Lowassa azungumza na wafanyabiashara Dumila leo

Lowassa azungumza na wafanyabiashara Dumila leo

ALISIMAMA TU KWA AJILI YA KUKOJOA, SI UNAJUA MWILI HAUHIMILI MDA MREFU, PIA NDIO KUISHIWA HUKO,ANAJARIBU KUJITOKEZA KUANGALIA KAMA BADO WATU WANAMKUBALI AU VP,MATOKEO YAKE WANAKUJA WAUZA MAHINDI TU
Shika adabu wewe! Mheshimu kila binadamu acha dharau
Nimeuliza tu Mkuu. Maana tuliambiwa kuwa kila atakakopita Lowasa sharti kuwe na mafuriko
 
Naona Lowassa kapita Dumila kuwatafutia vijana kazi ya kuchoma maindi mabichi siyo mbaya fursa hiyo kwa kina Mmawia na wenzake.
 
Kanisani wanamtafuta aende kwenye Harambee, mbona siku hizi Imani yake kwenye kuongoza Harambee imeshuka ghafla?
Wapi? Kanisani? Una matatizo wewe,ile ilikuwa kpindi cha kampeni tu. Au mwambie apande daladala y Segerea sahz then arudi kunywa chai Tandale. Afadhali Magufuli amekuwa rais lakini bado anakula kwa maman'tilie. Kumbuka pale Mwanza siku za karibuni. Lowassa hajapata urais lakinph hawakumbuki alokuwa akiwafanyia maigizo,sasa angepata je,si angekuwa mtu wa kula Ujeruman na kulala Tanzania?
 
Endeleeni na u vuvuzela wenu wakati wenzenu kina pole pole wanafaidika na u vuvuzela nyie mnaishia kupewa buku 7
 
Naona Lowassa kapita Dumila kuwatafutia vijana kazi ya kuchoma maindi mabichi siyo mbaya fursa hiyo kwa kina Mmawia na wenzake.
Wewe utaishia kumsema vibaya rais wetu,lkn mwenye macho anaona jinsi huyo rais wenu anavyo fanya kazi kama mtumwa kisa moto wa lowasa alio uona kwenye uchaguzi wa mwaka jana
 
Back
Top Bottom