DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,975
Zimeishia Magogoni bossZile pushap zimeishia wapi?
Zimeishia Magogoni bossZile pushap zimeishia wapi?
Naona sasa wanaishi kwa mashaka makubwa,yaani kila siku ni bora ya jana!Si rahisi mtu kujua vyote duniani, ndio maana wengine hawajui hesabu na wengine hawajui utaratibu wa kidemokrasia.
Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh, chezea lugumi weye?sarakasi zote kimyaaaaaaaaaaaZimeishia Magogoni boss
Nani kawakataza kufurahi huku mnachoma maindi? Narudia tena Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mmoja tu John Pombe Magufuli.Naona hujui hesabu wewe,walio mchagua magu ni 8m,na walio mchagua lowasa wa mujibu wa lubuva ni 6m.sasa tuwache tulio mchagua lowasa tufurahie maamuzi yetu
Sijawahi kukuona uki comment positive zidi ya mzee wa watu...sijui nawe ni wale wa buku 7 on point?Maskini Lowasa. Hakuna hata anayeshtuka. Yale mafuriko yameenda wapi?
Hata mamantilie wanasubir akawaungishe chai hata makonda wa daladala wanasubirKanisani wanamtafuta aende kwenye Harambee, mbona siku hizi Imani yake kwenye kuongoza Harambee imeshuka ghafla?
Lizaboni ni mmoja wa vijana wachache wanajitambua hapa Tanzania..Mkuu huyo lizaboni ni kijakazi wa membe!
Kwasababu alijifanya malaika wakat ni chuiHuyu MTU alikukosa nn, unakuwa na chuki zaidi ya shetan
Mwezako anapokea mshahara na maisha yake yako vizuri tu sasa wewe ndugu yangu sijui nani anayehitaji huruma?anaelekea dar, ametoka wap?, masikini mzee lowaxa anatia huruma sana.
Naona sasa wanaishi kwa mashaka makubwa,yaani kila siku ni bora ya jana!
Mshahara wa zambiMwezako anapokea mshahara na maisha yake yako vizuri tu sasa wewe ndugu yangu sijui nani anayehitaji huruma?
Hivi kuna mtu aliyeihans Tanzania kama Kikwete mjomba wako?Mshahara wa zambi
Na laana
Huyu hafai![]()