerere alikataliwa kuingia kwenye Halmashauri kuu mwaka wakati wa sakata la Tanganyika mpaka akafanya juhudi za ziada kuingia ndiyo kumkataa kwake Lowassa kujadiliwe na Kamati Kuu?1995 Lowassa alikataliwa na Mwl Nyerere na kuridhiwa na Kamati kuu Dodoma.
Nakubaliana na mleta UZI but sikubaliani na wewe, kama hoja ni tume ya Maadili kumkata Lowassa kumbuka na hawa wafuatao nao walikatwa na tume hiyo hiyo; Bilali (makamu wa raisi) Pinda (waziri mkuu) John Ramadhani (Jaji mkuu mstaafu) Kahiga (Waziri wa mambo ya nje wa sasa)
Kuna Propaganda zinazoenezwa na CCM na humu JF na "List of 46" wako bize kwa hilo, kwamba Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake jambo ambalo si la kweli kwa asilimia mia moja. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kukataa kuwa Kondoo wa kafara kama walivyofanya kina John Malecela na Gharib Bilal walipoonewa na CCM.
Malecela na Bilal walikubali kukaa kimya hata pale taratibu za chama chao zilipopindwa ili kuwazuia kugombea Urais,lakini Lowassa alijua kuwa "Once beaten twice shy" ni heri kufa umesimama unapigania haki yako kuliko kufa umepiga magoti kwa kusubiria makombo!! Kama kuna mtu ataleta ushahidi hata wa kimazingira kwamba Lowassa aliwahi kukataliwa na CCM kutokana na "Ufisadi" wake naweza kubadili msimamo wangu kuhusu uhalali wa CHADEMA kumpokea Lowassa na kumfanya awe mgombea wake Urais!!
Huwa sielewi akili yako inawaza nini?
Kuna ukweli kuw mvuto wake umechangia wingi wa wabunge upinzanidr slaa aliwaambia choo mmehamishia chumbani mkakataa, ona madhara yake sasa, 'mzee' wenu anatamba kwenye media kuwa "nimewapa chadema viti vingi vya wabunge na madiwani" swali linakuja je, ni nani mkubwa kati ya lowasa na chadema?
Mchakato ulifuata kanuni ya chama chenyewe!?Kwa hiyo tuseme alikubaliwa lakini hakuwemo katika tano bora ya wagombea?
Katika wagombea waliojitokeza CCM, kuna ambao walikuwa na haki zaidi ya kupitishwa kuliko wengine? Kama walikuwepo, kulikuwa na haja gani ya kuwa na mchakato? Sasa hivi keshatangaza anagombea 2020, bila shaka kupitia CDM. Kuna haja ya CDM kuwa na mchakato wa kupata mgombea wakati huo?