Hunijui bado, mm ni CCM damu hadi unywele, nimekulia CCM, kusomeshwa na CCM, kufundwa na CCM.. acha kuleta siasa za mashaka wakati nasema CCM tutapoteza kura nyingi sbb hawa UKAWA + Lowassa wakigawa chakula wananchi lazima watawapa fadhila za kura, kwani huelewi nn hapa.?
Ni wazi kabisa, Mh. JPM ni mwaminifu kuliko Lowassa, hilo liko wazi, ila nakuhakikishia WANANCHI WENYE NJAA WATATOA KURA KWA YULE ALIYE WASAIDIA CHAKULA KIPINDI WANA SHIDA, HILO LA UFISADI hawatajali.. huo ndio ukweli, CCM yafaa tuchangamke tulichonacho tupeleke hata kama ni kidogo..